CHADEMA wamefunga goli la "kisigino"

CHADEMA wamefunga goli la "kisigino"

Mwaandishi hakusema hawana vyama vingine ila....'viwili tu vikuu'. "............... Kwanini MAREKANI mfadhili mkuu wa vyama vingi duniani wana vyama viwili tu vikuu!..............." OTE=dady1000;9406147]

ww ni mfwasi wa siasa siku nyingi tu marekani haina vyama 2vya siasa tu vipo vingi ila vikubwa ni 2 tu democrat na republic kuhusu muungano wa ukawa hapo sina jibu kwani nawajuwa viongozi wetu wa siasa hawkawii kubadilika hapo nitapita tu
[/QUOTE]
Vingine ni vipi mkuu..?!
 
attachment.php

mbona sikioni kitufe cha like???.I like it.
 
Mwigulu Nchemba vipi hapo una swali ???? Sijui utatoa sh ngapi kuwasambaratisha UKAWA na taifa halina hela maana hata walipa kodi wenyewe mnawauzia mbuga za wanyama bure
 
Tatizo la viongozi wa siasa hapa nchini ni kuwa hauna msimamo na wenye makundi makundi yaani kizngumkuti kabisa , sasa subiri uone ya UKAWA utachanganyikiwa na kuwashangaa wanasiasa wetu
 
ni kweli tunaona dalili zote za dola ya warumi kuporomoka ifikapo 2015.
 
Nahis kama natamani hivi kutaka kukuunga mkono kwa 100%... ila kama ndivyo maoni yako ndo haya kwanini uliacha kuniunga mkono wakati napigia upatu suala la what's so called "Good Governance" ambayo ingawaje ni mfumo wenye jina tamu na la kuvutia lakini kimsingi ni mfumo unaotumika kama kichaka cha mafisadi na viongozi wazembe... mfumo unaoshadidia utawala wa sheria, yaani utawala wa sheria utoke kwa mafisadi na wazembe... what a ----! Nasi kama mazuzu tumekuwa tukishadadia kwa mbwembwe na vifijo bila kujiuliza ni kwanini leo viongozi wa Afrika ambao kwa miongo kadhaa wamekuwa wakipinga mifumo inayoletwa na watu wa magharibi, hivi sasa viongozi wetu wanaunga mkono mfumo wa utawala bora walioletewa na hao hao watu wa magharibi... hatutaki kujiuliza, WHY? Kumbe jibu ni simple, wanaushabikia mfumo huu coz' kichaka cha uovu wao... huwezi kuwafanya chochote coz' ni mfumo unaozingatia utawala wa sheria... whereas, a person atabaki mtuhumiwa hadi ithibitike beyond reasonable doubt kwamba ametenda kosa analotuhumiwa! Kama si utawala wa kijeshi kama unavyopendekeza basi tu-replace Approved Dictatorship Governance with Good Governance!

..sidhani kama niliipinga hoja yako.

..lakini kama niliipinga, basi sasa hivi nina mtizamo tofauti.

..yaliyotokea ktk bunge la katiba kwa kweli yamenikatisha tamaa.
 
Back
Top Bottom