CHADEMA wamkana Zitto


Kwa hiyo Zitto yuko kwenye mpango maalum?
 

Umesema Vema!
 
watu vigeu geu hawafai kuwa viongozi
tunataka watu wenye misimamo katika kazi zao
Bora magufuli awe rais kuliko Zito kuwa mwenyekiti au katibu wa Chadema.

alishawahi kusema hagombei ubunge, sa hivi anasema atagombea tena.

njaa mbaya sana.
 
Point of correction Mie sio Mwanasiasa na pia sina ukaribu wowote na Mh.Zitto.
Nyie wana CDM ndo mgeuza hoja ya Zitto kua ni vita kati yake na Dr ndo maana kambi rasmi ya dr inatoa povu sana.
Hoja ya Tume ya Zito ni nzuri kwa maslahi ya UMMA tatizo tumekua wazalendo wa vyama kuliko wazalendo wa nchi yetu.
Tatizo liko hivi Komu yeye anapingana na hoja ya Zitto kisiasa aonyeshe hati ya ukaguzi kama kweli anataka kujisafisha.Kumbe mlitaka Zitto katika vyama alivyovitaja angeiondoa CDM kisa yeye Naibu Katibu Mkuu?
 
Umesema Vema!
hivi ni Zitto kama Naibu Katibu Mkuu au Zitto wa PAC? Mnachanganya mambo ndo watanzania tunashindwa kutofautisha ile haikua hoja ya Zitto ni hoja ya kamati PAC.
Mnaijua hiyo kamati kazi zake? tuache kamati ifanye kazi yake,ndo yale yale kamati ya Richmond ikaonekana ni vita kati ya Mwakembe na Lowasa.
 

Inawezekana hivyo lakini kwa asilimia chache sana Maana kumekua na vitu vingi vinazuka na baadhi vinailenga Cdm!
Tusubiri tuone!
 

Ungesoma maelezo ya Mkuu Igwa ungepata kuelewa vizuri! Na kwanini hoja zenu Jf Na magazeti mnaishambulia sana Cdm?
 
Political Conspiracy, Political sabotage, Political denial, Political clandestine, and the likes....

...Kutoka duru za usalama wa vyama vya siasa nchini ...zinaeleza kuwa kile chama cha siasa kinachunda kambi lasmi bungeni kimefanikiwa kukilaghai chama Tawala kwa kutengeneza mgogoro wa uongo wa Naibu Katibu ... wa chama hicho ("Zi..o) dhidi ya baadhi ya viongozi waandamizi wa chama hicho. Mgogoro huo wa uongo umelenga kuwanasa viongozi waandamizi wa chama cha Tawala kwa kumuamini "Zi..o kuwa anaweza kutumika kukihujumu chama chake machoni pa watanzania kama ataamua kuanzisha migogoro ndani ya chama chake ama kujitoa kwenye chama hicho na kujiunga na chama kingine cha upinzani au chama cha tawala. Viongozi hao wa tawala wako tayari kufadhili hiyo mipango "fake" ya kambi lasmi maana hawataki kujishughulisha na kuwatatulia kero raia. Kwa taarifa zilizopo wameisha anza kujifadhili ili waondolewe kwenye madaraka bila kujua.

...Kwa kujua ushawishi alionao "Zi..o kwa baadhi ya vijana na wazee kwenye siasa za nchi..."Zi..o katika kutekeleza majukumu yake aliyopewa na chama chake alifanikiwa kuunda kikundi kilichooneka cha Uasi ndani ya Chama (MASALLIA/wassalitii). Rejea threads nyingi za hapa jamvini zinazoelezea masuala haya.

...Kikundi hiki kilifanikiwa kuitia msukosuko 'fake' Chama cha kambi lasmi hasa jumuiya yake ya vijana. Msukosuko Ule ulilenga kuwawawezesha wale waliotuhumiwa kuwa wasaliti (Jully na Msherra) wafanikiwe kupokelewa vyema na tawala mara baada ya kutimuliwa. Baadaye iligundulika wasaliti hawa kabla ya kutimuliwa walishaanza kupokea 'mlungula' kutoka kwa tawala kupitia viongozi wa wake. Pia katika mlungula huo wasaliti walikatwa asilimia 80 ya kiasi walichopangiwa kupewa na Tawala. Na aliyefanikiwa kufaidi kiasi hicho cha makato hajajulikana bado... Mpango huo ulifanikwa kwani walipokelewa vyema na viongozi wa juu wa tawala.
Mgogoro huu 'fake' ulisaidia kuisahaulisha Tawala kutekeleza kazi zake kama chama tawala kinachoongoza serikali kwani kula kuku kwa mrija kuliongezeka mara dufu kwa viongozi wake waandamizi...

Hivi karibuni...chama hiki matata...kimegundua tawala wanaanza kustuka na kutambua majukumu yao....kwa raia.
Sasa ili kuwasahaulisha tena tawala majukumu yao...wameibuka na mbinu mpya ya kutumia karata yao ya turufu "Zi..o kwa kumuagiza azindue zengwe la kuhoji uhalali wa matumizi ya ....katika vyama....

Kwa kifupi kwenye kambi lasmi hakuna mgogoro...na hao waliotimuliwa hivi karibuni au hata hapo zamani (walioamia vyama vingine) bado bado wanafanya kazi za kambi lasmi.



Mytake
Watu wako kazini, ukiendelea kulala utakuta mwana si wako tena.
 

Zito hapo kachemka na siku zote ni mbinafsi mtafuta maslahi binafsi mchawi
 

Asubiri mgombea Binafsi kwenye katiba mpya!
 
Ungesoma maelezo ya Mkuu Igwa ungepata kuelewa vizuri! Na kwanini hoja zenu Jf Na magazeti mnaishambulia sana Cdm?

Na hapo ndipo utakapogundua ajenda binafsi nyuma ya huu mpango
 
ha ha inasemekana wewe ni Mr chauma usijiume ume Zitto kataja kwenye TV channel ten kuwa mtu asijeakafikiri yeye kuwa chadema ndio atawatetea yeye anafanya kazi ya Umma, maneno yake hayo ya kupinpoint chama kimoja bila kutaja uUPPT,CCM wala NCCR tayari katengeneza scenario kwa hiyo wewe kama mtu wa zitto kwa maneno yako hapo juu tunakuambia Zitto keshamwaga mchuzi kwenye mchanga hana akili huwezi kutarget chama kimoja kati ya tisa vinavyopata ruzuku, uzalendo wake hapo haupo zaidi ya personal vendetta, lakini siku zote ameishia kulia na kukimbilia kusema anatengwa kwa sababu huwa anaanza na mguu mbaya amemuingiza Dr Slaa wakati yeye ni sehemu yake watu wanajiuliza hata wewe best friend uliyelia sana mbatia akakusamehe umetake side kwa hiyo zoezi limekufa kwa sample ndio ilivyo nchi nzima mjadala umekuwa centred kati ya Zitto na chama chake na katibu mkuu wake kwa jinsi alivyostage case yake unaona sasa ambapo angengoja waitwe hiyo tarehe 25 akawasulubu huko kama wana makosa lakini kupreempty public ni ujinga usio kifani
 

We are not fools we are watching mind you
 
We are not fools we are watching mind you
You are very right....the post is right here targeting only Great Thinkers...while neglecting the pure Fools spectators and fools themselves.
 
hapo kwenye red, kwa mfano mtu akienda kwenye vyombo vya habari na kukutuhumu kuwa wewe ni mwizi je, utaenda polisi kuthibitisha au kukanusha kama wewe si mwizi au utaenda kwenye vyombo hivyohivyo alivyotumia aliyekutuhumu ?

Kama unataka publicity unaenda kwa vyombo vya habari lakini kama unataka kuwa clean na ku maintain status na personality you go for legal stage!!!
 
Maneno mengi ya nini. Kama ripoti ipo si kupeleka tu ukiambatanisha na barua iliyokubali kupokea na kufanyiwa kazi kwa riooti husika!!!!!!???????

Halafu kwa nini anachukuliwa personally wakati ni mwenyekiti wa kamati????!!!!!
Well said mkuu
 
kaishajibu kuwa yeye alishakuwa maarufu mkuu

haha kumbe alishakuwa maarufu labda anataka kuwa maarufu tena kama enzi zile za buzwagi sasa wajanja wameshamshitukia ni mwenye siasa za kuvizia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…