CHADEMA wamfungulia kesi Nape


Kwahiyo unataka kutuambia kuna Nchi inakiboost CDM financialy?
 
Kwa hiyo watakuja na za kugushi mahakamani?

kama hazipo kweli hizo data ndio watagushi, what I mean ni kwamba kwa hizo data hawatozikosa by any means. ukiona wamezikosa basi ujue interijensia imeenda likizo
 

Kaka au dada usijidhalilishe hivyo, leo hii miaka 50 ya uhuru unasema zitto msomi pekee chadema huu ni ulevi wa uelewa unaoonyesha.Hujajitambua na yawezekana hujawatambua wasomi weledi
 
Like CDM Leaders their walk on their talk.....Bravo!
 
Hapo hakuna kesi ya kujibu kwa sababu raisi wa nchi hii ndiye mwenyekiti wa chama cha CCM na ndiye anayewateua maahakimu na majaji wote wa mahakama zote nchini.Hivyo maamuzi yote yatatolewa kwa kulinda masilahi ya Nape na CCM yake.
 
kama hazipo kweli hizo data ndio watagushi, what I mean ni kwamba kwa hizo data hawatozikosa by any means. ukiona wamezikosa basi ujue interijensia imeenda likizo
Kaka Chadema hakuna hilo.Wakigushi ina maana balozi ziko hapa hapa watu watafika huko kuutaka ukweli yaani Nape hakuwaza wakati ana boyongoka
 

Na hizo nchi akizitaja na baadae zikaitwa Mahakamani kukiri hatimae zikakana tayari atakuwa amekiingiza Chama chake Kwenye Mgogoro wa Kidiplomasia na nchi hiyo. Je yupo tayari kwa hilo? Hii kesi ni tamu sana..
 
Kichaa akikunyang'anya nguo na ukamkimbiza ukiwa utupu basi wewe ndie kichaa. Nadhani watanzania wanaona so sioni uhalali wa kumshtaki.
 
CDM wamempeleka dogo Nape mahakamani wkt CDM hawana imani na mahakama sasa sijui itakuaje.

Cha muhimu sio maamuzi ya mahakama. Kabla ya maamuzi hayo, ukweli itakuwa umeshajulikana, wa kuumbuka kama ni Nape au CDM atakuwa ameshaumbuka tayari...
 
"Tuna ushahidi wa kutosha kuwa CHADEMA wanapokea mabioni ya shilingi kutoka kwa wafadhili wao nje ya nchi, na wanachokifanya kuitisha harambee ni kuhalalisha tu uwepo wa fedha hizo" alisikika Nape akisema kwa madaha huku akibana pua.
 
ushahidi upo wazi mchana peupeee nakumbuka hata slaa aliposhitakiwa kuchukua mke wa mtu alijitetea mahakamani kuwa hakujua kama ni mke wa mtu
 

Nape atakoma kucheza na watu waliomzidi maarifa.
 
Mimi nadhani nanza kuwaelewa hawa CHADEMA kazi yao kubwa ni kuset precedency ili ukweli ujulikane kutokana na matukio mbalimbali yanayowafika,wanaiambia jamii na dunia kwa mfumo wa kitaalamu sana, nadhani wana political strategist wazuri mno ,katika mambo mengi huwa wanawabana CCM na serikali wao bila kujijua kwa ujinga wao wamejikuta mara nyingi wamenasa na kuleta athari kubwa kwa mfano

Mara nyingi Chadema walikuwa wanalalamika kwamba wanaonewa na mikutano yao huwa inakatazwa na fujo huwa zinaanzishwa na Polisi bila sababu za msingi sasa kupiga mabomu ofisi za chadema nyololo ,kifo cha kikatili cha Mwangosi kimethibitisha hayo tumekubushwa sasa kuwa IGP Mwema hakupaswa hata kuwa kwenye nafasi hiyo ya IGP kwani alishapata kashfa yakuuwa wananchi kule Mbarali wakiwa mikononi mwa Polisi

Swala la Nape nadhani kisiasa lingeweza kuachwa lakini katika kesi kuendeshwa na ushahidi kuanza kutolewa siajabu wao CDM ,wanajua jinsi CCM ilivyo na fedha zinazotoka kwenye vyanzo mbalimbali yakiwemo makampuni makubwa yaliyopo nchini na unaweza kuwekwa wazi duh

Hawa CDM ni handle with care
 


GOOOD.....! CDM ni Maneno kidogo na Matendo mengi, strategic actions...!

Huyo Nape 'The VUVU' hakawiii kuibuka na kuanza kubwabwaja kuwa naye atapeleka kesi ya kwake kuwa 'wamesingiziwa kuingiza Silaha na kuwafunza makanjanja wao', ...which is true, na wanajua watashindwa if they dare to!

GO ON CDM.. This war for JUSTICE must be WON smoothly, iwe angani, ardhini, majini na hasa ktk akili na fikra za watanzania wote!

M4C....the turning-point for all Tanzanians!
 
This is part of WORKING SMART I was talking about, CCM wanabwabwaja, CDM wanaCASH. Mwisho CCM wataishiwa pesa, CDM mko mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…