CHADEMA walipeni mawakala wenu waliosimamia uchaguzi

CHADEMA walipeni mawakala wenu waliosimamia uchaguzi

Hao mawakala walitegemea walipwe na nani kama chama chenyewe kimejaa wapigaji
 
Mtoa madaa huna lolote mbona wengi tulilipwa

Kama wengi mmelipwa taja hapa nyie ni wa majimbo yepi na vituo vipi tafadhali hapa Jamii forums ni mahali pa uwazi na ukweli.Weka wazi.
 
Kuna majimbo mawakala waliuza kura, hao hawana haja ya kulipwa na bora waendelee kudai, wakalipwe na hao waliowauzia kura.

Unaweza ukayataja hayo majimbo na ushahidi kuwa waliuza kura ili wajijue kuwa hawalipwi kwa sababu hiyo?
 
Chadema wanadaiwa mpaka na makatibu wa majimbo.wamekula hasara sana uchaguzi huu
 
Back
Top Bottom