chadema waibuka na style tofauti:
Hatimaye chadema wameamua kuna na mbinu mpya ya kupakia mashabiki wao kwenye malori kwa ajili ya kufanikisha mafuriko ya mikutano wanayoandaa,pia waliopakizwa wamethibitisha kulipwa posho ya kuanzia 10000 na kuendelea, japo kiwango kiwango huongezeka kutokana na uelewa wa shabiki husika.
kachukue buku saba fasta Kwa nape...
CHADEMA WAIBUKA NA STYLE TOFAUTI:
Hatimaye Chadema wameamua kuna na mbinu mpya ya kupakia mashabiki wao kwenye malori kwa ajili ya kufanikisha mafuriko ya mikutano wanayoandaa,pia waliopakizwa wamethibitisha kulipwa posho ya kuanzia 10000 na kuendelea, japo kiwango kiwango huongezeka kutokana na uelewa wa shabiki husika.
Igeni na push up pia, ila mpige karibu na zahanati msije kusumbua ambulance.Nasi tumeiga mbona nyie mmeiga mambo mengi?.
CHADEMA WAIBUKA NA STYLE TOFAUTI:
Hatimaye Chadema wameamua kuna na mbinu mpya ya kupakia mashabiki wao kwenye malori kwa ajili ya kufanikisha mafuriko ya mikutano wanayoandaa,pia waliopakizwa wamethibitisha kulipwa posho ya kuanzia 10000 na kuendelea, japo kiwango kiwango huongezeka kutokana na uelewa wa shabiki husika.
mbinu hii ni nzuri zaidi kuliko ya ccm
nenda na ww ukapakizwe....
Zinduka kabla ya wakati: wenzako wanaoujua ukweli washaanza kugawana kila mtu chake katika ofisi za sisiem nchi nzima halafu wewe bado umo humu unashangaashangaa Chadema watakavyochukua inchi-shauri yako. Kachukue na wewe chochote utakachokuta maan hakuna namna ccm lazima ilie tuu safari hii-Usicheze na ukimya wa Lowassa hata kikwetu anafahamu kabisa Lowassa huwa hashindwi. Jiulize aliwateka wajumbe wote wa necccm huku mwenyeki akiaki kukodola jicho tuu- tayari 67% ya wapiga kura watampigia Lowassa amini usiamini ndo.
Ukawa hawana kitu saahizi sera za kuwavutia watu hazipotena lazima wafanye hvyo