Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,558
- 109,093
Facts should be kept at a public disposal son,it is not for Zitto to know,it is for the public to get rid of the suspi cion at this particular moment and for the party to comply!!!!!!
Kamati ndio inataka mkuu sio ZZK jamani kwa nini analaumiwa yeye binafsi,vipi kama aliwaambia kamati kuwa cdm imekaguliwa na kamati ikasema wana mashaka na ukaguzi hivyo zoezi lirudiwe kwa vyama husika sasa hapo yeye asemaje?????!!!
Hivi kama wewe ni mfanyabiashara na TRA wanadai haukupeleka estimates za kodi kwa mwaka huo,nini unafanya???!!! Si unaambatanisha barua,makadirio na barua waliyokuandikia inayotamka makadirio kutka kwao,au unaitisha mkutano na wanahabari?????!!!!!
Au point yako ni kuwa alitakiwa awatonye kuwa kamati itakisanua,au alitakiwa afanyaje sasa????!!!
Sikuzote mhasibu akishakagua lazima apeleke mahesabu kwa uongozi husika au wewe unajifanya hujui huo utaratibu? Mhasibu anakagua yeye hana maamuzi wenye maamuzi ni viongozi ambao nikina zitto. Huo utakua unafiki mkubwa sana kwa zitto. Hata mhasibu wenu hapo kumumba anapowapa buku7 mwisho wa siku lazima Mwingulu na timu yake wajue.
zitto ni mnafki. Period.
Yeye ni sehemu ya uongozi chadema licha ya kwamba anaongea kwa niaba ya kamati ya pac lakini ana uwezo wa kuwasiliana na viongozi wenzake internal. Huyu jamaa bichwa lilishamvimbaga kwa kutafuta sifa za kijinga ila kwa hili amejikaanga mwenyewe na kila mwenye akili timamu sasa anafahamu fika zitto ameamuwa kupigana vita ya makundi ndani ya chadema kwa kuitumia kamati ya pac.
Vita hii haiwezi kwani atakuwa defeated tu, anajaribu kudivert akili za wajinga kutoka kwenye hoja kuu ya katiba mpya.
Nb: Eti kamati yenyewe ya pac makamu mwenyekiti ni aden rage al shabaab mwizi aliyewahi kufungwa jela kwa wizi wa pesa za fat.
Nimeshangaa sana huyu kwanza akakamilishe ukaguzi wa hesabu za simba pale msimbazi na akabidhi pesa za okwi.
Maneno mengi ya nini. Kama ripoti ipo si kupeleka tu ukiambatanisha na barua iliyokubali kupokea na kufanyiwa kazi kwa riooti husika!!!!!!???????
Halafu kwa nini anachukuliwa personally wakati ni mwenyekiti wa kamati????!!!!!
Wakati wowote ule, sijapata kuelewa Wanasiasa humaanisha nini kwa maneno "Masilahi ya Umma"? Kuna kila haja ya kupata tafsiri ya Kikatiba ya maneno haya ili kuepusha mkanganyiko katika matumizi yake.Mimi sifanyi siasa hapa, natekeleza jukumu langu kama mwenyekiti wa kamati,......nipo tayari kunyongwa nikitetea masilahi ya umma"
Ishu ya ukaguzi kwenye vyama ni rahisi. Serikali iseme kwa maandishi/kisheria kuwa nani anatakiwa kukagua vyama vya siasa.
siasa zenu mda mwngne znachosha,dah had aibu na nchi etu
hapa kuna jambo linafuata siku si nyingi!
Zitto kachemka sana.mtuhumiwa hapo ni Msajiri na ndiyo kamati ya zitto inapoishia kiutendaji, Kinachofanywa na PAC kwa sasa ni sawa na CEO wa shirika aulize utendaji kazi wa mhudumu wa ofisi wakati MAJIBU ANAPASWA APATE KUTOKA KWA dIRECTOR of HR.This is too low kwa PAC. Anyways!!!au kwa sababu kamati yenyewe imekusanya takataka hadi kina ADEN RAGE.Poleni wana PAC kuna siku mtakwenda na TANAPA kuuliza akina nani wame-supply goods and services
wewe ni mwehu, kwani yy ni mhasibu wa chadema?? acheni uroho
Kama hii taarifa ya Bw. Anthony Komu ni sahihi basi Zitto Kabwe atakuwa ana matatizo makubwa sana kwenye ubongo wake. Kwamba haelewei haya ndani ya chama chake hadi kukiingiza kwenye kapu la kutaka kikatiwe ruzuku? Vipi kwa NCCR Mageuzi ambao nao taarifa za ukaguzi wake zinaonekana kufika kwa CAG na msajili wa vyama? Right, inawezekana analenga kile anachokiita maslahi ya taifa lakini hata kutaka kujiridhisha kwa taarifa anashindwa?
Zitto naona anaongeza list ya pending zake... na hii baadaye inaweza kuwa pending pia...Pesa ya serikali bora umefuata taratibu wahusika wamesaini basi, mambo ya ilifanya nini na kwa nini huwa hakuna.
Mtu kazi anafanya masaa 3 anaandika kafanya kwa siku 10 na mabosi wanasaini. Kiutaratibu hakuna kosa, PAC watapewa makaratasi bac!!
CAG anatakiwa azifuate au vyama vinatakiwa vipeleke?????!!!!!
Watu wanatafutwa kila siku na ndio kazi ya taratibu na kanuni achilia mbali sheria zooote ni kumulika wazembe!!!!!!
Attendance register pia inatafuta mtu anayeitwa mchelewaji,au kazi yake nini?????!!!!!!