CHADEMA wamchagua Meya wa CCM licha ya wingi wao

CHADEMA wamchagua Meya wa CCM licha ya wingi wao

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI

Ina Madiwani kama ifatavyo:

CHADEMA - 19
CCM - 16

Jana walifanya uchaguzi wa:
1- Mwenyekiti wa Halmashauli (almaarufu wa Kanseli)...
2- Makamu Mwenyekiti wa Halmashauli

Matokeo:
"WOTE WAMETOKA CCM."

KUNA FUNZO KUBWA SANA HAPO
 
HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI

Ina Madiwani kama ifatavyo:

CHADEMA - 19
CCM - 16

Jana walifanya uchaguzi wa:
1- Mwenyekiti wa Halmashauli (almaarufu wa Kanseli)...
2- Makamu Mwenyekiti wa Halmashauli

Matokeo:
"WOTE WAMETOKA CCM."

KUNA FUNZO KUBWA SANA HAPO
Weka na kura zao tuone ili tujue kama hapakuwa na mamluki kwenye uchaguzi huo. Kumbuka yaliyotokea Arusha kipindi kile, maccm yalimpandika katibu wa ccm kuwa diwani wake kwa vile ni mbunge wa viti maalum. Ila kama kuna mwana-UKAWA kampigia wa ccm basi kazi ipo!! Hivyo tusishangae hata jiji la Dar kwenda ccm!!
 
Kichini chini Magufuli ?-najiimalisha mpaka kwa wapinzani.
 
ni kweli hii niliona star tv,,kati ya jana au juzi
 
Magufuli anaweza kuubadili upepo wa siasa za nchi hii,ila si kwa haraka kiasi hiki,kama madiwani wa chadema wamesombwa na upepo huu haraka namna hii basi niseme tu kuwa walikuwa wepesi kupitiliza,hawajui wanachosimamia,in short hawana msimamo,kwa lugha nyingine ni bendera fata upepo,inafaa wawekwe chini,wafundwe,wajue kusimamia misingi ya kisiasa ya chama kilichowapa ridhaa.
 
Subiri nyumbu waje

Nyumbu ni ccm ambao miaka 54 Nchi haina maendeleo wanaishi kwa matumaini kuwa ipo siku mungu atafanya muujiza na kumaliza mfumo Fisadi ambao unapendwa na wana-ccm wengi.
 
hii habari ni ya kikuda haina ukweli wowote
HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI

Ina Madiwani kama ifatavyo:

CHADEMA - 19
CCM - 16

Jana walifanya uchaguzi wa:
1- Mwenyekiti wa Halmashauli (almaarufu wa Kanseli)...
2- Makamu Mwenyekiti wa Halmashauli

Matokeo:
"WOTE WAMETOKA CCM."

KUNA FUNZO KUBWA SANA HAPO
 
Back
Top Bottom