@Bofloo.... maandamano ya Waislamu dhidi ya Serikali ya DHAIFU na chama chake twawala cha magamba, maandamano haya yanaiweka vipi CDM kwenye dilemma!? Magamba ndio inabidi waingie na wasiwasi maana kama vurumai hizi zikiendelea na waislam wengi kuamua kuachana na magamba kwa kutopiga kura 2015 au kupigia chama kingine basi magamba itakula kwao.