CHADEMA waanza kuiga mambo ya ACT Wazalendo

Joined
Oct 3, 2016
Posts
95
Reaction score
71
80235df5b4cfbbde3bcd382d1c272c47.jpg

Hatimaye Chadema wameanza sasa kuiga mambo ya chama cha ACT-WAZALENDO ni baada ya Chama cha ACT-WAZALENDO kufanya mkutano Mkuu wa Kidemokrasia ambao upo kulingana na katiba ya Chama cha ACT-WAZALENDO.

Baada ya mkutano wa ACT-WAZALENDO kuwa wenye mafanikio makubwa;Chadema nao wametangaza mkutano kama ule ambao utafanyika kanda ya Kaskazini tarehe 14/10/2016.

Huu sasa ni wakati wa Chadema kuachana na siasa ya matukio.Kwani Chadema imekuwa ikiongozwa kwa matukio.

Hili linalofanywa na Chama cha ACT-WAZALENDO ni funzo kwa vyama vingine kuendesha siasa za masuala na kujadili sera, katiba, hali ya uchumi wa nchi na uendeshaji wa chama kwa kushirikisha wanachama na wasio wanachama wa chama husika.
 
Km Unadhani CHADEMA wanaiga, na wanaiga mambo mazuri kuna shida gani?
 
Lisu sijui kama anaweza siasa za sera. Naona amebobea kwa matukio.
 
Nahisi kuna tatizo ktk nchi yangu ya Tanzania,Mh Lissu aliwahi kunukuliwa kwenye Bunge la katiba kuwa hayati Mwl Nyerere alipora mamlaka huru ya Zanzibar,akaenda mbali kwa kuomba wazanzibar wadai haki yao,leo mtu yuleyule anahubiri vitu vingine ngoja tuone
 
80235df5b4cfbbde3bcd382d1c272c47.jpg

Hatimaye Chadema wameanza sasa kuiga mambo ya chama cha ACT-WAZALENDO ni baada ya Chama cha ACT-WAZALENDO kufanya mkutano Mkuu wa Kidemokrasia ambao upo kulingana na katiba ya Chama cha ACT-WAZALENDO.

Baada ya mkutano wa ACT-WAZALENDO kuwa wenye mafanikio makubwa;Chadema nao wametangaza mkutano kama ule ambao utafanyika kanda ya Kaskazini tarehe 14/10/2016.

Huu sasa ni wakati wa Chadema kuachana na siasa ya matukio.Kwani Chadema imekuwa ikiongozwa kwa matukio.

Hili linalofanywa na Chama cha ACT-WAZALENDO ni funzo kwa vyama vingine kuendesha siasa za masuala na kujadili sera, katiba, hali ya uchumi wa nchi na uendeshaji wa chama kwa kushirikisha wanachama na wasio wanachama wa chama husika.
Mkuu unadhani chades watajinadi vipi kwa watz ili waeleweke?

Sera yao kuu ilikuwa ni ufisadi. Na kweli waliisimamia hiyo sera na tukawaamini. Je leo wanaweza kuliongelea hilo la ufisadi? Wametumia omo pipa zima kumsafisha Lowasa ambae walituaminisha kuwa ni fisadi papa. Lakini imeshindikana kumsafisha.

Sasa sera yao ni kuvizia matukio ili wapate la kusema. Wanaombea hata ndege mpya ipate ajali ktk safari zake wapate sera ya kusema. Bila kujali watz watapoteza maisha yao. Nadhani unakumbuka tetemeko la kagera.

Wanavizia Hotuba za Raisi ili wabadili sentensi. Wapate la kusema.

Na sasa wamekuwa wasemaji wa CUF. Chama ambacho walituaminisha kuwa ni CCM B.

Kwa hiyo wavumilie tu. Msigwa alisema atakaempa kura Lowasa akapimwe akili haraka. Hivyo tunasubilia wakapimwe akili haraka. Wakichelewa watatembe uchi
 
Back
Top Bottom