CHADEMA wamejipa kazi ya kumshauri Rais Samia Suluhu wa kumteua na kumuacha nani

Ndugu zangu,

Toka awali Rais Samia aape kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wafuasi wa CHADEMA walianza kumpangia nani awe makamu wake, akawakwepa.

Hawakuchoka, wakachachamaa avunje baraza la mawaziri. Akawapuuza.

Kwenye safu ya makatibu wakuu pia hawakuchoka, wakiendelea kupiga ramli. Akawapuuza.

Sasa hivi wamejikita kwenye safu ya Ma-RC, DC na DED, wanasambaza picha hadithi za makada wa CCM wanawataka na wale wasiowataka. Ni suala la muda tu lakini hata huku napo watapuuzwa.

Baada ya kupuuzwa watarudi kwenye hoja yao ya kudumu ya kupinga kila jambo na kuporomosha matusi.

Muda utasema

Vumbi la msiba hakika lingali kutulia. Kwani hata hawa ni chadema?

Dalili za wazi kuwa mleta mada ma wenziwe wamevurugwa kweri kweri!

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Chadema ni wajinga sana

Kuliko hawa?

Kamanda karibu CCM
Masikini mataga pori, yani Dada Mtanashati na akili zake timamu akafanya usaliti Bavicha akatimuliwa kama fisi mzee, akajiunga na CCM yaani ndama jike asiye na mkia, leo hii ananiambia nijuenge na CCM ndiyo nipate kibali cha kumshauri Mama Samia?
 
Ndugu zangu,

Toka awali Rais Samia aape kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wafuasi wa CHADEMA walianza kumpangia nani awe makamu wake, akawakwepa.

Hawakuchoka, wakachachamaa avunje baraza la mawaziri. Akawapuuza.

Kwenye safu ya makatibu wakuu pia hawakuchoka, wakiendelea kupiga ramli. Akawapuuza.

Sasa hivi wamejikita kwenye safu ya Ma-RC, DC na DED, wanasambaza picha hadithi za makada wa CCM wanawataka na wale wasiowataka. Ni suala la muda tu lakini hata huku napo watapuuzwa.

Baada ya kupuuzwa watarudi kwenye hoja yao ya kudumu ya kupinga kila jambo na kuporomosha matusi.

Muda utasema
na wewe tunakupuuza tu hunazo!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom