CHADEMA waingia mtegoni kirahisi, itawagharimu

Hivi Tumaini Makene ana kazi gani huko siku hizi? Maana kila mtu ni msemaji siku hizi. Kila mtu ana sharubu huko nafikiri mtu kama Mzee Lowasa anawashangaa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkubwa, kuna maoni ya mtu binafsi na msimamo wa taasisi...

Sasa utazuia mtu asiseme aonavyo yeye?

Acha watu waseme. Kwa sbb hata kanisani ama msikitini huwa anaenda mtu binafsi na siyo chama kama taasisi!!
 
Nakufundisha mdogo wangu jana magufuli anakwambia wabunge na madiwani ruksa kufanya siasa majimboni kwao kule mbeya mjini tulia akson anakofanya kampeni ni jimboni kwake? Ndo mana nakwambia ccm ni chama dora sio chama cha siasa.
Ni kweli aisee hata jafo kule dodoma anakofanyia kampeni sio jimboni kwake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitampiga mchungaji wa kondoo. Na kondoo watatawanyika. Huu unabii una maana kubwa sana. Na wala si katika dini pekee bali hata katika maisha yetu ya kila siku..
 
Wanabodi,

Kama mlivyoona reaction ya viongozi wengi wa CHADEMA kutokana na mkutano wa viongozi wa dini pale ikulu na mkuu wa nchi. Zimetumika lugha za ajabu kidogo kubeza viongozi wale kwasababu tu hawakusema waliyotaka wasikie.

Naomba nitoe tahadhari kwa CHADEMA na hasa baraza la wazee. Mnatakiwa mrudishe nidhamu ya matamko yanayoweza kukichafua chama. Acheni mashabiki na wanamtandao waseme wanayotaka lakini viongozi wa chama lazima kuwe na utaratibu wa kutoa maoni ambao utakuwa msimamo rasmi wa chama bila kwenda kinyume na sera, itakadi na katiba yake.

Mchango wa viongozi wa dini kwa upinzani na hasa CHADEMA ni mkubwa mno. Msikubali mihemuko ya baadhi ya viongozi kuwafarakanisha. Tukio kama lile la ikulu si la viongozi kukurupuka na matusi huko twita bila kwanza kukutana na kujadili na kupata azimio la pamoja ambalo lina hekima na misingi ya kuheshimu mawazo ya wengine kama CHADEMA inavyopenda kuhubiri.

CHADEMA hakuna tena nidhamu kama zamani ambapo tulipata misimamo ya chama kwa utaratibu kupitia Tumaini Makene, Katibu mkuu na viongozi wengine lakini kwa utaratibu.

Naona viongozi wa CHADEMA wasio wakristo wamekuwa na hekima kwa kukaa kimya kuheshimu viongozi wao wa imani na kuwaacha wenzao wa kikristo wakiwakosea adabu viongozi wao.

Baraza la wazee CHADEMA jadilini mrudishe nidhamu kabla hawa vijana wenye mihemuko hawajafarakanisha chama na kila taasisi.

Sasa kupitia uzi huu ndio mtajua kati ya JPM na CHADEMA nani asiyependa kukosolewa. #uhuruwamawazo #practicewhatyoupreach

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna chochote pale, wanalilia uji wa bure tu. Sasa mtu anayelilia uji ni wa kumtilia maanani keli?
 
Watumishi wa Mungu watasimama kama watumishi wa Mungu,hawatatishika na kubadili msimamo wao,kwa kuwa wamesemwa na kiongozi wa kutoka chama fulani,na hawata mnenea Mungu uwongo kwa kusema Mungu kasema wakati wamesema wenyewe kwa ajili ya kujipendekeza kwa fulani.
 
Wanabodi,

Kama mlivyoona reaction ya viongozi wengi wa CHADEMA kutokana na mkutano wa viongozi wa dini pale ikulu na mkuu wa nchi. Zimetumika lugha za ajabu kidogo kubeza viongozi wale kwasababu tu hawakusema waliyotaka wasikie.

Naomba nitoe tahadhari kwa CHADEMA na hasa baraza la wazee. Mnatakiwa mrudishe nidhamu ya matamko yanayoweza kukichafua chama. Acheni mashabiki na wanamtandao waseme wanayotaka lakini viongozi wa chama lazima kuwe na utaratibu wa kutoa maoni ambao utakuwa msimamo rasmi wa chama bila kwenda kinyume na sera, itakadi na katiba yake.

Mchango wa viongozi wa dini kwa upinzani na hasa CHADEMA ni mkubwa mno. Msikubali mihemuko ya baadhi ya viongozi kuwafarakanisha. Tukio kama lile la ikulu si la viongozi kukurupuka na matusi huko twita bila kwanza kukutana na kujadili na kupata azimio la pamoja ambalo lina hekima na misingi ya kuheshimu mawazo ya wengine kama CHADEMA inavyopenda kuhubiri.

CHADEMA hakuna tena nidhamu kama zamani ambapo tulipata misimamo ya chama kwa utaratibu kupitia Tumaini Makene, Katibu mkuu na viongozi wengine lakini kwa utaratibu.

Naona viongozi wa CHADEMA wasio wakristo wamekuwa na hekima kwa kukaa kimya kuheshimu viongozi wao wa imani na kuwaacha wenzao wa kikristo wakiwakosea adabu viongozi wao.

Baraza la wazee CHADEMA jadilini mrudishe nidhamu kabla hawa vijana wenye mihemuko hawajafarakanisha chama na kila taasisi.

Sasa kupitia uzi huu ndio mtajua kati ya JPM na CHADEMA nani asiyependa kukosolewa. #uhuruwamawazo #practicewhatyoupreach

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu usichokoelewa au kukijua na kwamba hao viongoz wote wa din wanampenda jiwe kwa maneno, moyon hawapo nae hata kichembe, kiufup watanzani wanampenda jiwe usoni, moyon hawapo nae
 
Umetumia kipimo gani kujua hilo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha magumu sana kwa watanzania, kila mtanzania anamlalamikia jiwe na hasa wakulima hawamtaki hata kidogo amezid kuwapa umasikin wa makusud kabisa, pia wafanyabiashara hao ndo usiseme hamtaki kabisa,kw wanafunz nako ni yaleyale
 
Tatizo ni pale tunapotaka kulazimisha dini ichukue nafasi ya chama cha siasa....
Kabisa mkuu. Tunataka wanaharakati na dini watusemee mambo ya vyama vyetu. Alafu tume define kiongozi wa dini wa kweli na wanaharakati wa kweli ni wale wanaounga mkono harakati za upinzani.

Siku Chadema wakiingia madarakani alafu viongozi wa dini wawageuke kwa mtindo huo huo sidhani kama wataona ni uhuru wa maoni wakati sasa hivi wanashindwa kuvumilia maoni yasiyowapendeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha magumu sana kwa watanzania, kila mtanzania anamlalamikia jiwe na hasa wakulima hawamtaki hata kidogo amezid kuwapa umasikin wa makusud kabisa, pia wafanyabiashara hao ndo usiseme hamtaki kabisa,kw wanafunz nako ni yaleyale
Haya maelezo yako sio kipimo, ukisema kila mtanzania wewe umejuaje? Ukisema wakulima hawamtaki ni kwa utafiti gani uliofanya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maelezo yako sio kipimo, ukisema kila mtanzania wewe umejuaje? Ukisema wakulima hawamtaki ni kwa utafiti gani uliofanya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuhusu wakulima watampendaje wakat wamelima mazo yao na yamekosa soko, na wengine mpaka leo hawajalipwa pesa zao wanalia njaa, watampendaje mtu anaeletea njaa
 
Chadema wamesahau haraka sana fadhila za kanisa kwenye ukuaji wao, wanahitaji utulivu sana kwenye hili swala....Ni vyema chama kingetoa taarifa rasmi kuhusu huo mkutano kuliko kila mmoja kuongea.
Kabisa mkuu. Tunataka wanaharakati na dini watusemee mambo ya vyama vyetu. Alafu tume define kiongozi wa dini wa kweli na wanaharakati wa kweli ni wale wanaounga mkono harakati za upinzani.

Siku Chadema wakiingia madarakani alafu viongozi wa dini wawageuke kwa mtindo huo huo sidhani kama wataona ni uhuru wa maoni wakati sasa hivi wanashindwa kuvumilia maoni yasiyowapendeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajinga nyie!

Huyo Jiwe alivyowaponda viongozi wa dini baada ya wao kutoa matamko nyie si mlimtetea?

Baadhi ya hawa viongozi wa dini ni wanafiki tu!!

CHADEMA inasimama na wananchi na sio wachumia tumbo.
Kaka tafadhali tutajie viongozi wa dini ambao Sasa tunapaswa kuwafuata wasio wanafiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom