CHADEMA walipeni mawakala wenu waliosimamia uchaguzi

CHADEMA walipeni mawakala wenu waliosimamia uchaguzi

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,900
Reaction score
52,036
Mawakala wengi waliosimamia uchaguzi vituoni wakiwakilisha CHADEMA wanalia njaa hadi leo hawajalipwa.Waliahidiwa kuwa watalipwa wakishamaliza kazi.

Kazi wamemaliza pesa hawajalipwa.Wengine wakiuuliza wanaambiwa mgombea uraisi mliyekuwa mnasimamia kashindwa kupata uraisi sasa mnataka mlipwe kwa kitu gani? Yaani awalipe kwa kusimamia kushindwa kwake?

Wengine wanaambiwa hiyo ilikuwa kazi ya kujitolea kuchangia kwenye chama nguvu yao sababu kama wanachama hawajawahi changia pesa kwenye chama.

Yaani wamenyong`onyea hawajui haki watapata wapi na hawakuwa na mkataba wa maandishi zaidi ya kuambiwa kwa mdomo.

Yaani hadi wanatia huruma wapeni chao jaman, kushindwa Uraisi isiwe nongwa mkashindwa kuwalipa watu haki zao.Punguzeni hasira msiwawakie hadi mawakala ambao hawajawakosea lolote
 
sikweli..ukweli nikuwa wote watalipwa.bado kunamambo yanwekwa sawa. tusipende kuchonganisha
 
Jamaa wanadai waombolezaji msibani.Wangekuwa na mikataba nao wangeenda kushitaki ICJ.
 
Makamanda waende kushitaki ICJ....Teh Teh
 
Ndio shida ya kuweka mawakala njaaa..ht akihongwa laki 1 anauza kura....mimi sina hela lkn ningeenda aisee ningekua najitolea yn nasimamia kwa MOYO..ht chooni siendi..
 
Mawakala wengi waliosimamia uchaguzi vituoni wakiwakilisha CHADEMA wanalia njaa hadi leo hawajalipwa.Waliahidiwa kuwa watalipwa wakishamaliza kazi.

Kazi wamemaliza pesa hawajalipwa.Wengine wakiuuliza wanaambiwa mgombea uraisi mliyekuwa mnasimamia kashindwa kupata uraisi sasa mnataka mlipwe kwa kitu gani? Yaani awalipe kwa kusimamia kushindwa kwake?

Wengine wanaambiwa hiyo ilikuwa kazi ya kujitolea kuchangia kwenye chama nguvu yao sababu kama wanachama hawajawahi changia pesa kwenye chama.

Yaani wamenyong`onyea hawajui haki watapata wapi na hawakuwa na mkataba wa maandishi zaidi ya kuambiwa kwa mdomo.

Yaani hadi wanatia huruma wapeni chao jaman, kushindwa Uraisi isiwe nongwa mkashindwa kuwalipa watu haki zao.Punguzeni hasira msiwawakie hadi mawakala ambao hawajawakosea lolote
Kuna majimbo mawakala waliuza kura, hao hawana haja ya kulipwa na bora waendelee kudai, wakalipwe na hao waliowauzia kura.
 
Yaan kuangukia kidevu kwa jitu jeupe lenye mamvi meupe kumeifanya jf itulie.

Maana humu kipind cha kampen nyumbu walizidi makelele wanaanzisha thread zisizo na kichwa wala miguu.

Lakn sasa hivi nyumbu mkuu mweupe amenyofolewa sikio na wale nyumbu wengne wawili weusi wapo kimyaa wakiongozwa na nyumbu mzee kibogoyo.
 
Mm nilikuwa mmoja katika mawakala wao jumbo la tanga mjini kata ya central mpaka leo hii hatujalipwa na ukiwapigia cmu hawaeleweki hadi leo bado hawasem chochote kwa kweli kwa hali hii kwa nn mawakala wasiuze kura afu bora wangetuambia ni kazi ya kujitolea mtu aelewe
 
Mtoa madaa huna lolote.mbona wengi tulilipwa Tumee tu hawakulipa Na ni vibarua Wa serikali sembuse Chadema kea hao wachache waliobaji?Na sisiem he wote mmewalipa au ndo Pilipili ya shamba yakuwashia nini
 
Back
Top Bottom