Chadema wafanya maamuzi

Chadema wafanya maamuzi

Kibirizi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
604
Reaction score
149
CHADEMA WAFANYA MAAMUZI: Kamati Kuu ya CHADEMA imewavua uanachama wa Chama hicho Dk Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba; Dr Wilbrod Slaa amethibitisha hivi punde.
 
Ni sawa tu acha waende ccm na bado zitto nyambafu
 
CHADEMA WAFANYA MAAMUZI: Kamati Kuu ya CHADEMA imewavua uanachama wa Chama hicho Dk Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba; Dr Wilbrod Slaa amethibitisha hivi punde.

mbona kurugenz ya habari haijathibitisha mkuu..
 
Safi sana rais mtarajiwa Slaa ondoa hayo masalia ya magamba tubaki na cleam cdm
 
Mi mkivua uanachama tu Zito ntaaiaminia Chademaa
Nasubiriiii kwa hamu
 
Mkuu Kibirizi vp dagaa kigoma wamefika kilo bei gani. Hilo jina Kibirizi limenikumbisha kwetu Kwitanga.
 
excellentttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttt fukuza nyau anayekula vifaranga badala ya kula panya
 
Bye bye chadema. Tegemeeni matokeo mabaya 2015
 
Tatizo lenu nyie panya mnaogopa sana kuambiwa ukweli. Bye chadema 2015. Dhamira imetimia
 
Anayesubiri zitto afukuzwe uanachama ili aondoke cdm kachelewa,namshauri aondoke tu,hatuwezi kuwa na watu kama zitto,sisi tunakaribia kushinda vita yeye anakaa upande wa adui na kutushambulia,ni siku nyingi zitto tunamjua kuwa si mwenzetu,bado shibuda,wote hawa wanatumika na TISS kuua chama,zitto alipewa pesa nyingi sana na Ighondu,mkakati ukiwa ni ANGAMIZA CHADEMA KABLA YA 2015.lakini mambumbumbu yameng'ang'ania eti ni chama cha kikanda,ni zitto aliyetolewa shimoni na cdm,hakuna aliyemjua that time,kama ni chama cha kikanda kwa nini hawakumtafuta mtu wa kaskazini ili wampe nafasi hiyo? issue ipo clear kwamba zitto aliasi chama chini ya uangalizi mkubwa wa kina nchemba,kwa kuwa cdm kuna intellectuals wengi,na intelligence yetu ni kubwa tulibaini mapema hivyo tukajipanga,ni ccm ndo inaeneza chuki za kidini na kikabila,inatapatapa,hailali,ikijua nchi inaondoka,ndivyo vilivyo vyama vingi afrika vilivyotawala muda mrefu,vina ndoto ya kutawala milele,maana watawala wake wana dhambi ya kujibu kwa wananchi.
 
ccm haina chake 2015, vijana uzi ule ule, no USALITI kama zitto na wenzake
 
Back
Top Bottom