CHADEMA wameifikisha hapa nchi

CHADEMA wameifikisha hapa nchi

Wengi watashangaa kichwa cha habari lakini ukweli watu wawili waliopo CHADEMA ndio waliofikisha nchi hapa.

Hii hali ngumu wanayoipigia kelele CHADEMA na kusema deni la taifa limepanda nchi imeingia mikataba mibovu, kila kukicha mali za nchi zinakamatwa inasikitisha kua hawa waliokua vinara wa kusababisha cancer hii,
wao ndio wamekua mstari wa mbele kulalama kama ni malaika ambao wameshushwa upya toka mbinguni na hawajafanya chochote wala hawakuwepo serikalini.

Fedrick Sumaye ndie waziri mkuu aliekaa muda mrefu madarakani kwa miaka 10 ndio kipindi ambacho taifa lilishuhudia uza uza kwa bei ya kutupa kwa kisingizio cha kubinafsisha.

Ikiwa yeye alikua ni mshauri wa rais na boss wa mawaziri wote mchango wake ulikua ni upi kipindi chake nchi ndio ilioingia mikataba mahotelini yeye hakua mzalendo wala na uchungu kipindi hicho uzalendo huo uzaliwe sasa ni mengi madudu yake lakini tusiogope kumuhoji mtu huyu bila soni haijalishi ni mwenyekiti wala nini.

Lowassa utetezi wake usio na mashiko vurugu zote za awamu ya nne yeye alishiriki kwa namna moja ama nyingine hata alipofukuzwa uwari mkuu aliendelea kulihujumu taifa akiwa nje ya baraza la mawaziri kupitia vyeo vyake vya kamati za bunge na chama.

Hawa watu wawili si watu wa kuwachekea kama ni china siku nyingi wangekua wamekufa kifo cha kishujaa cha kitanzi, Leo hii bila haya wanasimama jukwaani kuwakejeli wananchi wenye hali mbaya kiuchumi na bado pia mazuri yanayofanywa na Rais Magufili hawataki kuyaunga mkono wanayapinga ili waendelee kuneemeka na maovu yao.Tusiogope kuwahoji CHADEMA na tusikubali hoja nyepesi za mbowe na hao watu wawili.

Tanzania bila ufisadi inawezekana.

Tumuunge mkono juhudi za maendeleo zimeanza kuonekana changamoto kila mahali duniani hazikosekani!
We mtu sijui akili zako zimedumaa tu au ni kujitoa ufahamu tuuuh!..nashindwa kukuelewa. Kiufupi wewi hamnazo!
 
Huyo ni fisadi papa na fisadi papa mliyemsukumizia Ikulu lini ataanza kujisafisha? Maana kachafuka kwenye ufisadi hadi kwenye nyusi na kope.

Hivi sasa ni miaka miwili mbowe kila anaposimama ana kazi ya kumsafisha fisadi papa!
 
We mtu sijui akili zako zimedumaa tu au ni kujitoa ufahamu tuuuh!..nashindwa kukuelewa. Kiufupi wewi hamnazo!
wasomi wa tanzania ya leo mbowe alimtukana kwenye majukwaa na alikua kwenye tovuti ya chadema fisadi no 1!
 
Huyo ni fisadi papa na fisadi papa mliyemsukumizia Ikulu lini ataanza kujisafisha? Maana kachafuka kwenye ufisadi hadi kwenye nyusi na kope.
kubwa aliuza nyumba lakini waziri mkuu sumaye yeye ndie aliepanga bei na kuchagua watu wa kuwauzia mmoja wapo ni mwenyekiti na fisadi papa la richmond!
 
Boss kipara kipya Kwa Mfano tu, Itokee sasa hivi Mh. Chenge atoke CCM ahamie Upinzani, Si utakuja na Bandiko kama hili linalomuhusu Mh. Chenge na Makado Kado yake ??? !!! Uwe na Muwe mnafikiria mara 100 kabla hamjaleta Upupu wenu humu au kwingine. Sio lazima upost, unaweza ukawa msomaji au una like au una comment tu.

Wengi watashangaa kichwa cha habari lakini ukweli watu wawili waliopo CHADEMA ndio waliofikisha nchi hapa.

Hii hali ngumu wanayoipigia kelele CHADEMA na kusema deni la taifa limepanda nchi imeingia mikataba mibovu, kila kukicha mali za nchi zinakamatwa inasikitisha kua hawa waliokua vinara wa kusababisha cancer hii,
wao ndio wamekua mstari wa mbele kulalama kama ni malaika ambao wameshushwa upya toka mbinguni na hawajafanya chochote wala hawakuwepo serikalini.

Fedrick Sumaye ndie waziri mkuu aliekaa muda mrefu madarakani kwa miaka 10 ndio kipindi ambacho taifa lilishuhudia uza uza kwa bei ya kutupa kwa kisingizio cha kubinafsisha.

Ikiwa yeye alikua ni mshauri wa rais na boss wa mawaziri wote mchango wake ulikua ni upi kipindi chake nchi ndio ilioingia mikataba mahotelini yeye hakua mzalendo wala na uchungu kipindi hicho uzalendo huo uzaliwe sasa ni mengi madudu yake lakini tusiogope kumuhoji mtu huyu bila soni haijalishi ni mwenyekiti wala nini.

Lowassa utetezi wake usio na mashiko vurugu zote za awamu ya nne yeye alishiriki kwa namna moja ama nyingine hata alipofukuzwa uwari mkuu aliendelea kulihujumu taifa akiwa nje ya baraza la mawaziri kupitia vyeo vyake vya kamati za bunge na chama.

Hawa watu wawili si watu wa kuwachekea kama ni china siku nyingi wangekua wamekufa kifo cha kishujaa cha kitanzi, Leo hii bila haya wanasimama jukwaani kuwakejeli wananchi wenye hali mbaya kiuchumi na bado pia mazuri yanayofanywa na Rais Magufili hawataki kuyaunga mkono wanayapinga ili waendelee kuneemeka na maovu yao.Tusiogope kuwahoji CHADEMA na tusikubali hoja nyepesi za mbowe na hao watu wawili.

Tanzania bila ufisadi inawezekana.

Tumuunge mkono juhudi za maendeleo zimeanza kuonekana changamoto kila mahali duniani hazikosekani!
 
Nyumba kahonga mke wa mtu aliyezaa naye na nyingine kugawa kwa ndugu zake. Usisahau boti uozo la bilioni 8. Kama kungekuwa na utawala wa sheria huyu alistahili kuwa lupango na siyo Ikulu.

kubwa aliuza nyumba lakini waziri mkuu sumaye yeye ndie aliepanga bei na kuchagua watu wa kuwauzia mmoja wapo ni mwenyekiti na fisadi papa la richmond!
 
subiri warukeruke wataingia timing mtawaona nyuma ya nondo serikali imedhamiria kusafisha uvundo wote!
Mpaka aliyenunua kivuko kibovu na kuwagawia hawala zake nyumba za serikali atakapochukuliwa hatua ndo ufisadi utakapokwisha.
 
Nyumba kahonga mke wa mtu aliyezaa naye na nyingine kugawa kwa ndugu zake. Usisahau boti uozo la bilioni 8. Kama kungekuwa na utawala wa sheria huyu alistahili kuwa lupango na siyo Ikulu.
Yote yalikua ni maelekezo kutoka kwa mr ziro na mikataba mibovu ya madini usimsahau bado ni mr ziro huyo huyo!
 
Fisadi huyu

upload_2017-6-13_14-5-10-jpeg.636892
Bila shaka mleta mada ni mtoto
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wengi watashangaa kichwa cha habari lakini ukweli watu wawili waliopo CHADEMA ndio waliofikisha nchi hapa.

Hii hali ngumu wanayoipigia kelele CHADEMA na kusema deni la taifa limepanda nchi imeingia mikataba mibovu, kila kukicha mali za nchi zinakamatwa inasikitisha kua hawa waliokua vinara wa kusababisha cancer hii,
wao ndio wamekua mstari wa mbele kulalama kama ni malaika ambao wameshushwa upya toka mbinguni na hawajafanya chochote wala hawakuwepo serikalini.

Fedrick Sumaye ndie waziri mkuu aliekaa muda mrefu madarakani kwa miaka 10 ndio kipindi ambacho taifa lilishuhudia uza uza kwa bei ya kutupa kwa kisingizio cha kubinafsisha.

Ikiwa yeye alikua ni mshauri wa rais na boss wa mawaziri wote mchango wake ulikua ni upi kipindi chake nchi ndio ilioingia mikataba mahotelini yeye hakua mzalendo wala na uchungu kipindi hicho uzalendo huo uzaliwe sasa ni mengi madudu yake lakini tusiogope kumuhoji mtu huyu bila soni haijalishi ni mwenyekiti wala nini.

Lowassa utetezi wake usio na mashiko vurugu zote za awamu ya nne yeye alishiriki kwa namna moja ama nyingine hata alipofukuzwa uwari mkuu aliendelea kulihujumu taifa akiwa nje ya baraza la mawaziri kupitia vyeo vyake vya kamati za bunge na chama.

Hawa watu wawili si watu wa kuwachekea kama ni china siku nyingi wangekua wamekufa kifo cha kishujaa cha kitanzi, Leo hii bila haya wanasimama jukwaani kuwakejeli wananchi wenye hali mbaya kiuchumi na bado pia mazuri yanayofanywa na Rais Magufili hawataki kuyaunga mkono wanayapinga ili waendelee kuneemeka na maovu yao.Tusiogope kuwahoji CHADEMA na tusikubali hoja nyepesi za mbowe na hao watu wawili.

Tanzania bila ufisadi inawezekana.

Tumuunge mkono juhudi za maendeleo zimeanza kuonekana changamoto kila mahali duniani hazikosekani!
Kwa hiyo Nchi ilikua inaongozwa na Mawaziri Wakuu bila Rais??
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wanalipi la kurekebisha na kulaumu yaliopo ili hali nao walikuwepo na ndio walikua watendaji wakuu!
Waziri Mkuu ni Mtendaji Mkuu kuliko Rais??
Kama walikua wakishauri then Boss wao wakawa wakikataa alaumiwe nani??
 
Fisadi papa aliposhauriwa asisaini mkataba wa kufua umeme alifanya figisu kwa kumpa maelekezo sekretari kwa kimemo!
 
Mkuu, ongeza na wa tatu anaitwa [HASHTAG]#lissumsaliti[/HASHTAG] ameanzisha wimbi jipya la kuhubiri ukabila bila aibu kwa lengo la kuiingiza nchi yetu kwenye chuki za kikabila. Kabla sijachukia mtu wa kabila lolote, nitaanza kwanza kumchukia yeye. Damn ......!
 
Back
Top Bottom