Usishangae wamelishtukia kwani ukisikiliza baadhi audio ya Steve Nyerere wanatafuta namna ya kupiga mkwanja toka CCM kwa kutishia kuondoka CCM, hivyo CCM wanaweza kuwavuta wakarudi CCM kwa njaa waliyonayo kwani huko CDM sidhani kama wataambua chochoteNAWAZA TU:
Kuna vitu Nimeshindwa kuelewa kuhusu Wema Sepetu hivi mtu anayeonekana mashuhuri tena mwenye wafuasi Wengi,Kwanini press conference afanyie nyumbani kwao na siyo ofisi ya Chama walau hata mkoa?
Hivi kwanini mtu mwenye wafuasi Wengi Kama Wema Sepetu Kama ambavyo wafuasi wa chadema wanavyojinadi asipewe kadi hata na Naibu katibu mkuu wa Chama wala hata kuhudhuria shuguli na kumuachia meya?
Hata mwenyekiti wa Chama mkoa ameshindwa kuhudhuria Sherehe kumkabidhi kadi msanii mwenye wafuasi milioni mbili kama wafuasi wa chadema wanavyojinasibu?
Naona kama CHADEMA wamemdhalilisha Wema Sepetu Kwa kumtuma meya Ndiyo apokee kadi
Wema Sepetu Pamoja na umaarufu wako wote unakabidhiwa kadi na Diwani wa Kata?
Nikitazama Ili Ndiyo Naona kupotea kwa wema Sepetu ktk siasa inaonesha kuwa viongozi wakuu wa chadema hakumwamini wema Ndiyo maana wamejitenga naye.
Stay tuned
Na Frey Cosseny
Amelipwa milioni mia mbiliUsishangae wamelishtukia kwani ukisikiliza baadhi audio ya Steve Nyerere wanatafuta namna ya kupiga mkwanja toka CCM kwa kutishia kuondoka CCM, hivyo CCM wanaweza kuwavuta wakarudi CCM kwa njaa waliyonayo kwani huko CDM sidhani kama wataambua chochote
Tutakuongelea wewe utakavyoenda kupimwa marinda na kingwangalaHaiendani na mtu mwenye wafuasi m 2 apokelewe na diwani. Sisi kwetu alikuwa mwanachama wa kawaida Sana. Kwenu ndio habari Ya mjini. Nawapa wiki mbili story za wema zitakuwa kwishiney. Watz tutakuwa na kitu kingine cha kuongelea.
Inaniudhi hii tabia ya majitu ambayo wao ni mitusi tu, hivi hawaoni haya?Kwani lazima utukane?? Kuwa muungwana!!
347LIKESwewe ni mpumbavu
MmechokwaHaiendani na mtu mwenye wafuasi m 2 apokelewe na diwani. Sisi kwetu alikuwa mwanachama wa kawaida Sana. Kwenu ndio habari Ya mjini. Nawapa wiki mbili story za wema zitakuwa kwishiney. Watz tutakuwa na kitu kingine cha kuongelea.
WALIIBA KURAWafuasi 12M wa Wema sio lazima wote wawe shabiki wa chama anachokipenda kisiasa. Wengi wao ni wanawake ambao ndio mtaji wa wale jamaa wa mavazi ya kijani. Chadema ijipange isibwete na tukio hili lazima wajifunze kupitia umati ule wa babu Mamvi wakati wa kampeni na matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2015. Sio kila shabiki atawapa kura yake.
Leo ndiyo kuitwa mpumbavu unaona ni tusi?!Kwani lazima utukane?? Kuwa muungwana!!
Pilipili iko shamba, wewe yakuwashia nini? Kwa Taarifa yako Boniface Jacob ni kiongozi wa kitaifa kama mjumbe wa kamati kuu. Pia ni mwenyekiti wa chama mkoa wa Kinondoni. Pole sanaNAWAZA TU:
Kuna vitu Nimeshindwa kuelewa kuhusu Wema Sepetu hivi mtu anayeonekana mashuhuri tena mwenye wafuasi Wengi,Kwanini press conference afanyie nyumbani kwao na siyo ofisi ya Chama walau hata mkoa?
Hivi kwanini mtu mwenye wafuasi Wengi Kama Wema Sepetu Kama ambavyo wafuasi wa chadema wanavyojinadi asipewe kadi hata na Naibu katibu mkuu wa Chama wala hata kuhudhuria shuguli na kumuachia meya?
Hata mwenyekiti wa Chama mkoa ameshindwa kuhudhuria Sherehe kumkabidhi kadi msanii mwenye wafuasi milioni mbili kama wafuasi wa chadema wanavyojinasibu?
Naona kama CHADEMA wamemdhalilisha Wema Sepetu Kwa kumtuma meya Ndiyo apokee kadi
Wema Sepetu Pamoja na umaarufu wako wote unakabidhiwa kadi na Diwani wa Kata?
Nikitazama Ili Ndiyo Naona kupotea kwa wema Sepetu ktk siasa inaonesha kuwa viongozi wakuu wa chadema hakumwamini wema Ndiyo maana wamejitenga naye.
Stay tuned
Na Frey Cosseny
Ben akitukana na wewe unatukana??Leo ndiyo kuitwa mpumbavu unaona ni tusi?!
Mbona Rais Mstaafu Ben alituita watanzania wapumbavu na malofa na hatukukuona wakati ule ukimwambia Ben kuwa inakuwaje utuite waTz kuwa ni wapumbavu na malofa?
Kama ulichoandika kina maanisha, unataka uambiweje?Kwani lazima utukane?? Kuwa muungwana!!
Kwa hiyo hapo ndio umewaza? Ama kweli CCM in vichwa majiNAWAZA TU:
Kuna vitu Nimeshindwa kuelewa kuhusu Wema Sepetu hivi mtu anayeonekana mashuhuri tena mwenye wafuasi Wengi,Kwanini press conference afanyie nyumbani kwao na siyo ofisi ya Chama walau hata mkoa?
Hivi kwanini mtu mwenye wafuasi Wengi Kama Wema Sepetu Kama ambavyo wafuasi wa chadema wanavyojinadi asipewe kadi hata na Naibu katibu mkuu wa Chama wala hata kuhudhuria shuguli na kumuachia meya?
Hata mwenyekiti wa Chama mkoa ameshindwa kuhudhuria Sherehe kumkabidhi kadi msanii mwenye wafuasi milioni mbili kama wafuasi wa chadema wanavyojinasibu?
Naona kama CHADEMA wamemdhalilisha Wema Sepetu Kwa kumtuma meya Ndiyo apokee kadi
Wema Sepetu Pamoja na umaarufu wako wote unakabidhiwa kadi na Diwani wa Kata?
Nikitazama Ili Ndiyo Naona kupotea kwa wema Sepetu ktk siasa inaonesha kuwa viongozi wakuu wa chadema hakumwamini wema Ndiyo maana wamejitenga naye.
Stay tuned
Na Frey Cosseny
Mengine siyo matusi bali ni lugha kali ya kufundishia tuKwani lazima utukane?? Kuwa muungwana!!