CHADEMA waibuka na style tofauti


Pamoja na hiyo style watapigwa asubuhi sana.
 

Hahahahahahaaa...mwambie akimbilie hata kiti achukue maana trh 25 ccm inazikwa rasmi..googooogoooo ooo...yanga moja simba O....
 
Baba yenu kikwete analia nyie mnacheka muulize baba yenu kinachomsumbua ni bwana el
 
We mpuuzi kweli,hayo ni magari ya mziki siku ile ya maandamano ya kutoka buguruni kwenda kumsindikiza lowasa tume kuchukua fomu.Hao ni vijana waliokuwa wanadandia,Chadema.si kama wazee wa kusomba mkuu
 
shame on your mum's womb!
Hilo Nigari La Matangazo,
magambaz mtatoa pofu mwaka huu,
Jiulize swali hivi kwa nini CCM Inachukiwa Kiasi Kikubwa hivyo!
 
Mbona hizi picha ni zile za siku ya Ufunguzi Wa Kampaini ktk Uwanja Wa Jangwani Tunazo muda sana wadanganye wengine siyo sisi
 
siku zote ukawa wamekuwa wakisema wana mafuriko nakati mafuriko yenyewe ni ya kutengeneza na mbaya zaid wanachukua mpaka vibaka alimradi lowassa akija aseme kweli pana mafuriko janja yao ishajulikana hivyo tusubirie tuwape somo wajue kuwa maigizo hayamfanyi mtu aende ikulu​
 



lowassa amewafundisha hawa jamaa tabia chafu ambayo alikua anaitumia wakati akiiba ng'ombe za jirani zake wa jamii za nga'ambo, wanadai mabadiliko kwa kuwasomba watu kama magunia ya mahindi, hii tabia ni mbovu sana na sio dalili njema kwao tukielekea uchaguzi mkuun 2015. Wacha waanze kupoteana maana hakuna namna, mbowe kashaachukua chake kawaacha malofa wavutane wenyewe.
 
Ccm mnatia huruma sana,hivi hakuna chama kingine kinachogombea urais,au mnajipendekeza kupigia kampeni ukawa?
 
Wewe jamaa ---- kweli yaani hizo picha zote ulizoweka ni za siku ya uzinduzi pale Jangwani na gari ulizoweka picha zake ni zile zenye spika na ni za matangazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…