CHADEMA wameifikisha hapa nchi

CHADEMA wameifikisha hapa nchi

Wengi watashangaa kichwa cha habari lakini ukweli watu wawili waliopo chadema ndio waliofikisha nchi hapa

Hii hali ngumu wanayoipigia kelele chadema na kusema deni la taifa limepanda nchi imeingia mikataba mibovu,kila kukicha mali za nchi zinakamatwa
inasikitisha kua hawa waliokua vinara wa kusababisha cancer hii ,
wao ndio wamekua mstari wa mbele kulalama kama ni malaika ambao wameshushwa upya toka mbinguni na hawajafanya chochote wala hawakuwepo serikalini

Fedrick sumaye ndie waziri mkuu aliekaa muda mrefu madarakani kwa miaka 10
ndio kipindi ambacho taifa lilishuhudia uza uza kwa bei ya kutupa kwa kisingizio cha kubinafsisha

ikiwa yeye alikua ni mshauri wa rais na boss wa mawaziri wote mchango wake ulikua ni upi kipindi chake nchi ndio ilioingia mikataba mahotelini
yeye hakua mzalendo wala na uchungu kipindi hicho uzalendo huo uzaliwe sasa ni mengi madudu yake lakini tusiogope kumuhoji mtu huyu bila soni haijalishi ni mwenyekiti wala nini

Lowassa utetezi wake usio na mashiko vurugu zote za awamu ya nne yeye alishiriki kwa namna moja ama nyingine hata alipofukuzwa uwari mkuu aliendelea kulihujumu taifa akiwa nje ya baraza la mawaziri kupitia vyeo vyake vya kamati za bunge na chama

Hawa watu wawili si watu wa kuwachekea kama ni china siku nyingi wangekua wamekufa kifo cha kishujaa cha kitanzi,
Leo hii bila haya wanasimama jukwaani kuwakejeli wananchi wenye hali mbaya kiuchumi na bado pia mazuri yanayofanywa na magufili hawataki kuyaunga mkono wanayapinga ili waendelee kuneemeka na maovu yao

Tusiogope kuwahoji chadema na tusikubali hoja nyepesi za mbowe na hao watu wawili

Tanzania bila ufisadi inawezekana

Tumuunge mkono juhudi za maendeleo zimeanza kuonekana changamoto kila mahali duniani hazikosekani!
Wewe kipara hizi tuhuma tumeshazistukia tafutena hoja mpya .hizi shutuma za kwa Mbowe ,Lowasa,Sumayi tunajua kwanini umnazishikia bango .uwepo wao unatesa ccm .ni mmeleta baada kushindwa hoja za udini na ukaskazini. Hivi kwelli maccm ni wakuwashauri chadema ili wafanikiwe kweli !!?? Ili iwejeee haswaa !!!!
 
Fungekeni macho!
 
Chadema tangu lini ikamiliki vyombo vya dola? Uchwara kipi kinamshinda kuwakamata mafisadi wote waliokimbilia Chadema na kuwasweka Lupango na pia kuwafilisi mali zao walizozipata kiharamu?

viongozi wakuu wa utapeli na ufisadi mmewakumbatia mnaogopa hata kuwahoji!
 
Chadema tangu lini ikamiliki vyombo vya dola? Uchwara kipi kinamshinda kuwakamata mafisadi wote waliokimbilia Chadema na kuwasweka Lupango na pia kuwafilisi mali zao walizozipata kiharamu?
Mtabadili kauli muda si mrefu mtakapo kwenda segerea kuwajulia hali!
 
Weye utakuwa na mtindio wa ubongo si bure! Mafisadi waliokimbilia Chadema wote mnawajua na walitoka MACCM vyombo vyote vya dola Takukuru, mahakama na polisi viko chini ya uchwara. Mnashindwa kuwakamata lakini mnataka kurusha lawama kwa Chadema!!! Buku 7 zimekulevya weye na kukutoa ufahamu.

Wengi watashangaa kichwa cha habari lakini ukweli watu wawili waliopo CHADEMA ndio waliofikisha nchi hapa.

Hii hali ngumu wanayoipigia kelele CHADEMA na kusema deni la taifa limepanda nchi imeingia mikataba mibovu, kila kukicha mali za nchi zinakamatwa inasikitisha kua hawa waliokua vinara wa kusababisha cancer hii,
wao ndio wamekua mstari wa mbele kulalama kama ni malaika ambao wameshushwa upya toka mbinguni na hawajafanya chochote wala hawakuwepo serikalini.

Fedrick Sumaye ndie waziri mkuu aliekaa muda mrefu madarakani kwa miaka 10 ndio kipindi ambacho taifa lilishuhudia uza uza kwa bei ya kutupa kwa kisingizio cha kubinafsisha.

Ikiwa yeye alikua ni mshauri wa rais na boss wa mawaziri wote mchango wake ulikua ni upi kipindi chake nchi ndio ilioingia mikataba mahotelini yeye hakua mzalendo wala na uchungu kipindi hicho uzalendo huo uzaliwe sasa ni mengi madudu yake lakini tusiogope kumuhoji mtu huyu bila soni haijalishi ni mwenyekiti wala nini.

Lowassa utetezi wake usio na mashiko vurugu zote za awamu ya nne yeye alishiriki kwa namna moja ama nyingine hata alipofukuzwa uwari mkuu aliendelea kulihujumu taifa akiwa nje ya baraza la mawaziri kupitia vyeo vyake vya kamati za bunge na chama.

Hawa watu wawili si watu wa kuwachekea kama ni china siku nyingi wangekua wamekufa kifo cha kishujaa cha kitanzi, Leo hii bila haya wanasimama jukwaani kuwakejeli wananchi wenye hali mbaya kiuchumi na bado pia mazuri yanayofanywa na Rais Magufili hawataki kuyaunga mkono wanayapinga ili waendelee kuneemeka na maovu yao.Tusiogope kuwahoji CHADEMA na tusikubali hoja nyepesi za mbowe na hao watu wawili.

Tanzania bila ufisadi inawezekana.

Tumuunge mkono juhudi za maendeleo zimeanza kuonekana changamoto kila mahali duniani hazikosekani!
Huyo unayemsema nae ni fisadi mkubwa kala mapesa kibao baada ya kuuza nyumba za serikali, Kanunua kivuko kibovu kwa mabilioni na haifanyi kazi, Katupa hasara baada ya kukamata meli ya uvuvi. Katutia hasara baada ya kukatisha ujenzi wa barabara. Na ndege yetu imekamatwa inaozea huko Canada na lingine linatarajiwa kukamatwa Marekani. Ni rais wa kwanza kupora mke wa mtu na kumzalisha mtoto huku mume akihamishiwa nje ya nchi. Kwa mazuzu kama wewe ndio unaejua umuhimu wake
 
Mimi ninaafikiana na wewe kwa sababu chadema ndio vinara wa ufisadi ikiwemo kuuza nyumba za umma, Escrow, iptl,green finance, nk nk. Hawafai kbs hawa chadems
 
Kwani serikali yenye mamlaka imeshindwa kuwatia ndani na kuwafungulia mashitaka??hoja za kafulila bwaa
 
itawahoji vipi na sheria ipi?
kwani CHADEMA imeshika dola?
Kwani kuhoji lazima uwe na dola unaweza kuwahoji miaka yao waliohudumu ndani ya serikali kwanini madudu yote yalikua kipindi cha uongozi wao!
 
Wengi watashangaa kichwa cha habari lakini ukweli watu wawili waliopo CHADEMA ndio waliofikisha nchi hapa.

Hii hali ngumu wanayoipigia kelele CHADEMA na kusema deni la taifa limepanda nchi imeingia mikataba mibovu, kila kukicha mali za nchi zinakamatwa inasikitisha kua hawa waliokua vinara wa kusababisha cancer hii,
wao ndio wamekua mstari wa mbele kulalama kama ni malaika ambao wameshushwa upya toka mbinguni na hawajafanya chochote wala hawakuwepo serikalini.

Fedrick Sumaye ndie waziri mkuu aliekaa muda mrefu madarakani kwa miaka 10 ndio kipindi ambacho taifa lilishuhudia uza uza kwa bei ya kutupa kwa kisingizio cha kubinafsisha.

Ikiwa yeye alikua ni mshauri wa rais na boss wa mawaziri wote mchango wake ulikua ni upi kipindi chake nchi ndio ilioingia mikataba mahotelini yeye hakua mzalendo wala na uchungu kipindi hicho uzalendo huo uzaliwe sasa ni mengi madudu yake lakini tusiogope kumuhoji mtu huyu bila soni haijalishi ni mwenyekiti wala nini.

Lowassa utetezi wake usio na mashiko vurugu zote za awamu ya nne yeye alishiriki kwa namna moja ama nyingine hata alipofukuzwa uwari mkuu aliendelea kulihujumu taifa akiwa nje ya baraza la mawaziri kupitia vyeo vyake vya kamati za bunge na chama.

Hawa watu wawili si watu wa kuwachekea kama ni china siku nyingi wangekua wamekufa kifo cha kishujaa cha kitanzi, Leo hii bila haya wanasimama jukwaani kuwakejeli wananchi wenye hali mbaya kiuchumi na bado pia mazuri yanayofanywa na Rais Magufili hawataki kuyaunga mkono wanayapinga ili waendelee kuneemeka na maovu yao.Tusiogope kuwahoji CHADEMA na tusikubali hoja nyepesi za mbowe na hao watu wawili.

Tanzania bila ufisadi inawezekana.

Tumuunge mkono juhudi za maendeleo zimeanza kuonekana changamoto kila mahali duniani hazikosekani!
Kwa hiyo Lowasa na Sumayi walikuwa Maraisi,yaani pana mijitu inapumba jamani
 
Fisadi wa Kivuko Kibovu ndiyo Mwenyekiti wako wa Chama Cha Majangili aka ZANU PF ya Bongo
Pepo ya kuwafutia zambi mnayo chadema miaka kila siku mbowe bado anawasafisha tu!
 
Huyo unayemsema nae ni fisadi mkubwa kala mapesa kibao baada ya kuuza nyumba za serikali, Kanunua kivuko kibovu kwa mabilioni na haifanyi kazi, Katupa hasara baada ya kukamata meli ya uvuvi. Katutia hasara baada ya kukatisha ujenzi wa barabara. Na ndege yetu imekamatwa inaozea huko Canada na lingine linatarajiwa kukamatwa Marekani. Ni rais wa kwanza kupora mke wa mtu na kumzalisha mtoto huku mume akihamishiwa nje ya nchi. Kwa mazuzu kama wewe ndio unaejua umuhimu wake
Waziri mkuu ni zaidi ya waziri!
 
wao ndo walivunja mikataba inayokamata ndege, we kweli saa mbovu
 
Weye utakuwa na mtindio wa ubongo si bure! Mafisadi waliokimbilia Chadema wote mnawajua na walitoka MACCM vyombo vyote vya dola Takukuru, mahakama na polisi viko chini ya uchwara. Mnashindwa kuwakamata lakini mnataka kurusha lawama kwa Chadema!!! Buku 7 zimekulevya weye na kukutoa ufahamu.
Hivi sasa ni miaka miwili mbowe kila anaposimama ana kazi ya kumsafisha fisadi papa!
 
hizo bangi ulizovuta zitakuwa zinatokea Mogadishu....very cheap thread aisee !!!
 
Back
Top Bottom