Hivi zile za USWISS zimeshakaguliwa? Hvi ameshawaita wahusika wakajieleza mbele ya kamati yake? Mbona aliahidi kutupatia majina yahao walioficha hzo hela huko lkn mpaka sasa kimya? Je nikwamba Zitto kashapewa10% akatulia? Je zitto anayoyaongelea ataweza kuyasimamia na kuyatekeleza?
Msajiri asipotimiza wajibu wake; Je sheria inairuhusu PAC kumburuza mahakamani? if yes basi zitto angeishughulika hiyo office ya msajiri kama ana ubavu huo.Zitto kachemka sana.mtuhumiwa hapo ni Msajiri na ndiyo kamati ya zitto inapoishia kiutendaji, Kinachofanywa na PAC kwa sasa ni sawa na CEO wa shirika aulize utendaji kazi wa mhudumu wa ofisi wakati MAJIBU ANAPASWA APATE KUTOKA KWA dIRECTOR of HR.This is too low kwa PAC. Anyways!!!au kwa sababu kamati yenyewe imekusanya takataka hadi kina ADEN RAGE.Poleni wana PAC kuna siku mtakwenda na TANAPA kuuliza akina nani wame-supply goods and services
Zitto kachemka sana.mtuhumiwa hapo ni Msajiri na ndiyo kamati ya zitto inapoishia kiutendaji, Kinachofanywa na PAC kwa sasa ni sawa na CEO wa shirika aulize utendaji kazi wa mhudumu wa ofisi wakati MAJIBU ANAPASWA APATE KUTOKA KWA dIRECTOR of HR.This is too low kwa PAC. Anyways!!!au kwa sababu kamati yenyewe imekusanya takataka hadi kina ADEN RAGE.Poleni wana PAC kuna siku mtakwenda na TANAPA kuuliza akina nani wame-supply goods and services
Yaani mimi nilivyomuona Rage tu jana eti ndio makamu mwenyekiti niliindoa maana kamati nzima kwa sababu nilikuwa nadhani makamu mwenyekiti ni Deo Fulikunjombe.
Hivi huyu Rage bingwa wa mazabe eti naye leo hii umuweke makamu mwenyekiti wa PAC!!
Tusubili tu bunge la 2015 hatuna Bunge kwa sasa limesheheni wahuni na waadirifu wachache wanamezwamo.
Siajwahi kuwa na wasiwasi na kauli/hoja za Zitto hata siku moja,ninaamini kuna jambo zuri litakuja baada ya taarifa ya Komu.Huyu kamanda huwa akurupuki wapiga deal Chadema kaeni mkao wa kuendesha.
CAG anatakiwa kwnd kukagua kikatiba,Zito aseme kama CAG alinyimwa hesabu hizo,chini ya kifungu cha 14 kifungu kidogo cha 2 cha sheria ya vyama vya siasa,chama kipeleke audited accounts kwa msajili.hii inapotoshwa makusudi
Zitto ni mnafki. Period.
Yeye ni sehemu ya uongozi Chadema licha ya kwamba anaongea kwa niaba ya kamati ya PAC lakini ana uwezo wa kuwasiliana na viongozi wenzake internal. Huyu jamaa bichwa lilishamvimbaga kwa kutafuta sifa za kijinga ila kwa hili amejikaanga mwenyewe na kila mwenye akili timamu sasa anafahamu fika Zitto ameamuwa kupigana vita ya makundi ndani ya Chadema kwa kuitumia kamati ya PAC.
Vita hii haiwezi kwani atakuwa defeated tu, anajaribu kudivert akili za wajinga kutoka kwenye hoja kuu ya katiba mpya.
Nb: Eti kamati yenyewe ya PAC makamu mwenyekiti ni Aden Rage Al shabaab mwizi aliyewahi kufungwa jela kwa wizi wa pesa za FAT.
Nimeshangaa sana huyu kwanza akakamilishe ukaguzi wa hesabu za Simba pale Msimbazi na akabidhi pesa za Okwi.
Mimi ni yule aliekuwa anamsalandia dada yako alipovunja ungoHivi wewe ndio mama Mingoi yule aliyekuwa anakata mauno Twanga pepeta miaka ya 2000? Maana nimelikumbuka lile shuzi.