Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,791
- 34,792
Unahisi kwa nn watu hawaendi mikutano ya chadema?Ianze CCM na wengine watakuwa katika nafasi ya kujitafakari[emoji848]
Porojo za machawa kijani,hata ikiwepo nyoni mnaleta uongo wenu humu🤔Unahisi kwa nn watu hawaendi mikutano ya chadema?
Sasa hapo lisu yupo wapi? Unaleta picha za asubuhi Ili kufurahisha chawa wenzako?Chadema inapewa adhabu na wananchi, wananchi wameigomea jumla. Leo nilikuwa singida kuthibitisha hili. CCM imepokelewa na maelfu ya watu kwenye mkutano wao, wakati huo huo wananchi wachache mno walijitokeza kwenye mkutano wa chadema. Wengi walihisi singida ingesimama, lakini hali imekua mbaya sana.
Inapaswa chadema Wajitafakari wapi wamewakosea watanzania, siasa ni watu. Kama watu wengi hawakuungi mkono tafsiri yake hawauelewi au pengine umekosea.
Kwa Hali ilivyo kuna siku watanzania watawapopoa mawe jukwaani.
Kazi kwenu, mwenye masikio na asikie.....
Chini nimeweka Video na picha, maana wengi hawaamini mpaka video.
View attachment 2507463View attachment 2507464
Mlete mama yako asikike kama inakuumaWatanzania wamecho ,haiwezekana takribani miaka ishirini sauti zinazosikika kwenye hiki chama ni Mbowe,Lema ,John Mrema ,na kwa mbali Lisu ,Msigwa,na Sugu .Heche yeye kafanya twiter ni chimbo lake .Ni watanzania wangapi wako twiter? Kwa maani hiyo hiki chama ni lazima kizaliwe upya kabisa kwa sura mpya .
Wapumbafuuuu watupu hao chademaChadema inapewa adhabu na wananchi, wananchi wameigomea jumla. Leo nilikuwa singida kuthibitisha hili. CCM imepokelewa na maelfu ya watu kwenye mkutano wao, wakati huo huo wananchi wachache mno walijitokeza kwenye mkutano wa chadema. Wengi walihisi singida ingesimama, lakini hali imekua mbaya sana.
Inapaswa chadema Wajitafakari wapi wamewakosea watanzania, siasa ni watu. Kama watu wengi hawakuungi mkono tafsiri yake hawauelewi au pengine umekosea.
Kwa Hali ilivyo kuna siku watanzania watawapopoa mawe jukwaani.
Kazi kwenu, mwenye masikio na asikie.....
Chini nimeweka Video na picha, maana wengi hawaamini mpaka video.
View attachment 2507463View attachment 2507464
MBONA HAO WENGI SANA MKUU, KWENYE MAGEUZI HATUHITAJI WATU WENGI.Chadema inapewa adhabu na wananchi, wananchi wameigomea jumla. Leo nilikuwa singida kuthibitisha hili. CCM imepokelewa na maelfu ya watu kwenye mkutano wao, wakati huo huo wananchi wachache mno walijitokeza kwenye mkutano wa chadema. Wengi walihisi singida ingesimama, lakini hali imekua mbaya sana.
Inapaswa chadema Wajitafakari wapi wamewakosea watanzania, siasa ni watu. Kama watu wengi hawakuungi mkono tafsiri yake hawauelewi au pengine umekosea.
Kwa Hali ilivyo kuna siku watanzania watawapopoa mawe jukwaani.
Kazi kwenu, mwenye masikio na asikie.....
Chini nimeweka Video na picha, maana wengi hawaamini mpaka video.
View attachment 2507463View attachment 2507464
Chadema inapewa adhabu na wananchi, wananchi wameigomea jumla. Leo nilikuwa singida kuthibitisha hili. CCM imepokelewa na maelfu ya watu kwenye mkutano wao, wakati huo huo wananchi wachache mno walijitokeza kwenye mkutano wa chadema. Wengi walihisi singida ingesimama, lakini hali imekua mbaya sana.

Kamanda ,matusi hayakusadii,badilisheni mbinu ,kuendelea kuwategemea Mbowe na Lema mnajidanganya walaiMlete mama yako asikike kama inakuuma
Chadema inapewa adhabu na wananchi, wananchi wameigomea jumla. Leo nilikuwa singida kuthibitisha hili. CCM imepokelewa na maelfu ya watu kwenye mkutano wao, wakati huo huo wananchi wachache mno walijitokeza kwenye mkutano wa chadema. Wengi walihisi singida ingesimama, lakini hali imekua mbaya sana.
Inapaswa chadema Wajitafakari wapi wamewakosea watanzania, siasa ni watu. Kama watu wengi hawakuungi mkono tafsiri yake hawauelewi au pengine umekosea.
Kwa Hali ilivyo kuna siku watanzania watawapopoa mawe jukwaani.
Kazi kwenu, mwenye masikio na asikie.....
Chini nimeweka Video na picha, maana wengi hawaamini mpaka video.
View attachment 2507463View attachment 2507464
Video umeangalia?Mwaka huu kazi mnayo

Unahisi kwa nn watu hawaendi mikutano ya chadema?
Watanzania wamecho ,haiwezekana takribani miaka ishirini sauti zinazosikika kwenye hiki chama ni Mbowe,Lema ,John Mrema ,na kwa mbali Lisu ,Msigwa,na Sugu .Heche yeye kafanya twiter ni chimbo lake .Ni watanzania wangapi wako twiter? Kwa maani hiyo hiki chama ni lazima kizaliwe upya kabisa kwa sura mpya .
Wapumbafuuuu watupu hao chadema
Wanataka kushindana na akili na uzalendo wa mtukufu JPM SHANZI TAIPU
Kamanda ,matusi hayakusadii,badilisheni mbinu ,kuendelea kuwategemea Mbowe na Lema mnajidanganya walai