CHADEMA waangukia pua Rufiji!

Mmmmmmmhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Nimekumbuka Rufiji ni kule wengi wao wanafuga Mabusha kama utajiri au Umwinyi?
 
VIJIJI ; CCM - vijiji 11, CUF -vijiji 3, Chadema -0.

VITONGOJI; CCM- Vitongoji 27, CUF - 6 na CHADEMA- 0
RIP CHADEMA, MKAPUMZIKE KWA AMANI! Poor you!

Usidhani kuwa elimu huwafikia wananchi wote kwa wakati mmoja. Mtaji wa CCM ni ujinga na umaskini wa wananchi. Mahali popote penye umaskini wa kupindukia na ujinga mkubwa, CCM hufaidi. Wananchi wa Rufiji wanahitaji huruma ya Watanzania wote wenye mapenzi mema na Taifa letu na watanzania wote. Wanahitaji kuelimishwa. Maskini wa Rufiji ni rahisi kumhonga kwa kilo ya chumvi lakini mwerevu na mwenye uwezo wa kupata angalao laki moja kwa mwezi huwezi kumhonga hata kwa kilo 5 za chumvi.
 
YOU ARE THE POOR OF THE POORS

UNASHANGILIA UJINGA WA WAJINGA WENZIO na mtaendelea kubaki nyuma kimaendeleo mpaka mkome( MAFISADI WATAWANYONYENI MPAKA TONE LA DAMU YA MWISHO)
 
VIJIJI ; CCM - vijiji 11, CUF -vijiji 3, Chadema -0.

VITONGOJI; CCM- Vitongoji 27, CUF - 6 na CHADEMA- 0
RIP CHADEMA, MKAPUMZIKE KWA AMANI! Poor you!

aliye lala uc muamshe poor u and rufiji we wll bury you and cement you and then unbury you and agein tie u with heavy stone on your neck and trough at nungwi tu be main fish food and those fishes will main food for all zanzibarians at the time of idd-al.... ha ha ha ha ha ha na muungano teh teh teh teh.
 
VIJIJI ; CCM - vijiji 11, CUF -vijiji 3, Chadema -0.

VITONGOJI; CCM- Vitongoji 27, CUF - 6 na CHADEMA- 0
RIP CHADEMA, MKAPUMZIKE KWA AMANI! Poor you!
Poor place!,
Poor People!,
Poor Decision!.

Something is wrong! and
Something mus be done!.
 
VIJIJI ; CCM - vijiji 11, CUF -vijiji 3, Chadema -0.

VITONGOJI; CCM- Vitongoji 27, CUF - 6 na CHADEMA- 0
RIP CHADEMA, MKAPUMZIKE KWA AMANI! Poor you!

Yaani Sehemu Moja tu RUFIJI - ENEO MOJA Mnasema REST IN PEACE CHADEMA?

DEEP SHOCK; Kaa Chini Uanze Kufikiria, Ni Kushindwa KISIASA labda CHADEMA haikuweka WAJUMBE wanaofaa

AU unamaana nyingine? Sema Ukweli; HUU NI MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI!!!
 

mkuu mark. kuna wagombea wa cdm walikuwa wanagombea huko? chama kilikuwa na mtandao huko? tupe data hali ilikuwa vp. ktk uchaguzi ukishindwa kwa haki sio mbaya kuliko kushindwa kwa kuhujumiwa.
 
Mbunge wa rufiji aliwahi sema bungeni Ng'ombe ni wadudu hawataki kuona hao wadudu kule wale siyo mila na destruri zao kufuga wadudu. Kama mbunge bado ana akili za namna hiyo si zaidi sana wana-Rufiji ? Huko bado nuru ya asubuhi haijawazukia ni watu wa kuhurumia na pia hawajawahi kuWA na initiative yoyote ya maana ktk nchi hii kwa hiyo hata ku-adopt initiative mpya kutoka CDM kwao ni EXAM.
 
Mh ! naona posho zimetoka wamerudi.
 

Nadhani Unakumbuka AZIMIO LA ZANZIBAR; Pia Ulilegeza Masharti ya Kuabudu; Uzuri wake Wanawake wa Kiislamu

Wanaopenda kujinusuru waliweza kujinusuru; Ubaya wake sasa Mtu yoyote akaruhusiwa kuanzisha DINI kama akipata

Waumini zaidi ya 100; Anaruhuziwa kuisajili na kuanza kutolipa kodi na Ushuru ha wengine ambao waliona ni biashara

Wameamua kuanzisha Kanisa ili kunufaika. Kabla ya AZIMIO la ZANZIBAR hatukuwa na Matatizo hayo.

* Kama Unajua liliruhusu Wafanya biashara kujiingiza kwenye SIASA na pia kugombea nafasi kwenye CHAMA
* Ilivunja JKT
* Iliondoa NGUZO za UONGOZI kwa hiyo iliruhusu Mawaziri na Wajumbe wa Chama kuanzisha Mashirika Binafsi

Kwahiyo Sio to Kanisa liliathirika hata Nchi pia iliathirika, Mawaziri wetu waligawana Mali za Nchi, Pesa za Nchi
Na kusahau wananchi...
 
VIJIJI ; CCM - vijiji 11, CUF -vijiji 3, Chadema -0.

VITONGOJI; CCM- Vitongoji 27, CUF - 6 na CHADEMA- 0
RIP CHADEMA, MKAPUMZIKE KWA AMANI! Poor you!

Poor wakwere, wazaramo, wajahidina and uamsho
 
siiamini hi habari hata kidogo ingekuwa ni kweli vyombo vyote vya habari vingelishikia bango jambo hili
 
Kule Rufiji ndio walikobaki wenyewe waliokunywa maji ya bendera za kijani:-

 
VIJIJI ; CCM - vijiji 11, CUF -vijiji 3, Chadema -0.

VITONGOJI; CCM- Vitongoji 27, CUF - 6 na CHADEMA- 0
RIP CHADEMA, MKAPUMZIKE KWA AMANI! Poor you!

U simply cant analyze!
Ukanda wenyewe ni 'wale walee! midundiko na unyago watoto hadi wazee, ndio maana CCM 'inawanywa kichwa-kichwa', fananisha na maendeleo ya Arusha, Mbeya au Kili, then ujitambue na jinsi CCM inavyolambishwa nyasi huko! Poor youself!
 
Hiyo habari ina walakini mkubwa, mleta mada tunaomba atupe source na full details ili wananchi tulioko Rufiji tuweze kuthibitisha kama ni kweli au uongo, kwani Rufiji ni kubwa sana na sijasikia kama kulikuwa na uchaguzi wowote kwa siku za karibuni.
 
Hata hivyo rufiji iko nyuma sana, kiakili kwa maana ya elimu; ukweli sioni shida CCM kushinda lakini sio kwa chama kama chadema ambacho kimepigania mambo mengi ikiwepo ufisadi kukosa hata kiti kimoja, hawa watu wako giiiizaaaaniiiii.

Sasa nani msemaji wao kiupinzani na hoja mbadala??? CUF ilishaungana na CCM, au na hilo hawalijui???
 
Kwenye huu uzi ndo nimegundua kumbe kuna magamba mengi humu. Sasa mlivyoishambulia JF imejaa Makamanda mlikuwa na propaganda za mlengwa wa kujilipua?

Sent from my BlackBerry 9910 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…