Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,524
- 4,472
Wamesalitiwa na vyama vingine ambavyo inaonesha dhahiri kuwa nia yao si nzuri ndani ya Tanzania
Chadema wameonyesha ngozi yao halisi kwenye hili janga LA Corona wametoka hadharani na kuionyesha Dunia kuwa wanataka watanzania wengi waugue na wafe kwa Corona ili kwao uwe ni mtaji wa kisiasa
Chadema wamepoteza dira na mwelekeo wamekuwa wadandia hoja na wakwamisha wakubwa wa maendeleo ya Tanzania
Nauliza swali nauliza. Je? Hawa jamaa wanaowaombea Watanzania wengi wafe wanatisha watu wanawaua watu kisaikolojia nn lengo lao? Tusiwaruhusu October wasipate hata kata moja yaani waambulie patupu watu hawa wenye mawazo ya kipumbavu kifedhuli