Watu wengi hata hapa jamiiforums,walikuwa wakitaka Ludovick atoe UKWELI wa anachokijua kuhusu tuhuma zinazomkabili,amejaribu kuongea kule mabadiliko,tena hakuzungumza chochote juu ya kesi iliyo mahakamani.
Kila alipoulizwa swali,linalohusu mambo ya kanda ya Lwakatare,alikataa na kusema hilo liko mahakamani.Sasa tatizo limetokea,mawakili wa Lwakatare kwa kuhofia kuwa sasa Ludovick anaweza kusema hadharani ukweli wa sakata hilo,wamekimbilia kuomba mahakama imfunge Ludovick mdomo.
Mimi ni wakili na nilikuwepo mahakamani wakati wakili mwenzangu anawasilisha malalamiko yake dhidi ya Ludovick.Ukweli kabisa gazeti la Mtanzania walilolipeleka mahakamani kama ushahidi halikuwa limeandika chochote kinachoingilia kesi ya mahakamani,na wala mahojiano ya Ludovick aliyoyafanya na mabadiliko hayakuwa yanaingilia mahakama.
Nimeyasoma yote mawili,sasa wakili mwenzangu Nyaronyo akamdanganya hakimu na kulalama kuwa jamhuri inahusika kupanga njama hizo ili Ludovick aseme hicho wanachokiogopa CHADEMA.
Baada ya kusema hayo,hakimu bila kusoma gazeti kuona kama kweli kilichoandikwa kiliingilia kesi wala kutaka kujua kama kweli mahojiano ya Ludovick na mabadiliko yaliingilia mahakama ndipo akatoa onyo alilolitoa kwa Ludovick na magazeti yenyewe.
Binafsi nilimsikitikia Ludovick kwa kuwa alifokewa tu kama mtoto mdogo wakati hakimu hakusoma gazeti liliandika nini,nikatamani kama Ludovick angekuwa na mwanasheria asingeonewa vile.
Kutokana na hayo,hata waandishi waliokuwepo walisikiliza maoni ya Nyaronyo huyohuyo aliyepika uongo mahakamani na ndicho walichoandika leo.
Nilimsikia Nyaronyo akiongea na mke wa Lwakatare kuwa walitaka wasababishe dhamana ya Ludovick ifutwe ili arudishwe gerezani asije akaamua kutoboa kila kitu nje ya mahakama.Isingekuwa huruma ya hakimu Katemana,Ludovick jana angerudishwa lupango.
Ikumbukwe kuwa CHADEMA wameshaiaminisha jamii kuwa mkanda ule siyo halisi na umetengenezwa na sasa wanawasiwasi kuwa Ludovick anaweza kuwaharibia.
Isipokuwa CHADEMA wamekuwa mabingwa wa kulaumu kuwa mahakama zimekuwa zinatumika kuziba watu midomo.Sasa ni ajabu katika hili wao ndiyo wamekimbia mahamani kumziba Ludovick mdomo.
Napendekeza Ludovick apate wakili kwani kwa nia hii ya CHADEMA,wanaweza hata kutengeneza au ka hack e mail yake na kuandika kama yeye ili arudishwe lupango.
Nimemhurumia sana Ludovick,ama hakika CHADEMA ni wanafiki.
....Ni kweli mkuu....hapa umeeleza vizuri sana....ni vizuri mtu kuipenda taaluma yake na kupractice jinsi inavyotakiwa ukisema kuingiza siasa kwnye kila jambo ni kuharibu taaluma na kuchangia kufa kwa hiyo taaluma...Mkuu na kubaliana na wewe Kimsingi na wale wote pia wanaokubaliana na hoja za wakili wa Lawakatare kwasababu kimsingi kuna Kanuni inayoitwa SUBJUDICE rule ambayo inakataza kuzungumzia suala lililoko Mahakamani ili kuepuka kuingilia Muenendo wa Kesi,Ushahidi wa Mashahidi pamoja na Mamlaka ya Hakimu.
Huyu anayejiita Wakili nawasiwasi hajajielekeza vema na kutambua kwamba wakili wa Lwakatare ndiye anayejua namna ya athari ya maelezo ya Ludovick yanavyoweza kuathiri Kesi ya Mteja wake au Mashahidi anaotarajiwa kuwaita.Hakimu nao wajibu wakupima na kutoa uamuzi kama atakavyoona inafaa (DISCRETION).
Nivema Mawakili kuacha ushabiki kwenye masuala ya Taaluma hii adhimu.Ombi hilo la Wakili Naronyo ni muafaka Kabisa.Na kama kweli wewe ni Wakili na Ulikuwepo hapo basi umefanya Makosa makubwa kutokuiomba Mahakama Kama rafiki wa Mahakama "AMICUS CURIAE" ili uweze kusaidia ulipoona kunajambo ambalo linaathiri Haki ya Mtu au Mahakam inapotoka na unatafsiri sahihi ya Sheria kuhusu jambo hilo.
Itabidi ludovick ajiangalie sana hawa watu siyo wema watamuuwa ili kufuta ushahidi make wameua wengi sana mpaka hivi sasa.
Mimi ni wakili na nilikuwepo mahakamani wakati wakili mwenzangu anawasilisha malalamiko yake dhidi ya Ludovick.Ukweli kabisa gazeti la Mtanzania walilolipeleka mahakamani kama ushahidi halikuwa limeandika chochote kinachoingilia kesi ya mahakamani,na wala mahojiano ya Ludovick aliyoyafanya na mabadiliko hayakuwa yanaingilia mahakama.
Nimemhurumia sana Ludovick,ama hakika CHADEMA ni wanafiki.
Join Date : 22nd July 2013
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received 4
Likes Given 0
Magaidi ni watu hatari sana
Watu wengi hata hapa jamiiforums,walikuwa wakitaka Ludovick atoe UKWELI wa anachokijua kuhusu tuhuma zinazomkabili,amejaribu kuongea kule mabadiliko,tena hakuzungumza chochote juu ya kesi iliyo mahakamani.
Kila alipoulizwa swali,linalohusu mambo ya kanda ya Lwakatare,alikataa na kusema hilo liko mahakamani.Sasa tatizo limetokea,mawakili wa Lwakatare kwa kuhofia kuwa sasa Ludovick anaweza kusema hadharani ukweli wa sakata hilo,wamekimbilia kuomba mahakama imfunge Ludovick mdomo.
Mimi ni wakili na nilikuwepo mahakamani wakati wakili mwenzangu anawasilisha malalamiko yake dhidi ya Ludovick.Ukweli kabisa gazeti la Mtanzania walilolipeleka mahakamani kama ushahidi halikuwa limeandika chochote kinachoingilia kesi ya mahakamani,na wala mahojiano ya Ludovick aliyoyafanya na mabadiliko hayakuwa yanaingilia mahakama.
Nimeyasoma yote mawili,sasa wakili mwenzangu Nyaronyo akamdanganya hakimu na kulalama kuwa jamhuri inahusika kupanga njama hizo ili Ludovick aseme hicho wanachokiogopa CHADEMA.
Baada ya kusema hayo,hakimu bila kusoma gazeti kuona kama kweli kilichoandikwa kiliingilia kesi wala kutaka kujua kama kweli mahojiano ya Ludovick na mabadiliko yaliingilia mahakama ndipo akatoa onyo alilolitoa kwa Ludovick na magazeti yenyewe.
Binafsi nilimsikitikia Ludovick kwa kuwa alifokewa tu kama mtoto mdogo wakati hakimu hakusoma gazeti liliandika nini,nikatamani kama Ludovick angekuwa na mwanasheria asingeonewa vile.
Kutokana na hayo,hata waandishi waliokuwepo walisikiliza maoni ya Nyaronyo huyohuyo aliyepika uongo mahakamani na ndicho walichoandika leo.
Nilimsikia Nyaronyo akiongea na mke wa Lwakatare kuwa walitaka wasababishe dhamana ya Ludovick ifutwe ili arudishwe gerezani asije akaamua kutoboa kila kitu nje ya mahakama.Isingekuwa huruma ya hakimu Katemana,Ludovick jana angerudishwa lupango.
Ikumbukwe kuwa CHADEMA wameshaiaminisha jamii kuwa mkanda ule siyo halisi na umetengenezwa na sasa wanawasiwasi kuwa Ludovick anaweza kuwaharibia.
Isipokuwa CHADEMA wamekuwa mabingwa wa kulaumu kuwa mahakama zimekuwa zinatumika kuziba watu midomo.Sasa ni ajabu katika hili wao ndiyo wamekimbia mahamani kumziba Ludovick mdomo.
Napendekeza Ludovick apate wakili kwani kwa nia hii ya CHADEMA,wanaweza hata kutengeneza au ka hack e mail yake na kuandika kama yeye ili arudishwe lupango.
Nimemhurumia sana Ludovick,ama hakika CHADEMA ni wanafiki.
Kama wewe kweli ni wakili na unaandika habari namna hii basi Tanzania imekwisha!
Huyu jamaa alivyoweka hii mpumba yake hapa amepotea mazima, nahisi anajuuuta kuanzisha uzi huu
hivi huyu aliendaje UK? alifaulu au aliplekwa kwa mgongo wa kigogo mmoja? mbona thread zake na post zake ni za kitoto sana??? hivi hata hapo UK waingereza wanaweza wakajudge kwamba watanzaia wote tuko hivi? shame.
Sugu a.k.a Joseph Mbilinyi MB tafadhali njoo na kale kajina ulikompa yule Bwana tumpatie na huyu.bush lawyer!.......upuuzi wa hali ya juu kabisa...
Mimi ni wakili na nilikuwepo mahakamani wakati wakili mwenzangu anawasilisha malalamiko yake dhidi ya Ludovick.........Nimeyasoma yote mawili,sasa wakili mwenzangu Nyaronyo akamdanganya hakimu na kulalama kuwa jamhuri inahusika kupanga njama hizo ili Ludovick aseme hicho wanachokiogopa CHADEMA................,hakimu bila kusoma gazeti kuona kama kweli kilichoandikwa kiliingilia kesi wala kutaka kujua kama kweli mahojiano ya Ludovick na mabadiliko yaliingilia mahakama ndipo akatoa onyo alilolitoa kwa Ludovick na magazeti yenyewe...........Binafsi nilimsikitikia Ludovick kwa kuwa alifokewa tu kama mtoto mdogo wakati hakimu hakusoma gazeti liliandika nini,nikatamani kama Ludovick angekuwa na mwanasheria asingeonewa vile............................................Nilimsikia Nyaronyo akiongea na mke wa Lwakatare kuwa walitaka wasababishe dhamana ya Ludovick ifutwe ili arudishwe gerezani asije akaamua kutoboa kila kitu nje ya mahakama.Isingekuwa huruma ya hakimu Katemana,Ludovick jana angerudishwa lupango.