CHADEMA wameifikisha hapa nchi

CHADEMA wameifikisha hapa nchi

Mleta thread nakuapia ni kati ya haya;
  1. UU mvuta bange wa miaka mingi kiac kwamba imeshaharibu baadhi ya nerves kichwani
  2. Unavuta petrol
  3. Ni mnywaji 'katili' wa viroba kwa muda mrefu
  4. Ulikumbwa na utapiamlo mkali sana utotoni ulioharibu uwezo wako wa kufikiri na kupambanua mambo.
Jitafakari katika hayo.
wenye akili safi tafakarini mwaka wa tatu chama kila siku kimeacha mambo ya msingi bado kinamsafisha fisadi!
 
Jana niliposikia uteuzi wa slaa ndio nimeachana rasmi na siasa ya nchi nilichogundua wote ni ccm!
Kaka politician are trained profeassional liars.
They are all working for their interest not for people.
siasa za bongo ziangalie tu kwa macho lakin usipoteze muda wako kuwaza sana.
 
viongozi wakuu wa utapeli na ufisadi mmewakumbatia mnaogopa hata kuwahoji!
Sasa nyie ndo mna dola.... Kwanini hamuwapeleki mahakama ya mafisadi? Mnaogopa nini?

Kwanini mnawashwa na wivu wa kike? ***** zenu!
 
Hawa watu wawili si watu wa kuwachekea kama ni china siku nyingi wangekua wamekufa kifo cha kishujaa cha kitanzi,
L/QUOTE]
Kwa kauli yako hii inaonyesha unajua ni nani mwenye mamlaka ya kuwadhibiti hao watu, jiulize kwa nini hakuna kinachofanyika dhidi yao, Wahusika hawana ufahamu kama wako au vp? Au huko china chama cha upinzani ndio kinanyonga watu wa aina hii?
 
Muda upo mlangoni kabla ya 2020 mtabadili kauli!
 
Wengi watashangaa kichwa cha habari lakini ukweli watu wawili waliopo chadema ndio waliofikisha nchi hapa

Hii hali ngumu wanayoipigia kelele chadema na kusema deni la taifa limepanda nchi imeingia mikataba mibovu,kila kukicha mali za nchi zinakamatwa
inasikitisha kua hawa waliokua vinara wa kusababisha cancer hii ,
wao ndio wamekua mstari wa mbele kulalama kama ni malaika ambao wameshushwa upya toka mbinguni na hawajafanya chochote wala hawakuwepo serikalini

Fedrick sumaye ndie waziri mkuu aliekaa muda mrefu madarakani kwa miaka 10
ndio kipindi ambacho taifa lilishuhudia uza uza kwa bei ya kutupa kwa kisingizio cha kubinafsisha

ikiwa yeye alikua ni mshauri wa rais na boss wa mawaziri wote mchango wake ulikua ni upi kipindi chake nchi ndio ilioingia mikataba mahotelini
yeye hakua mzalendo wala na uchungu kipindi hicho uzalendo huo uzaliwe sasa ni mengi madudu yake lakini tusiogope kumuhoji mtu huyu bila soni haijalishi ni mwenyekiti wala nini

Lowassa utetezi wake usio na mashiko vurugu zote za awamu ya nne yeye alishiriki kwa namna moja ama nyingine hata alipofukuzwa uwari mkuu aliendelea kulihujumu taifa akiwa nje ya baraza la mawaziri kupitia vyeo vyake vya kamati za bunge na chama

Hawa watu wawili si watu wa kuwachekea kama ni china siku nyingi wangekua wamekufa kifo cha kishujaa cha kitanzi,
Leo hii bila haya wanasimama jukwaani kuwakejeli wananchi wenye hali mbaya kiuchumi na bado pia mazuri yanayofanywa na magufili hawataki kuyaunga mkono wanayapinga ili waendelee kuneemeka na maovu yao

Tusiogope kuwahoji chadema na tusikubali hoja nyepesi za mbowe na hao watu wawili

Tanzania bila ufisadi inawezekana

Tumuunge mkono juhudi za maendeleo zimeanza kuonekana changamoto kila mahali duniani hazikosekani!
Ungekuwa unatumia ID ambayo ni jina harisi kwa hizi harakati zako, na uamifu kwa chama wako kwa chama uliotukuka UNGESHAITIWA HATA UDC MKUU chukua hatua waombo MODS kubalidirisha ID utumie jina harisi.... ..
 
Wengi watashangaa kichwa cha habari lakini ukweli watu wawili waliopo chadema ndio waliofikisha nchi hapa

Hii hali ngumu wanayoipigia kelele chadema na kusema deni la taifa limepanda nchi imeingia mikataba mibovu,kila kukicha mali za nchi zinakamatwa
inasikitisha kua hawa waliokua vinara wa kusababisha cancer hii ,
wao ndio wamekua mstari wa mbele kulalama kama ni malaika ambao wameshushwa upya toka mbinguni na hawajafanya chochote wala hawakuwepo serikalini

Fedrick sumaye ndie waziri mkuu aliekaa muda mrefu madarakani kwa miaka 10
ndio kipindi ambacho taifa lilishuhudia uza uza kwa bei ya kutupa kwa kisingizio cha kubinafsisha

ikiwa yeye alikua ni mshauri wa rais na boss wa mawaziri wote mchango wake ulikua ni upi kipindi chake nchi ndio ilioingia mikataba mahotelini
yeye hakua mzalendo wala na uchungu kipindi hicho uzalendo huo uzaliwe sasa ni mengi madudu yake lakini tusiogope kumuhoji mtu huyu bila soni haijalishi ni mwenyekiti wala nini

Lowassa utetezi wake usio na mashiko vurugu zote za awamu ya nne yeye alishiriki kwa namna moja ama nyingine hata alipofukuzwa uwari mkuu aliendelea kulihujumu taifa akiwa nje ya baraza la mawaziri kupitia vyeo vyake vya kamati za bunge na chama

Hawa watu wawili si watu wa kuwachekea kama ni china siku nyingi wangekua wamekufa kifo cha kishujaa cha kitanzi,
Leo hii bila haya wanasimama jukwaani kuwakejeli wananchi wenye hali mbaya kiuchumi na bado pia mazuri yanayofanywa na magufili hawataki kuyaunga mkono wanayapinga ili waendelee kuneemeka na maovu yao

Tusiogope kuwahoji chadema na tusikubali hoja nyepesi za mbowe na hao watu wawili

Tanzania bila ufisadi inawezekana

Tumuunge mkono juhudi za maendeleo zimeanza kuonekana changamoto kila mahali duniani hazikosekani!
hahaha, unataka kusema nchi hii inaongozwa na chadema? nikwambie kitu kipara kipya, unajua dhahma na madhila wanayofanyiwa chadema na upinzani kwa ujumla ni kuwakomaza na kuwapaisha na wananchi tunaona, wapinzani wanajitahidi sana kufata sheria lakini nyie kijani mnapindisha kwa kigezo kuwa wakireact muanze na pyu pyu pyu, lakini wao kiiimya, na wanafata sheria, nyie mnakanyaga sheria kila kukicha, mbaya zaidi mkuu wetu alisema serikali yake hatakuja kuteua mpinzani, anawaona wapinzani hao hao ni maadui kwake lakini hapo hapo hao wapinzani mnafata kwa mlango wa nyuma na kuwanunua nini mnamaanisha, hiyo nayo ni rushwa, hiyo ni kodi yetu sisi ambayo mlitakiwa mnunulie madawa au mboreshe chochote ili kuleta maendeleo na sio kwenda kununua hao wapinzani, baada ya muda wapinzani watarudi kwao, kwani kuna msemo nilipokuwa shule unasema kura kwa huyu na kula kwa yule
 
kwa hiyo serikali ya ccm haina cha kufanya juu ya hawa watu?sasa kuna faida gani kuwa serikali kama inashindwa kuwachukulia hatua watu wanaotusababishia shida?
 
Wengi watashangaa kichwa cha habari lakini ukweli watu wawili waliopo chadema ndio waliofikisha nchi hapa

Hii hali ngumu wanayoipigia kelele chadema na kusema deni la taifa limepanda nchi imeingia mikataba mibovu,kila kukicha mali za nchi zinakamatwa
inasikitisha kua hawa waliokua vinara wa kusababisha cancer hii ,
wao ndio wamekua mstari wa mbele kulalama kama ni malaika ambao wameshushwa upya toka mbinguni na hawajafanya chochote wala hawakuwepo serikalini

Fedrick sumaye ndie waziri mkuu aliekaa muda mrefu madarakani kwa miaka 10
ndio kipindi ambacho taifa lilishuhudia uza uza kwa bei ya kutupa kwa kisingizio cha kubinafsisha

ikiwa yeye alikua ni mshauri wa rais na boss wa mawaziri wote mchango wake ulikua ni upi kipindi chake nchi ndio ilioingia mikataba mahotelini
yeye hakua mzalendo wala na uchungu kipindi hicho uzalendo huo uzaliwe sasa ni mengi madudu yake lakini tusiogope kumuhoji mtu huyu bila soni haijalishi ni mwenyekiti wala nini

Lowassa utetezi wake usio na mashiko vurugu zote za awamu ya nne yeye alishiriki kwa namna moja ama nyingine hata alipofukuzwa uwari mkuu aliendelea kulihujumu taifa akiwa nje ya baraza la mawaziri kupitia vyeo vyake vya kamati za bunge na chama

Hawa watu wawili si watu wa kuwachekea kama ni china siku nyingi wangekua wamekufa kifo cha kishujaa cha kitanzi,
Leo hii bila haya wanasimama jukwaani kuwakejeli wananchi wenye hali mbaya kiuchumi na bado pia mazuri yanayofanywa na magufili hawataki kuyaunga mkono wanayapinga ili waendelee kuneemeka na maovu yao

Tusiogope kuwahoji chadema na tusikubali hoja nyepesi za mbowe na hao watu wawili

Tanzania bila ufisadi inawezekana

Tumuunge mkono juhudi za maendeleo zimeanza kuonekana changamoto kila mahali duniani hazikosekani!
Na umewasahau akina Bwashee ambao ndo majority ndani ya CHADEMA. Walitupiga wakiwa Serikalini huku ndugu zao wakituibia huku mtaani.

Na sasa baada ya kuzibiwa mianya yao, ndo wanapiga kelele.

Shame on them
 
Wengi watashangaa kichwa cha habari lakini ukweli watu wawili waliopo chadema ndio waliofikisha nchi hapa

Hii hali ngumu wanayoipigia kelele chadema na kusema deni la taifa limepanda nchi imeingia mikataba mibovu,kila kukicha mali za nchi zinakamatwa
inasikitisha kua hawa waliokua vinara wa kusababisha cancer hii ,
wao ndio wamekua mstari wa mbele kulalama kama ni malaika ambao wameshushwa upya toka mbinguni na hawajafanya chochote wala hawakuwepo serikalini

Fedrick sumaye ndie waziri mkuu aliekaa muda mrefu madarakani kwa miaka 10
ndio kipindi ambacho taifa lilishuhudia uza uza kwa bei ya kutupa kwa kisingizio cha kubinafsisha

ikiwa yeye alikua ni mshauri wa rais na boss wa mawaziri wote mchango wake ulikua ni upi kipindi chake nchi ndio ilioingia mikataba mahotelini
yeye hakua mzalendo wala na uchungu kipindi hicho uzalendo huo uzaliwe sasa ni mengi madudu yake lakini tusiogope kumuhoji mtu huyu bila soni haijalishi ni mwenyekiti wala nini

Lowassa utetezi wake usio na mashiko vurugu zote za awamu ya nne yeye alishiriki kwa namna moja ama nyingine hata alipofukuzwa uwari mkuu aliendelea kulihujumu taifa akiwa nje ya baraza la mawaziri kupitia vyeo vyake vya kamati za bunge na chama

Hawa watu wawili si watu wa kuwachekea kama ni china siku nyingi wangekua wamekufa kifo cha kishujaa cha kitanzi,
Leo hii bila haya wanasimama jukwaani kuwakejeli wananchi wenye hali mbaya kiuchumi na bado pia mazuri yanayofanywa na magufili hawataki kuyaunga mkono wanayapinga ili waendelee kuneemeka na maovu yao

Tusiogope kuwahoji chadema na tusikubali hoja nyepesi za mbowe na hao watu wawili

Tanzania bila ufisadi inawezekana

Tumuunge mkono juhudi za maendeleo zimeanza kuonekana changamoto kila mahali duniani hazikosekani!

Kabla ya hao kwenda chadema walikuwa chama gani? Na je wakati wapo huko ambako walikuwa zamani walichukuliwa hatua gani? Na mbona mpaka leo wapo na mahakama ya mafisadi ipo kwanini ww usiende kuwafungulia kesi?
 
viongozi wakuu wa utapeli na ufisadi mmewakumbatia mnaogopa hata kuwahoji!
Kwa hiyo serikali inawagwaya hao mafisadi? Nilitegemea mahakama ya mafisadi itakapoanzishwa mtu wa kwanza kupelekwa mahakamani atakuwa Lowasa lakini wapi. Kama sio usanii ni nini?!
 
Msingi wa chadema ulipotelea hapa na kuleta mpasuko kwenye majibu mepesi subiri kabla ya 2020 mtawasalimia kwenye nondo!

Ndio maana nakuambia hii post yako ni ya siasa nyepesi. Rais unasimama hadharani unasema majizi yako na kukimbilia cdm na hukuna mahakama yoyote iliyodhibitisha hilo, halafu unangoja 2020 ufanye maigizo ya kupambana na ufisadi.

Nikusaidie kitu dogo, awamu hii zaidi ya kutishia vyombo vya habari na kujeruhi wapinzani haina jipya kwenye mambo ya kiuchumi. Mishahara haipandi, viwanda vinavyoimbwa havipo, ajira ndio hizo zinazidi kuporomoka na biashara nyingi zinadondoka. Katika mazingira haya propaganda ya siasa nyepesi na uongo ndio inabidi ziongoze nchi. Simply uwezo wa mkuu wetu kuongoza nchi kwa mafanikio ni wa kawaida sana.
 
Back
Top Bottom