CHADEMA waingia mtegoni kirahisi, itawagharimu

CHADEMA waingia mtegoni kirahisi, itawagharimu

Hahaha ....nipo humu kitambo nawaelewa vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
we jamaa unajifanyaga una akili sana,kumbe hamna kitu kabisa,watu wana react kutokanana uhalisia.unatia huruma aisee.Unatetea mambo yanayoendeshwa kwa ujanjaujanja,watu wanakauli zaidi ya moja wewe unatetea tu,wewe sio mtu mzuri kabisa.kikokotozi weka,kikokotozi toa,bomoa nyumba,usibomoe nyumba,wabomolee watu wa kimara,usiwabomolee watu wa mwanza,toa watu wenye vyeti feki,bashite usimtoe .........ondoa bunge live yeye anarushwa live kila siku,hakuna mikutano ya siasa,yeye anafanya siasa kila siku halafu wewe unashabikia tu.huwa nakudharau sana,wewe mtu usie na msimamo.Slaa nataka utawala wa sheria ,leo kaenda kuishi na watu wasiofata utawala wa sheria,kutofuata katiba.sijui umekula maharage ya wapi wewe jamaa,hujui unachokitaka,
 
Mkuu tujikite kwenye mada. Utusaidie Chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
hujaelewa nini kwenye komenti yangu hiyo,nilikua napenda sana michango yako zamani,lakini baada ya kuona u kigeugeu ndio maana nimekulaumu,na hivyo ndivyo kwabaadhi ya viongozi wa dini,wa vigeugeu,wanabadilika haraka,ama wanadanganyika hawana misimamo ,tazama viongozi wa katoliki DRC hao ndi wako na misimamo,wakibadilika watu watawalaumu.hiyo ni nature.nisome.
 
Hao viongozi wa dini ni wachumia tumbo tu kama wengi.. Tutasimama na viongozi wa kiroho.


Hakuna ubaya maana wale walikuwa ni viongozi wa dini sasa rais aite viongozi wa kiroho hao watampa ukweli . Amwalike Bagonza, amwalike Ruwaichi . Viongozi wa kiroho bado wapo anaweza waita .
 
Hilo hukuliona? Tatizo mnavichwa kama vya kuku wasahaulifu umefungua ka thread hukujua kuwa ma ccm yaliharisha kuhusu kakobe saiv mnajiisikiaje baada ya kumuita kakobe tapeli?
Same kwako ulikua umezamisha kichwa kwenye t**o lake alipoisema serikali leo unamkana. Kweli ninyi wafia vyama mna matatizo mnatakiwa kwenda kupimwa kama muwazima kweli ama la
 
Wanabodi,

Kama mlivyoona reaction ya viongozi wengi wa CHADEMA kutokana na mkutano wa viongozi wa dini pale ikulu na mkuu wa nchi. Zimetumika lugha za ajabu kidogo kubeza viongozi wale kwasababu tu hawakusema waliyotaka wasikie.

Naomba nitoe tahadhari kwa CHADEMA na hasa baraza la wazee. Mnatakiwa mrudishe nidhamu ya matamko yanayoweza kukichafua chama. Acheni mashabiki na wanamtandao waseme wanayotaka lakini viongozi wa chama lazima kuwe na utaratibu wa kutoa maoni ambao utakuwa msimamo rasmi wa chama bila kwenda kinyume na sera, itakadi na katiba yake.

Mchango wa viongozi wa dini kwa upinzani na hasa CHADEMA ni mkubwa mno. Msikubali mihemuko ya baadhi ya viongozi kuwafarakanisha. Tukio kama lile la ikulu si la viongozi kukurupuka na matusi huko twita bila kwanza kukutana na kujadili na kupata azimio la pamoja ambalo lina hekima na misingi ya kuheshimu mawazo ya wengine kama CHADEMA inavyopenda kuhubiri.

CHADEMA hakuna tena nidhamu kama zamani ambapo tulipata misimamo ya chama kwa utaratibu kupitia Tumaini Makene, Katibu mkuu na viongozi wengine lakini kwa utaratibu.

Naona viongozi wa CHADEMA wasio wakristo wamekuwa na hekima kwa kukaa kimya kuheshimu viongozi wao wa imani na kuwaacha wenzao wa kikristo wakiwakosea adabu viongozi wao.

Baraza la wazee CHADEMA jadilini mrudishe nidhamu kabla hawa vijana wenye mihemuko hawajafarakanisha chama na kila taasisi.

Sasa kupitia uzi huu ndio mtajua kati ya JPM na CHADEMA nani asiyependa kukosolewa. #uhuruwamawazo #practicewhatyoupreach

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini uiunganishe Cdm kwa kauli baadhi ya wabunge ?!. Kauli ya Cdm hutolewa msemaji wa chama, Katibu au mwenyekiti. Sijaona popote, hao watu watatu walipo comment, kuhusu kikao hicho cha Rais na viongozi wa kiroho !!!


Mnajitahidi sana kuitafutia Cdm sababu . Lakini si faida ya yeyote miongoni mwetu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadanganye vilaza wenzio. Hakuna mwanasiasa yeyote awe wa CCM au CHADEMA anayepigania wananchi. Wanapigania matumbo yao tu. Wewe pambana kivyako vyako tu.
Labda Magufuli japo sikubaliani na baadhi ya mambo yake waliobaki ni wachumia tumbo.
 
Same kwako ulikua umezamisha kichwa kwenye t**o lake alipoisema serikali leo unamkana. Kweli ninyi wafia vyama mna matatizo mnatakiwa kwenda kupimwa kama muwazima kweli ama la
Kakobe kawa malaika? Hapo mfia chama umezimisha kwenye tako la gwajima au?
 
Kakobe kawa malaika? Hapo mfia chama umezimisha kwenye tako la gwajima au?
Mimi nasema wafia chama mna matatizo kweli halafu unaniita mfia chama. Kumbe nipo sawa kusema mnatakiwa kupimwa umekua kama Kasuku unaiga kila nilichokisema.
 
CHADEMA hufanya yao, CCM hufanya yao na viongozi wa dini nao wameamua kufanya yao. . . .kwanini mnateseka?😀😀
 
Walichofanya vi


Hivi Lowassa alivokuwa CCM si mlikuwa mnamuita fisadi nyie yaani mchafu kabisa, ila kaja kwenu kawa msafi kuliko wote. Shule haijakusaidia
Hizi bangi sasa na kiashiria cha elimu yetu ni mbovu lowasa anaingiaje kwenye hii mada we mwehu? Na yeye ni mtu wa dini jana alikuwa ikulu kwa mualiko wa magufuli au alikuwa akikufumua malinda unaanza kumuota? Fungua thread yako ya ufisadi wa lowasa na namna chadema walivyomsafisha kwa mahakama zao.
 
Kiongozi mwingine akaomba vyoo vijengwe pembezoni mwa brbr ili tusichimbe dawa porini! Nikajua hawa watakuwa walipewa vimemo na wakakariri vinginevyo watakuwa Milembe ALUMNI
 
Hizi bangi sasa na kiashiria cha elimu yetu ni mbovu lowasa anaingiaje kwenye hii mada we mwehu? Na yeye ni mtu wa dini jana alikuwa ikulu kwa mualiko wa magufuli au alikuwa akikufumua malinda unaanza kumuota? Fungua thread yako ya ufisadi wa lowasa na namna chadema walivyomsafisha kwa mahakama zao.
Thread hiihii maaanina. . . .anatajwa mtu yeyote. Hanipangii mtu
 
Back
Top Bottom