I agree with you 100%, nawasikitikia hawa vijana, hawamjui Mbowe, ni dictator ile mbaya, na yupo Chadema si kwa maslahi ya waTanzania bali kuna mambo na malengo yake binafsi.
Mie nawashangaa sana wa Tanzania wenzangu wengine, hivi huyu jamaa ambae klabu zake za usiku zina uozo wa uadilifu kupindukia, na yule Dokta Slaa ndio kama tujuavyo, ana kesi ya kupora Mke wa mtu, ndio wanawashabikia na kuwasikiliza eti ni viongozi, wanaongoza nini?
Jambo lolote ambalo linahusu wabunge na si JK na speech zake ni halali kwa wabunge wa Chadema kushiriki na hili halina mjadala sasa ulitaka wasiende kwende chakula cha wabunge kimeandaliwa kwa pesa yan walipa kodi wote ? Jamani akili zingine
Hawakufika kabisa bungeni, hii inaonyesha ni jinsi gani mbowe na mtei wanavyotaka kuwaburuza vijana waliochaguliwa na wananchi kuwawakilisha na sasa wanataka kuwatumia kutimiza haja zao na si maslahi ya wananchi waliowachagua.
Acheni kujichanganya bana, hii yaonyesha kuwa hamko sawa hv kuna walakini kidogo ndani yenu. Mh, Shibuda anatoa mkono wa heshima utafikiri anamwakia baba yake, huyo ndio JK bana RAIS WA UKWELI WA JMT. Na hata wewe huna Rais zaidi yake, kama yupo hebu mtaje ambae KATIBA inamtambua.
Huna Hoja, unauliza au unajibu, Mnafiki mkubwa, kipofu ni wewe ambaye upendi katiba ilekebishwe au ibadilishwe na NEC Taifa iwe huru na tume huru ya kufatilia malalamikp kabla ya kuyatangaza kama ilivyo Senegal ambavyo rais uchukua ata mwezi lakini nyinyi siku tatu tu mwataka kuapisha, kumpiga chura teke ni kumwongezea mwendo sasa mwendo unaanzia kwa kususa mpaka kieleweke, hata hivyo wasingeweza kusikiliza hotuba duplicate ya 2005 ambayo mika mitano hakuna mabadiliko, yaani yale ya Nkapa AKA Mr. SAFI aliyoayaacha:embarrassed:Hao wabunge wametumia akili sana, kutofika kabisa katika maeneo ya bunge... Hao vipofu wengine wameingia mkenge
Ni haki yao kupinga. Demokrasia ndani ya CHADEMA iko wazi. Kama kweli walikuwa na ubavu wa kumpinga Mwenyekiti na Katibu Mkuu wa CHADEMA, wangekwenda Bungeni siku hiyo na KUBAKI ndani wakati JK alipohutubia! Huo ni unafiki!
Unasema unampinga Mwenyekiti, unakipinga CHADEMA, halafu hufanyi vitendo? Khaaa!
Uchuro!
Watanzania waoga sana! Ningependa kujua majina yao niwanange hapa LIVE! Wekeni majina yao tafadhali! Mnawaficha nini? Hawa si watu makini, HAWATUFAI ndani ya CHADEMA! Inawezekana ndio hawa wale Wabunge Mamluki waliopandikizwa na CCM, kuja kuivuruga CHADEMA!
Tuko makini, hamtuwezi!
hivi kuna watu bado wanasoma gazeti la Uhuru? Wana hasara kubwa.source yenyewe ni gazeti la uhuru jamani ndio limeandika hiyo habari. Unategemea nini hapo kwani kwenye hiyo habari
Jambo lolote ambalo linahusu wabunge na si JK na speech zake ni halali kwa wabunge wa Chadema kushiriki na hili halina mjadala sasa ulitaka wasiende kwende chakula cha wabunge kimeandaliwa kwa pesa yan walipa kodi wote ? Jamani akili zingine
Hawakufika kabisa bungeni, hii inaonyesha ni jinsi gani mbowe na mtei wanavyotaka kuwaburuza vijana waliochaguliwa na wananchi kuwawakilisha na sasa wanataka kuwatumia kutimiza haja zao na si maslahi ya wananchi waliowachagua.
wabunge 11 wa chadema wamepinga msimamo wa mwenyekiti freeman mbowe wa kususia hotuba ya rais katika ufunguzi wa bunge la kumi
kilitreka umenena yauhalisia,ungekua karib yangu ningekupa zawadi nono,nawapa pongez wabunge wote 11 wa chadema waliokataa kuburuzwa na huyu mbumbumbu wasiasa mbowe,mbowe amekaa kimaslahi zaid,ila haisumbui ndio kawaida ya wachaga najamiizao wote wa north wao tamaambele kuliko kitu chochote,angalia hata vitimaalum vya chadema 70% ni wachaga au niseme wenyekutoka north,hongera wabunge mliokataa ujinga wa mbowe.Hawakufika kabisa bungeni, hii inaonyesha ni jinsi gani mbowe na mtei wanavyotaka kuwaburuza vijana waliochaguliwa na wananchi kuwawakilisha na sasa wanataka kuwatumia kutimiza haja zao na si maslahi ya wananchi waliowachagua.
hawa chadema ninjaa tu inawasumbua,wajinga hawa,tamaa mbele mauti nyuma,labda walizani jk kwenye sherehe hiyo kaweka nakitimoto nambege,ulafi wamsosi naulafi waposho za bunge,kalagabaho hao hawajui walifanyaloJamaa hawa wa CHADEMA ni geresha tu , hawana lolote aisee. Walitoka ukumbi wa Bunge ili kutomsikiliza Mh. RAIS JK, wakaenda kwenye ukumbi wa upinzani Bungeni wakawa wanasikiliza hotuba hiyo kupitia Runinga. Jioni ya siku hiyo, JK aliwaandalia sherehe wabunge, jamaa wote walikuja wakala wali na kunywa. Sasa najiuliza , km hamumtambui mbona mlikuja kwenye sherehe yake na mkala vyakula vyake? Kweli BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA AISEE.
kilitreka umenena yauhalisia,ungekua karib yangu ningekupa zawadi nono,nawapa pongez wabunge wote 11 wa chadema waliokataa kuburuzwa na huyu mbumbumbu wasiasa mbowe,mbowe amekaa kimaslahi zaid,ila haisumbui ndio kawaida ya wachaga najamiizao wote wa north wao tamaambele kuliko kitu chochote,angalia hata vitimaalum vya chadema 70% ni wachaga au niseme wenyekutoka north,hongera wabunge mliokataa ujinga wa mbowe.
hawa chadema ninjaa tu inawasumbua,wajinga hawa,tamaa mbele mauti nyuma,labda walizani jk kwenye sherehe hiyo kaweka nakitimoto nambege,ulafi wamsosi naulafi waposho za bunge,kalagabaho hao hawajui walifanyalo