Mwiba umepoteza mwelekeo na credibility!Unafahamu jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza,mambo ambayo yangetokea kama maandamano yangefanyika yangelipelekea Chadema kufutwa na pia wengi wa viongozi kuishia gerezani.
Majanga ambayo yangetokea kusingelikuwa na wa kumshika isipokuwa wahusika wangelikuwa ni Chama cha Chadema.Ni vizuri Chadema kutafuta ni habari gani polisi walikuwa nazo na ni akina nani walitayarisha mipango hiyo ya hatari,Je ni UVCCM au Ni WaChadema.
Habari za kiintelijensia ambazo polisi wamesema wanazo au walizipata bila ya wasiwasi wowote ule zingehatarisha usalama wa raia wengi kuliko inavyofikiriwa ,nionavyo ndio maana polisi wakalazimika kuzima maandamano kwa njia yeyote ile alimuradi nia ya waliokusudia uovu kutumia maandamano hayo zisifanikiwe.
Inawezekana kabisa habari hizo zikawa na ukweli au zikawa ni rummors zisizo na uthibitisho wowote ule, sasa inakuja kuja hali ya kudhibiti ni pale tunaposema ni bora kukinga kuliko kutibu,polisi wamekinga.
Ingawa kuna watu humu watakuja na ujuwaji kulivyo wanavyojua,hao huwa nawaweka mkono wa kushoto na ni watu wa kupuuzwa,changamoto iliyopo ni uongozi wa juu kutafuta hizo habari za kiupelelezi kutoka kwa jeshi la polisi na kuwajua wabaya wao waliotaka kujichomeka ndani ya maandamano ili kujua ukweli wa mambo.Tugange yajayo yaliopita si ndwele ndivyo waswahili tusemavyo.
Wacheni Jazba ,muhimu ni kutafutwa walichokuwa nacho polisi ,jamani hasira hazijengi ,JF ni moja ya kiini zipatikanapo habari za kiintelejinsia ,sasa kale kaizi chetu ni lazima kapite huko kwenye vitalu vya habari za upelelezi ziwekwe hapa ,ikiwa Chadema na uongozi wao watashindwa kuzipata ,kama mnafahamu hili sio jambo jepesi ni lazima ukweli wa kilichokuwa kitendeke ambacho polisi walikihofia kielezwe ,nani atakieleza ,je Chadema wanazijua au wameshazijua ,au walipokamatwa walimegewa na sasa wamekaa kimya ,wengine wacheni kumwaga mavumba maana mna harufu mbaya ya midomo.
A vry BIG THANKS!!! Una2mia knywaji gn nkfowadie ss hv?..The best crap of 9 Jan 2011..
Unafahamu jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza,mambo ambayo yangetokea kama maandamano yangefanyika yangelipelekea Chadema kufutwa na pia wengi wa viongozi kuishia gerezani.
Majanga ambayo yangetokea kusingelikuwa na wa kumshika isipokuwa wahusika wangelikuwa ni Chama cha Chadema.Ni vizuri Chadema kutafuta ni habari gani polisi walikuwa nazo na ni akina nani walitayarisha mipango hiyo ya hatari,Je ni UVCCM au Ni WaChadema.
Habari za kiintelijensia ambazo polisi wamesema wanazo au walizipata bila ya wasiwasi wowote ule zingehatarisha usalama wa raia wengi kuliko inavyofikiriwa ,nionavyo ndio maana polisi wakalazimika kuzima maandamano kwa njia yeyote ile alimuradi nia ya waliokusudia uovu kutumia maandamano hayo zisifanikiwe.
Inawezekana kabisa habari hizo zikawa na ukweli au zikawa ni rummors zisizo na uthibitisho wowote ule, sasa inakuja kuja hali ya kudhibiti ni pale tunaposema ni bora kukinga kuliko kutibu,polisi wamekinga.
Ingawa kuna watu humu watakuja na ujuwaji kulivyo wanavyojua,hao huwa nawaweka mkono wa kushoto na ni watu wa kupuuzwa,changamoto iliyopo ni uongozi wa juu kutafuta hizo habari za kiupelelezi kutoka kwa jeshi la polisi na kuwajua wabaya wao waliotaka kujichomeka ndani ya maandamano ili kujua ukweli wa mambo.Tugange yajayo yaliopita si ndwele ndivyo waswahili tusemavyo.
Yakhe mimi ni mtu wa kwanza kulaani mambo haya ,tena ni nambari one,tokea 2001 ,nafikiri ulikuwa wewe hujui hata kama kuna JF,wakati huo ikiitwa Jambo ,na ilikuwa Jambo kweli,sasa hii ya Arusha kwangu mimi ni muendelezo tu wa yale ambayo nikiyapinga kwa marefu na mapana ,siejui wakati huo mlikuwa wapi ,maana kama tungelikuwa pamoja wakati huo ,haya ya leo yasingetendeka,lakini mlitutenga na kutona wapemba si watu.Yaani wewe watu wote wanalaani yaliyotokea na wewe tu uko kinyume. Hebu fikiria ndugu yangu. Usiongelee tu kama kushabikia judge critically.
Wekeni pembeni matusi,hapa nilipo nipo na mkuu tena wa ngazi za juu kabisa,amesema kipo kitu ilikuwa kitokee na kama sio polisi kuingilia kati basi ana uhakika Chadema wangetwishwa mzigo wa lawama.
Nyie wengine mpo kusubiri habari tu,hebu ingieni deep kwenye hili jambo ili mjue ni kipi hicho walichokuwa nacho polisi ???
Kwa mara ya kwanza naungana na wanajamii!This is simply CRAP!Kila saa habari za kiintelijensia kiintelijensia...tupeni na sisi hizo habari zenu za kiintelijensia tupime maafa mliyosababisha na hicho mnachodai kingeweza kutokea!