CHADEMA wachukua Fomu za Kugombea Ubunge Majimbo Mawili. Salum Mwalim Juma (Kinondoni) na Elvis Christopher (Siha)

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Kumrudisha aliyejiuzu ni kupoteza fedha bure.
Apewe mwingine ili aliyejiuzuru aanzae upya siasa zake akiwezekana Apewe ukatibu wa tawi.
 
Umuofia kwenu wataalamu
Siku za hivi karibuni tumeshuhudia wabunge wakihama vyama vyao na kuacha ubunge huku wakihamia vyama vingine.
Kumbukeni wakati wakitangaza kujiuzuru ubunge hawakuwashirikisha wapiga kura wao..
Leo wanarudi kwa wananchi walewale wakiwaomba kuwapigia kura huku wakiwa chama kingine...
Je wameshazijua IQ za watanzania?
Ngoja tuone.....!!!!!
 
mtakoma makabila mengine mnaokiamini chadema huyo mwalimu wamemuweka geresha wasionekane wakabila yote kutetea yule mchaga mwenzao agombee siha kufunika kombe waonekane kama wako fair ndio wakamchomekea huyo mzanzibari
Kwa hoja hiyo kweli CCM mmeshashindwa
 
Kweli kuiongaza hii saccos ni rahisi sana inawezekana hata nyumbu ana akili kuliko hawa jamaa vipi ile tume ya uchaguzi imeshafanyiwa marekebisho na sasa hivi wafuasi wa chadema wakieñdà kupiga kura hawatozuiliwa na kupigwà
Kumbe huwa mnawapiga?
 
Usipompa rushwa mwenyekiti Chadema hupewi ugombea wakienda kujadili watakutupa kisingizio eti hachangii chama sana kumbe umegoma kutoka rushwa.Chadema kuteuliwa ni ama utoe rushwa au uwe MTU wa karibu wa Lowasa au mbowe.Nje ya hapo wako tayari kujitoa kwenye uchaguzi na kukutaka ugombea ujitoe kwa spidi ya mwewe kabla hujafukuzwa chamani
Thibitisha hatutaki maneno ya taarabu hapa hayo maneno kawadanganye wazazi wako

Hopeless kabisa
 
Huwa mnafurahisha sana na hizi tambo kabla ya uchaguzi ila matokeo yakitoka mnarudi kule kule,Tume haifai,CCM imeiba kura,Mkurugenzi kada.

CUF ikiweka mtoto wa Kino tu hapo hakuna kitu.

Salum anaheshimika kwa lipi? Ana pesa?
Wewe pesa unazo?
 
Back
Top Bottom