CHADEMA waingia mtegoni kirahisi, itawagharimu

Naona viongozi wa CHADEMA wasio wakristo wamekuwa na hekima kwa kukaa kimya kuheshimu viongozi wao wa imani na kuwaacha wenzao wa kikristo wakiwakosea adabu viongozi wao.
Are we going to discuss this in abstract?

Viongozi wapi hao "Walio Wakristo au wasio wakristo"?

Mbona hili la 'ukristo' limechomekezwa hapa bila maelezo yoyote, wakati viongozi wa dini waliwakilisha dini zote?

Mimi naona mleta hoja hawatendei haki CHADEMA kwa kuto angalau kutoa mifano ya viongozi waliohusika kushutumu.
 
Wanabodi,

Kama mlivyoona reaction ya viongozi wengi wa CHADEMA kutokana na mkutano wa viongozi wa dini pale ikulu na mkuu wa nchi. Zimetumika lugha za ajabu kidogo kubeza viongozi wale kwasababu tu hawakusema waliyotaka wasikie.

Naomba nitoe tahadhari kwa CHADEMA na hasa baraza la wazee. Mnatakiwa mrudishe nidhamu ya matamko yanayoweza kukichafua chama. Acheni mashabiki na wanamtandao waseme wanayotaka lakini viongozi wa chama lazima kuwe na utaratibu wa kutoa maoni ambao utakuwa msimamo rasmi wa chama bila kwenda kinyume na sera, itakadi na katiba yake.

Mchango wa viongozi wa dini kwa upinzani na hasa CHADEMA ni mkubwa mno. Msikubali mihemuko ya baadhi ya viongozi kuwafarakanisha. Tukio kama lile la ikulu si la viongozi kukurupuka na matusi huko twita bila kwanza kukutana na kujadili na kupata azimio la pamoja ambalo lina hekima na misingi ya kuheshimu mawazo ya wengine kama CHADEMA inavyopenda kuhubiri.

CHADEMA hakuna tena nidhamu kama zamani ambapo tulipata misimamo ya chama kwa utaratibu kupitia Tumaini Makene, Katibu mkuu na viongozi wengine lakini kwa utaratibu.

Naona viongozi wa CHADEMA wasio wakristo wamekuwa na hekima kwa kukaa kimya kuheshimu viongozi wao wa imani na kuwaacha wenzao wa kikristo wakiwakosea adabu viongozi wao.

Baraza la wazee CHADEMA jadilini mrudishe nidhamu kabla hawa vijana wenye mihemuko hawajafarakanisha chama na kila taasisi.

Sasa kupitia uzi huu ndio mtajua kati ya JPM na CHADEMA nani asiyependa kukosolewa. #uhuruwamawazo #practicewhatyoupreach

Sent using Jamii Forums mobile app
Hukumbuki matusi,kejeli,na kutishiwa viongoz Wa dini na kina daudi kipind cha waraka Wa pasaka?:hayo mmesahau kwel?

Hawa jamaa n kikundi Fulani cha watu kinachotumika bila kujitambua kujimaliza wenyewe.Mwisho wa siku watapoteza majimbo yote kwa ujinga wanaofanya
 
Viongozi wa dini mna shida sana, naamini na wewe ni mmoja wapo! Nyie mngeitwa kwenye kundi la wafanya biashara/wajasiriamali ili mtetee biashara zenu vizuri, hamna kitu mlifanya pale zaidi ya kujipendekeza ili mambo yenu binafsi yanyooke, endeleeni kutumika tu kama mlivyoamua bila kutoa angalizo lolote kama ulilolitoa, wananchit tunawaelewa sana!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Kama mlivyoona reaction ya viongozi wengi wa CHADEMA kutokana na mkutano wa viongozi wa dini pale ikulu na mkuu wa nchi. Zimetumika lugha za ajabu kidogo kubeza viongozi wale kwasababu tu hawakusema waliyotaka wasikie.

Naomba nitoe tahadhari kwa CHADEMA na hasa baraza la wazee. Mnatakiwa mrudishe nidhamu ya matamko yanayoweza kukichafua chama. Acheni mashabiki na wanamtandao waseme wanayotaka lakini viongozi wa chama lazima kuwe na utaratibu wa kutoa maoni ambao utakuwa msimamo rasmi wa chama bila kwenda kinyume na sera, itakadi na katiba yake.

Mchango wa viongozi wa dini kwa upinzani na hasa CHADEMA ni mkubwa mno. Msikubali mihemuko ya baadhi ya viongozi kuwafarakanisha. Tukio kama lile la ikulu si la viongozi kukurupuka na matusi huko twita bila kwanza kukutana na kujadili na kupata azimio la pamoja ambalo lina hekima na misingi ya kuheshimu mawazo ya wengine kama CHADEMA inavyopenda kuhubiri.

CHADEMA hakuna tena nidhamu kama zamani ambapo tulipata misimamo ya chama kwa utaratibu kupitia Tumaini Makene, Katibu mkuu na viongozi wengine lakini kwa utaratibu.

Naona viongozi wa CHADEMA wasio wakristo wamekuwa na hekima kwa kukaa kimya kuheshimu viongozi wao wa imani na kuwaacha wenzao wa kikristo wakiwakosea adabu viongozi wao.

Baraza la wazee CHADEMA jadilini mrudishe nidhamu kabla hawa vijana wenye mihemuko hawajafarakanisha chama na kila taasisi.

Sasa kupitia uzi huu ndio mtajua kati ya JPM na CHADEMA nani asiyependa kukosolewa. #uhuruwamawazo #practicewhatyoupreach

Sent using Jamii Forums mobile app
chadema imebaki na wasaka tonge na wanaharakati kamanda..hakuna kitu pale..viongozi waliokuwa wanategemewa ambao walikuwa na misimamo thabiti wote wameenda kwa Magufuli..wanapiga kazi. sijui unaelews hili...wamebaki wapiga mayowe tu wakina Lema , Mdee na wenzake...cHadema ilikuwa ya Dr Slaa..siyo hii ya sasa ya DJ Mbowee na Mamvi..nashangaa Mnyika na wenzake sijui kwa nini ha wakuchomoka kama walivyokuwa amepanga na yeye kwenda kumsupport Magufuli..woga ni sumu sana..waachieni hao wenye saccos..hilo li chama kamwe haliwezi pewa nchi..msidhani watanzania hawana akili...Watanzania wanaweza kukuchekea kukubeba lakini mwishowe wanatumia akili ya kuzaliwa kimyakimya kutumia kichinjio cha kikokotoo kukufyekelea mbali kule
 
Wewe si ulinunuliwa pamoja na Slaa , sasa ya Chadema ya nini tena ? hangaika na ccm yenu , endeleeni kuwadhalilisha wananchi .
kama mlivyomnunua nyalandu sio...na wana ccm wengine wale.watuhumiwa wa ufisadi
 
Siku zote hua naamini chadema ni wahuni
halafu eti wanasema wanataka serikali waongoze..khaaa..kwa akili ipi..kwa kutumia akili ya wale watuhumiwa wa ufisadi waliowasafisha..eti...hahahaha itakuwa nchi au pango la walanguzi wa nchi..
 
Sikufahamu Mrisho Gambo ni role model wenu. Endeleeni kuiga, ndio maana list of shame mkaifuta kwenye website yenu baada ya kupata definition mpya ya ufisadi.

Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha ile list of shame waliamriwa wai delete, futa kabisa kutoka mtandaoni...amri ya muheshimiwa..baada ya kununua sehemu ya chama chao...utasema nini tena..na ndio maana mbowee akaamua kumalizia kwa kuifisadi chama kwa mabilioni ya hela ambayo CAG alig'hamua kwa style ya "chukua chako haraka kabla hujafa".
 
Wanabodi,

Kama mlivyoona reaction ya viongozi wengi wa CHADEMA kutokana na mkutano wa viongozi wa dini pale ikulu na mkuu wa nchi. Zimetumika lugha za ajabu kidogo kubeza viongozi wale kwasababu tu hawakusema waliyotaka wasikie.

Naomba nitoe tahadhari kwa CHADEMA na hasa baraza la wazee. Mnatakiwa mrudishe nidhamu ya matamko yanayoweza kukichafua chama. Acheni mashabiki na wanamtandao waseme wanayotaka lakini viongozi wa chama lazima kuwe na utaratibu wa kutoa maoni ambao utakuwa msimamo rasmi wa chama bila kwenda kinyume na sera, itakadi na katiba yake.

Mchango wa viongozi wa dini kwa upinzani na hasa CHADEMA ni mkubwa mno. Msikubali mihemuko ya baadhi ya viongozi kuwafarakanisha. Tukio kama lile la ikulu si la viongozi kukurupuka na matusi huko twita bila kwanza kukutana na kujadili na kupata azimio la pamoja ambalo lina hekima na misingi ya kuheshimu mawazo ya wengine kama CHADEMA inavyopenda kuhubiri.

CHADEMA hakuna tena nidhamu kama zamani ambapo tulipata misimamo ya chama kwa utaratibu kupitia Tumaini Makene, Katibu mkuu na viongozi wengine lakini kwa utaratibu.

Naona viongozi wa CHADEMA wasio wakristo wamekuwa na hekima kwa kukaa kimya kuheshimu viongozi wao wa imani na kuwaacha wenzao wa kikristo wakiwakosea adabu viongozi wao.

Baraza la wazee CHADEMA jadilini mrudishe nidhamu kabla hawa vijana wenye mihemuko hawajafarakanisha chama na kila taasisi.

Sasa kupitia uzi huu ndio mtajua kati ya JPM na CHADEMA nani asiyependa kukosolewa. #uhuruwamawazo #practicewhatyoupreach

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo logic viongozi wa dini hawana msimamo, wao adui yao ni yule anayewasema?
Viongozi wa dini inabidi wawe wakweli daima siyo wafuate upepo. They have to do and say the right thin!
 
Ulipotoka Waraka wa KKKT na TEC vijana wa CCM mliwatukana viongozi wa dini matusi ya nguoni leo mnajifanya eti wema kwao kama sio unafiki ni nini.

Subirini waraka wa pasaka utoke akili ndipo zitakapowarudi.
Zile nyaraka za KKT ,si lazima waseme kwa sababu muumini wao aliwajengea makanisa katika safari ya matumaini iliyoishia pale Monduli!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lete picha siku niliyodeki ama kuzungusha mikono, unadhani kila mtu anajikomba kama ww, acha uhanithi dogo.
Ooho kumbe na wewe umeshajifunza lugha zao!! Alafu humu mitandaoni hatujuani hivyo angalia usije kumuita dogo baba yako na mbaya zaidi hanithi!

Hivi huwa mnakosa maneno ya kuandika hadi mtukane? Maandishi yanawakilisha utu wako, usidanganyike na hizi fake IDs.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooho kumbe na wewe umeshajifunza lugha zao!! Alafu humu mitandaoni hatujuani hivyo angalia usije kumuita dogo baba yako na mbaya zaidi hanithi!

Hivi huwa mnakosa maneno ya kuandika hadi mtukane? Maandishi yanawakilisha utu wako, usidanganyike na hizi fake IDs.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukileta michango ya kihanithi sikukawizi nakupa dozi. Siendekezi wapuuzi
 
Back
Top Bottom