Mpekuzi Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 662
- 1,041
Ile Mikutano ya Helcopter imeishia wapi?
Maridhiano yameisha wapi?
Bajeti Kuu imesomwa, hatuwasikiii?
Ndege kubwa ya Mizigo imefika Nchini hamjaiona?
NMB wametoa gawio kubwa kuliko hamjaona?
Maridhiano yameisha wapi?
Bajeti Kuu imesomwa, hatuwasikiii?
Ndege kubwa ya Mizigo imefika Nchini hamjaiona?
NMB wametoa gawio kubwa kuliko hamjaona?