Ni kweli kuwa Mimi ni wahalifu ni tofauti.Nakujua vizuri
Ccm mmelogwa na kulogeka haswaa! Naamini ule msemo pendwa unaosema huko ccm wamejaa watu wasiojua lolote zaidi ya uchawa.Ndio maana hata maandamano yao yalidorola.
Wanannchi wanahitaji mtu kama Paul Makonda amabae anawasikiliza na kuwapa comfort kwa madhira wanayoyapata.
Sasa wakimponda kwa wananchi ndio wanazidi kupotea.
Mbaya zaidi hata bil 2.7 za ruzuku anatafuna Mbowe na jamaa zake akina Pambalu
Labda uko sahihi kuwa Chadema wamepotezwa na Makonda.Ndio maana hata maandamano yao yalidorola.
Wanannchi wanahitaji mtu kama Paul Makonda amabae anawasikiliza na kuwapa comfort kwa madhira wanayoyapata.
Sasa wakimponda kwa wananchi ndio wanazidi kupotea.
Mbaya zaidi hata bil 2.7 za ruzuku anatafuna Mbowe na jamaa zake akina Pambalu
Wako busy kumfurumushia mapropaganda ya hadithi ya hapo kale kulikuwepo sungura na simba, huku makonda akiondoka na kijiji chote cha tanzaniaa.Ndio maana hata maandamano yao yalidorola.
Wanannchi wanahitaji mtu kama Paul Makonda amabae anawasikiliza na kuwapa comfort kwa madhira wanayoyapata.
Sasa wakimponda kwa wananchi ndio wanazidi kupotea.
Mbaya zaidi hata bil 2.7 za ruzuku anatafuna Mbowe na jamaa zake akina Pambalu
Umevaa miwani ya Mbao. Makonda anaivua nguo serikali ya CCM na kuichonganisha na Wananchi na kujijenga yeye binafsi.Ndio maana hata maandamano yao yalidorola.
Wananchi wanahitaji mtu kama Paul Makonda ambaye anawasikiliza na kuwapa comfort kwa madhira wanayoyapata.
Sasa wakimponda kwa wananchi ndio wanazidi kupotea.
Mbaya zaidi hata bil 2.7 za ruzuku anatafuna Mbowe na jamaa zake akina Pambalu.
CHADEMA ni taasisi, Paul Makonda ni mbwabwaji tu, hana loloteNdio maana hata maandamano yao yalidorola.