CHADEMA waibuka na style tofauti

we umekosa cha kufanya, huwez kudanganya watu wenye akil na picha zako za kijinga
 
Attachments

  • 1443294298346.jpg
    22.6 KB · Views: 112
  • 1443294317795.jpg
    71.4 KB · Views: 120
  • 1443294384268.jpg
    33.5 KB · Views: 113
Kipaumbele cha kwanza, ELIMU. Kipaumbele cha Pili, ELIMU. Kipaumbele cha tatu ni ELIMU. Watu wa CCM eleweni kuwa ugomvi wetu na nyie siyo watu wengi kupanda Gari moja, bali ni watu wengi kupanda Gari moja bila ya kuchangia bali gharama za zoote zinabebwa na CCM, huko ndiyo kusombwa kama Viazi Vitamu vya Gairo!

Wanachadema wanachangishana kwenda kwenye mikutano kwenye majimbo yao ya vijijini ambayo ni makubwa sana, lakini hawabebwi toka jimbo moja kwenda jingine ili waende kujaza uwanja!!
 
Hao washapiteza mwelekeo wameweka reverse bila kujua
 
Hizo picha ni siku lowasa ametoka kuchukua fomu na maandamano yakafikia biafra..
 
Wabebaji ni magamba. Ukawa huenda wenyewe na ni lazima watumie usafiri tena wa
kwao wenyewe

Kunya anye kuku
Akinya bata kaharisha

yaan ukawa mkiwasomba inakuwa wamekodi wenyew
ccm wakikodi inakuwa wamesombwa

Badiliken
Nchi hii haitawahi kutawaliwa na lowasa
 
Mm nilishawahi kubebwa kwenda kujaza uwanja
Jangwan
Na siwaambi kama nilkosa pa kulala nikasingizia nmelala uwanjan kwa furaha ya lowasa

Siwaambii kama nilishawahi kutelekezwa dodoma na lowasa mara baada ya kukatwa jina ccm

Siwaambii kabisa
 
Mbona hata Mh. Dk. J.P Magufuli mwanzoni mwa kampeni zake za kuwania Urais alijinadi kwa kusema yeye hatotumia Ndege ktk kampeni zake. Lakini leo hii, mmmmmh...... Usitukane mamba hali hujavuka mto
 
Mbona hata Mh. Dk. J.P Magufuli mwanzoni mwa kampeni zake za kuwania Urais alijinadi kwa kusema yeye hatotumia Ndege ktk kampeni zake. Lakini leo hii, mmmmmh...... Usitukane mamba hali hujavuka mto

Lini umemuoma kapanda ndege?
Ile iliyopo anaotumia Mwigulu kuzunguka kwenye majimbo mbalimbali.
Yeye ni mwendo wa barabara tu.
Huyo ndo rais wetu. Tunahitaji Rais mkakamavu
 
Hapo inabidi CCM wakawashitaki kwa kutumia "nembo" yao inayohusiana na uandaaji wa mikutano ya kampeni bila ya kuwa na makubaliano ya awali.
 
Mbona hata Mh. Dk. J.P Magufuli mwanzoni mwa kampeni zake za kuwania Urais alijinadi kwa kusema yeye hatotumia Ndege ktk kampeni zake. Lakini leo hii, mmmmmh...... Usitukane mamba hali hujavuka mto

V.I.R.O.b.a
 
Anzen na mgombea wenu maana hana elimu juu ya kipindupindu
Maana anajisaidia hovyo bila kujali uchafuzi wa mazingira
 
Hii nisku yaufunguzi hilo jengo lavioo liko post.
 
Nisiku ambayo wameenda kuchukua fom yakugombea urais.
 
Wanaukawa nawashauri tu tuachaneni na post za hawa Maccm hakuna haja ya kuzisoma wala kuzichangia. Naona yamekuwa mengi sana humu
 
Wanaukawa nawashauri tu tuachaneni na post za hawa Maccm hakuna haja ya kuzisoma wala kuzichangia. Naona yamekuwa mengi sana humu
Uko sawa kabisa nadhani wanaUKAWA hawajashtuka kuwa kuna wanaCCM wametumwa humu kuleta chokochoko za kujifajiri na kuwafariji wenzao wasihame chama mwanaUKAWA SHTUKA usipoteze muda wako bure zaidi dumu ukimwomba Mungu akujalie UZIMA hadi tarehe 25 octoba angalau tuokoe rasilimali zilizosalia kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho DELETE CCM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…