Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,683
- 2,158
Naanza kuiona taswira ya wapinzani kuchukua dola ya Tanzania hasa baada ya huu umoja wao katika UKAWA! Hii ilikuwa tamaa yangu ya mda mrefu kuona wapinzani wanaungana pamoja. Japo si shabiki wa siasa, lakini nilikuwa nikijiuliza na wakati mwingine kuwapa changamoto rafiki zangu wanaoshabikia siasa. Kwanini MAREKANI mfadhili mkuu wa vyama vingi duniani wana vyama viwili tu vikuu!? Naamini UKAWA ni mwanzo mzuri! Hongera CHADEMA kwa influnce,Mtaalam MBATIA na PROF. LIPUMBA kwa kuelewa umuhim wa umoja