CHADEMA waibuka na style tofauti


Mbona mtoa mada haya aliyasema docta slaa kwamba kweli leo hii CHADEMA yangu ni ya kubeba watu kwenye maroli
 

Kaka kweli unaakili nyingi sana, kuna namna kibao ya kutakatisha feza chafu.
 

Kuna NGO imetoa matokeo yake baada ya utafiti (TADIP) ENL 54%,JPM 40%. Hiyo kampuni iliyofanya utafiti nimeuangalia mara mbilimbili ikabidi niifuatilie kiundani.

Nikaanza kupata majibu.Wanafadhiliwa na taasisi ya Kijerumani CAS ambayo pia ni Mfadhili wa CHADEMA..Hapa picha nikaanza kuipata. He he he
Nikawaza sana nikahisi hawa watu wanajitekenya alafu wanacheka wenyewe.

Kumbe Sio kufadhiliwa tu hiyo ni NGO iliyoanzishwa na CHADEMA mwaka 2008.Hapa picha halisi ikaja.Kumbe na Mkurugenzi wake wa kwanza alikuwa Zitto Kabwe.Mchoro mzima nikawa nimeshaupata.

Nikaagiza vipande viwili vya mihogo ya kukaanga nkashushia na Maji ya Kandoro.He he he.Life goes on.Maisha yanahitaji nini tena.

Hakuna chama kinachoweza kufanya utafiti chenyewe alafu kikaonyesha kinashindwa! Hata CHAUMA hawawezi kufanya hivyo! Labda muwape watu kazi wawafanyie utafiti.

Technically Sumaye yupo pale kwa ajili ya kuongea kwa niaba ya mgombea.

Legacy iliyotengenezwa kwa miaka 15 imeharibiwa na watu wawili MBOWE na ENL.CDM ya sasa ni yule jamaa anakula Ugali kwa picha ya samaki.

Muadilifu,Mzalendo, Mchapa kazi, Mzima wa afya, Maneno yake hayapishani na vitendo vyake. RAIS wangu ni Dr. John Pombe Magufuli.

Anasema wakulima wataenda Mouritius kutembea lakini wamasai wa jimbo lake wanakuja Dar kuuza ugoro na kujihusisha na Ususi. Mungu nichukue.Lowassa tuhurumie kidogo.

Zitto kanunuliwa. Slaa kanunuliwa. Lipumba kanunuliwa. Twaweza imenunuliwa. Synovate imenunuliwa. Wasanii wamenunuliwa.Na mimi nimehongwa.He he he he.
Tuwe creative kidogo.
 

Chadema ni wababaishaji hawana jipya.
 

Halaf tabia yenu ya kuchukua watu wa ccm kuwavalisha nguo za chadema na kuwapa bendera za chadema kisha mnawapakiza kwenye malori ili waonekane ni chadema wanawapakia muache tumeshawajua mbinu zenu.

Na mkiona mtu anasema ngastuka ujue Nyoso kapita Pande izo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…