CHADEMA wamdhalilisha Wema Sepetu

CHADEMA wamdhalilisha Wema Sepetu

Haiendani na mtu mwenye wafuasi m 2 apokelewe na diwani. Sisi kwetu alikuwa mwanachama wa kawaida Sana. Kwenu ndio habari Ya mjini. Nawapa wiki mbili story za wema zitakuwa kwishiney. Watz tutakuwa na kitu kingine cha kuongelea.
Aliye mpokea Ni mjumbe wa NEC Ni hadhi kubwa sana pili chadema siyo CCM kuwa tunaonyesha usharobalo
 
Chadema ni wabobezi wa maswala ya utawala,,,wanazingatia sana "distribution of power"
 
Haiendani na mtu mwenye wafuasi m 2 apokelewe na diwani. Sisi kwetu alikuwa mwanachama wa kawaida Sana. Kwenu ndio habari Ya mjini. Nawapa wiki mbili story za wema zitakuwa kwishiney. Watz tutakuwa na kitu kingine cha kuongelea.
Uko sawa mkuu lakini habari kamili ni 2020 yataibuka mapya na mapya zaidi lakini 2020 ndio mjumuisho wa yote yanayotokea na yatakayotokea pia
 
NAWAZA TU:

Kuna vitu Nimeshindwa kuelewa kuhusu Wema Sepetu hivi mtu anayeonekana mashuhuri tena mwenye wafuasi Wengi,Kwanini press conference afanyie nyumbani kwao na siyo ofisi ya Chama walau hata mkoa?

Hivi kwanini mtu mwenye wafuasi Wengi Kama Wema Sepetu Kama ambavyo wafuasi wa chadema wanavyojinadi asipewe kadi hata na Naibu katibu mkuu wa Chama wala hata kuhudhuria shuguli na kumuachia meya?

Hata mwenyekiti wa Chama mkoa ameshindwa kuhudhuria Sherehe kumkabidhi kadi msanii mwenye wafuasi milioni mbili kama wafuasi wa chadema wanavyojinasibu?

Naona kama CHADEMA wamemdhalilisha Wema Sepetu Kwa kumtuma meya Ndiyo apokee kadi
Wema Sepetu Pamoja na umaarufu wako wote unakabidhiwa kadi na Diwani wa Kata?

Nikitazama Ili Ndiyo Naona kupotea kwa wema Sepetu ktk siasa inaonesha kuwa viongozi wakuu wa chadema hakumwamini wema Ndiyo maana wamejitenga naye.

Stay tuned
Na Frey Cosseny
Vilaza mko kibao hivi kumbe umaarufu unapimwa na aliyekabidhi kadi!!! umejaa wivu au ugiligili
 
Haiendani na mtu mwenye wafuasi m 2 apokelewe na diwani. Sisi kwetu alikuwa mwanachama wa kawaida Sana. Kwenu ndio habari Ya mjini. Nawapa wiki mbili story za wema zitakuwa kwishiney. Watz tutakuwa na kitu kingine cha kuongelea.
Sasa ulitaka mumuongelee mwaka mzima mbona ww huongelew au ww unaumia anavyoongelewa sasa
 
Wema hajakabidhiwa kadi bado...utaalikwa tu uje ushuhudie na wewe...
 
Subiri acha haraka atakabidhiwa kadi na mwenyekiti pamoja na wafuasi wake.
 
Kwahiyo Rais Magufuli anapokuwa na Ugeni wa Rais mwenzie kisha anamtuma Waziri Mkuu Majaliwa au Waziri wa Mambo ya Nje Mahiga waende kumpokea nae anakuwa amemdhalilisha huyo Rais mwenzie? Wewe ratiba za Viongozi Wakuu wa CHADEMA unazo? Kwani Wema Sepetu alikuambia kuwa akiwa leo anahamia huko CHADEMA anataka Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA awepo? Nachukia sana Watu hopeless na wasio na Hoja zenye Mashiko mbele ya Great Thinkers wa JF.
Nilifikiri baada ya hii post yako iliyoenda shule hili zwazwa lingeufuta uzi wake na kutokomea kusikojulikana kwa aibu kubwa!

Unaweza ukakuta alikula akashiba kabisa na akakaa akawaza akaona hiki alicholeta ndio hoja kwelikweli!
 
Kwahiyo Rais Magufuli anapokuwa na Ugeni wa Rais mwenzie kisha anamtuma Waziri Mkuu Majaliwa au Waziri wa Mambo ya Nje Mahiga waende kumpokea nae anakuwa amemdhalilisha huyo Rais mwenzie? Wewe ratiba za Viongozi Wakuu wa CHADEMA unazo? Kwani Wema Sepetu alikuambia kuwa akiwa leo anahamia huko CHADEMA anataka Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA awepo? Nachukia sana Watu hopeless na wasio na Hoja zenye Mashiko mbele ya Great Thinkers wa JF.
Umeongea fact hadi umenikunia moyo wangu! Inashangaza kweli jitu linaakili kuropoka ugoro, that means akienda mgeni kwao ili asionekane kuzalilishwa halishindwi kumuambia mama yake akalale nae ijapokua nimgen wa kiume.
 
Chadema wakikaa oficni vikao vya ndani mnawakamata,wakiwa hadharani mnawakamata,hamtaki c asa.ss kafanyia Haya kwao mmnasema ! Mlitaka yule mama akirudisha kadi ya ccm akiwa ofic za chadema mumkamate na kupekua ofic mkidai kapeleka unga wa mwanae kuficha oficni za Chadema? Kwenu jema lipi.Mara Wema co lolote,Mara hana athari,alipokua ccm mbona yote Haya hamkuyasema ? Jamani ccm mbona hamkaichini kutafakari mtakavyoitoa nchi hapo mlipo itosa,Mmebaki,kufikisha watu mahakamani kisa kamtaja raisi,/kaisema serikali,kamkosoa mtukufu sana.hamuoni Haya /aibu? Hizo ahadi za viwanda,elimu chee mtatimiza lini?mmejitosa kwe umbea na majungu yaliyowazidi kimo,hamjui mlianzia wapi,mshike lipi,mmebaki,mnahangaika huku na Kule !ya Chadema na wahamiaji wake cmuwaachie wenyewe? Mtafanya kazi ngapi,za ccm nyie za chadema nyie police nyie mahakama nyie c ndo maana mnarukwa wehu hamjui mnachofanya Mmebaki kukurupuka ktk kila jambo.bora hili lichama liuwawe tupumzike,
We unaongelea elimu bure? Kuna nn hapo cha maana hio ipo kisiasa tu haina tofauti nakuzalisha bidhaa nyingi zilizokosa quality ambazo ukiziingiza sokoni hazina faida, zikiongozwa na chuo kikuu cha kata.
 
Kwahiyo Rais Magufuli anapokuwa na Ugeni wa Rais mwenzie kisha anamtuma Waziri Mkuu Majaliwa au Waziri wa Mambo ya Nje Mahiga waende kumpokea nae anakuwa amemdhalilisha huyo Rais mwenzie? Wewe ratiba za Viongozi Wakuu wa CHADEMA unazo? Kwani Wema Sepetu alikuambia kuwa akiwa leo anahamia huko CHADEMA anataka Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA awepo? Nachukia sana Watu hopeless na wasio na Hoja zenye Mashiko mbele ya Great Thinkers wa JF.
We nae mbona ni aina hiyo hiyo!!
 
NAWAZA TU:

Kuna vitu Nimeshindwa kuelewa kuhusu Wema Sepetu hivi mtu anayeonekana mashuhuri tena mwenye wafuasi Wengi,Kwanini press conference afanyie nyumbani kwao na siyo ofisi ya Chama walau hata mkoa?

Hivi kwanini mtu mwenye wafuasi Wengi Kama Wema Sepetu Kama ambavyo wafuasi wa chadema wanavyojinadi asipewe kadi hata na Naibu katibu mkuu wa Chama wala hata kuhudhuria shuguli na kumuachia meya?

Hata mwenyekiti wa Chama mkoa ameshindwa kuhudhuria Sherehe kumkabidhi kadi msanii mwenye wafuasi milioni mbili kama wafuasi wa chadema wanavyojinasibu?

Naona kama CHADEMA wamemdhalilisha Wema Sepetu Kwa kumtuma meya Ndiyo apokee kadi
Wema Sepetu Pamoja na umaarufu wako wote unakabidhiwa kadi na Diwani wa Kata?

Nikitazama Ili Ndiyo Naona kupotea kwa wema Sepetu ktk siasa inaonesha kuwa viongozi wakuu wa chadema hakumwamini wema Ndiyo maana wamejitenga naye.

Stay tuned
Na Frey Cosseny

Ninachoshangaa mnamponda Wema lakini mko busy mitandaoni,akiongea kila taka taka.Sasa huyo Wema asiyefaa mbona kumzungumza hivyo.Kaka ukiwa chooni huwa hawasemi nyamaza kwanza Malisa shughuli
 
Haiendani na mtu mwenye wafuasi m 2 apokelewe na diwani. Sisi kwetu alikuwa mwanachama wa kawaida Sana. Kwenu ndio habari Ya mjini. Nawapa wiki mbili story za wema zitakuwa kwishiney. Watz tutakuwa na kitu kingine cha kuongelea.
Sasa wewe unataka baada ya hizo wiki mbili stori za wema ziendelee ili iweje? Kama keshahamia Chadema yeye na wafuasi wake wasubiri uchaguzi mkuu 2020 wapige kura .hatutaki mbwembwe
 
Haiendani na mtu mwenye wafuasi m 2 apokelewe na diwani. Sisi kwetu alikuwa mwanachama wa kawaida Sana. Kwenu ndio habari Ya mjini. Nawapa wiki mbili story za wema zitakuwa kwishiney. Watz tutakuwa na kitu kingine cha kuongelea.
Hivi vichwa vyenu huwa vinabeba madude gani?
 
NAWAZA TU:

Kuna vitu Nimeshindwa kuelewa kuhusu Wema Sepetu hivi mtu anayeonekana mashuhuri tena mwenye wafuasi Wengi,Kwanini press conference afanyie nyumbani kwao na siyo ofisi ya Chama walau hata mkoa?

Hivi kwanini mtu mwenye wafuasi Wengi Kama Wema Sepetu Kama ambavyo wafuasi wa chadema wanavyojinadi asipewe kadi hata na Naibu katibu mkuu wa Chama wala hata kuhudhuria shuguli na kumuachia meya?

Hata mwenyekiti wa Chama mkoa ameshindwa kuhudhuria Sherehe kumkabidhi kadi msanii mwenye wafuasi milioni mbili kama wafuasi wa chadema wanavyojinasibu?

Naona kama CHADEMA wamemdhalilisha Wema Sepetu Kwa kumtuma meya Ndiyo apokee kadi
Wema Sepetu Pamoja na umaarufu wako wote unakabidhiwa kadi na Diwani wa Kata?

Nikitazama Ili Ndiyo Naona kupotea kwa wema Sepetu ktk siasa inaonesha kuwa viongozi wakuu wa chadema hakumwamini wema Ndiyo maana wamejitenga naye.

Stay tuned
Na Frey Cosseny
Wamestuka!
Ilipangwa apewe kadi ufipa street,na yule msemaji wa chadema alithibitisha kuwa kapewa maelekezo na uongozi wa juu aandae press conference Ufipa,ya kumtambulisha mvuta bangi mpya.
Lakini wenye akili wakagundua huyo ni liability kubwa sana,wakamshawishi akatangazie kwao,ili iwe rahisi kumkana,kwa kuwa wanamjua ataharibu tu
 
Kwahiyo Rais Magufuli anapokuwa na Ugeni wa Rais mwenzie kisha anamtuma Waziri Mkuu Majaliwa au Waziri wa Mambo ya Nje Mahiga waende kumpokea nae anakuwa amemdhalilisha huyo Rais mwenzie? Wewe ratiba za Viongozi Wakuu wa CHADEMA unazo? Kwani Wema Sepetu alikuambia kuwa akiwa leo anahamia huko CHADEMA anataka Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA awepo? Nachukia sana Watu hopeless na wasio na Hoja zenye Mashiko mbele ya Great Thinkers wa JF.
Kadi ya Wema ni namba ngapi vile!
 
Back
Top Bottom