MAGAMBA MATATU
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 646
- 1,174
Tuacha ushabiki, Kiongozi gani anaweza kuleta maendeleo ndani ya wiki mbili. Ni mapema sana kumsemea Kafumu.
Tuacha ushabiki, Kiongozi gani anaweza kuleta maendeleo ndani ya wiki mbili. Ni mapema sana kumsemea Kafumu.
we unataka apewe miaka mingapi?mbona wakat anaomba kura alitoa ahadi nying,swali atazitekeleza lini??tuwen makni kuchangia,kwahyo we una ona raha wana igunga wanavyotabka?
Hivi mbunge aliyekuwepo ameshikilia jimbo kwa muda gani vile? tukumbushane.....
Kuapishwa kwenyewe bado halafu aanze tuu nyie viazi kweli kafumu ni mbunge mteule bado hajawa mbunge kamili subirini akiapishhwa muone mziki wa CCM
tusimhukumu mtu kwa historia. Hata kama Rostam angekuwa ameshika jimbo kwa miaka mia haitoshi kumhukumu Kafumu.
Tuacha ushabiki, Kiongozi gani anaweza kuleta maendeleo ndani ya wiki mbili. Ni mapema sana kumsemea Kafumu.
CDM ndani ya wiki mbili tayari wana namba ya visima watakavyo chimba, hii inaonesha jinsi watu walivyo na mipango ya kuwajali wananchi masikini kama wa Igunga ambao umasikini wao unasababishwa na kuwepo kwa CCM Tanzania.
Halafu unasema ndani ya wiki mbili, kama CCM kimeshindwa kuleta maendeleo yao for 50 years sitegemei hata miaka minne iliyobaki inatosha.
jina lako linaendana na mchango wako.
Tuacha ushabiki, Kiongozi gani anaweza kuleta maendeleo ndani ya wiki mbili. Ni mapema sana kumsemea Kafumu.
Dk Slaa anena
Dk Slaa amesema chama hicho kinatarajia kuchimba visima vya maji 11 katika Wilaya ya Igunga mkoani Tabora ikiwa ni wiki takriban mbili tangu kumalizika kwa uchaguzi mdogo wa jimbo hilo uliofanyika Oktoba 2.
Dk Slaa alitoa kauli hiyo muda mfupi baada ya kukabidhi mchanganuo wa namna walivyogawa mradi wa utekelezaji wa visima 200, vilivyotolewa na Sabodo kwa lengo la kuchimbwa katika majimbo tofuati wanakotoka wabunge wa Chadema.
Alisema lengo la kutekeleza mradi huo wa maji katika Jimbo la Igunga limetokana na ziara aliyoifanya katika vijiji 98, vilivyopo katika jimbo hilo na kugundua wananchi wake wanakabiliwa na tatizo kubwa la maji.
"Katika mpango kazi wetu, tumepanga kuchimba visima 11 katika Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, hii imetokana na ziara yangu katika vijiji 98 ambapo niligundua kuwa wakazi hao wanakabiliwa na tatizo kubwa la maji,"alifafanua Dk Slaa.
Chadema kilishika nafasi ya pili katika uchaguzi mdogo wa jimbo hilo, kwa aliyekuwa mgombea wake, Joseph Kashindye kupata kura 23,260 sawa na asilimia 44.3, nyuma ya mgombea wa CCM, Dalaly Kafumu aliyeshinda kwa kura 26,484 kati ya 52,487 halali zilizopigwa, sawa na asilimia 50.4.
Habari zinasemekana kuwa baada ya Kafumu wa CCM kushinda ubunge tayari ameisha weka makazi ya kudumu Mbezi beach Dar es Salaam na kuwaacha wananchi wa Igunga wakifa na njaa na kuhangaika huku na kule kutafuta maji,,,hiki kitendo kimefanya CHADEMA waamue kuanza kuwatekelezea mradi wa visima 11 vya maji wananchi wa Igunga japo hawakushinda ndani ya hilo jimbo kwani kipindi cha kampeni Dr Slaa aliona ni kiasi gani wanachi wa Igunga wanavyoteseka na uhaba wa maji..
Kuapishwa kwenyewe bado halafu aanze tuu nyie viazi kweli kafumu ni mbunge mteule bado hajawa mbunge kamili subirini akiapishhwa muone mziki wa CCM
Aliyetoa tamko la kuchimba visima ni Sabodo au Slaa wa CDM, au kama hujafuatilia thread vizuri ruksa to read it again, carefully.wanaochimba visima ni chadema au ni Sabodo?
nyie mbona mnafadhiliwa miradi mingi na world bank & IMF bado mnashindwa kuisimamia.Chadema wana majukumu gani nchini??? Na ni mradi wa kwanza kuufanya kama utafanyika kweli..kwani sabodo si ndio mfadiri. Acheni maneno kanga na muache siasa za kitoto. Ni mimi nisie na chama