CHADEMA waamua kuchimba visima 11 Igunga na Kafumu haonekani tena Igunga!

sabodo nikada wa ccm nimwanachama hai ni mfadhili wa ccm nikwa nini ameamuwa kuigeukia cdm nakuipa mgongo ccm misada anayotowa ccm inaichia mifukoni mwa watu haifiki kwa wana nchi kama umemsikia anasema nibola cdm ishinde 2015 anasema kafulaiswa na msimamo wa silahaa

huyo ana bifu na ccm kuhusu wale ndg zake wanaoishi NHC. Anatafuta umaarufu kupitia cdm.
 
Mkuu zambia sata ndani ya siku9 amefanya maajabu uchumi umeimalika kwacha imepanda dola inashuka mishahala imepanda huyo nikiongozi wa nchi igunga ni kajimbo tuachane na hilo jee chadema wanamiaka mingapi? hadii kuyaona matatizo ya wanaigunga miaka50 ya uhuru ndani ya igunga ni ccm au cdm kwani utowe visingizio ni wiki2 cdm ndowana wiki2

unataka umlinganishe Mbunge na Raisi?.
 
hata kama CDM wamepewa na SABODO bado ni kitendo cha kupongezwa kwani nchi hii ina maeneo mangapi yenye shida ya maji!
acha ushabiki usiokuwa na maana!!

hapo unapaswa umpongeze Sabodo wala sio Chadema.
 
Dr Kafumu ni Mbunge wa Igunga;kachaguliwa na wana Igunga lkn sherehe za kujipongeza zinafanyikia Dar! Hata mtoto mdogo hapo atajua kuwa Igunga wameula wa chuya!

sherehe zina faida gani kwa Mwananchi wa Igunga?.
 
hapo unapaswa umpongeze Sabodo wala sio Chadema.

Wanaopaswa kupongezwa ni Chadema kwa kuwa Sabodo atawapa fedha Chadema na hao cdm wangeamua kupeleka hivyo visima katika majimbo mengine ila kwa kuona jinsi wananchi wa Igunga wanavyopata tabu ya maji wakaamua kuwapelekea hivyo visima.

Tumia kichwa kufikiri na sio masaburi,huwezi kushindana na nguvu ya umma
 
tusimhukumu mtu kwa historia. Hata kama Rostam angekuwa ameshika jimbo kwa miaka mia haitoshi kumhukumu Kafumu.

Usitake kunichanganya aisee
Hakuna mtu anategemea mbunge kutumia uwezo wake binafsi kupeleka maendeleo eneo lolote
katika ardhi yetu.

Lakini kama kiongozi, ni wajibu wake kutumia fursa zilizopo na ambazo tunategemea azione
kutokana na uelewa wake na nafasi yake, ukiliangilia kwa mapana utagundua kwamba hii
ni system issue.

Mafanikio ya wabunge wa CCM katika kuboresha maisha ya wananchi wao ni chanda na
pete na mafanikio ya chama chao pamoja na serikali inayosimamiwa na chama chao.

Hivyo, ni sahihi kabisa kumpima kafumu kutoka na utendaji wa mbunge aliyepita na
kutokana na ufanisi wa wabunge wa ccm kwenye majimbo mengine na kitaifa kwa
ujumle.

ushahidi uliopo ni kwamba kuna very big failure. we do not need to wait a second
kumshutumu Kafumu kwamba ameisha shindwa kutekeleza majukumu yake. By
the way sekunde matokeo ya igunga yalipotangazwa ndio hapo muendelezo wa
mambo yale yale, kutoka kwenye chama kilekile na serikali ileile yalipoanzia.

CHADEMA wameonyesha dhamira ya kuchimba visima igunga, sidhani kama waliahidi
hiki kitu, ni kazi ya ccm kujenga lile daraja ambalo Magufuri alisema tayari tenda
imeishatangazwa, nadhani mkandarasi ameishapatikana.
 
Nyie kina nani? Mi siwakili chama hapa..natoa maoni ya ujumla. Tukubali kushindwa na tuache watu wafanye kazi zao...kama sabodo kaamua kutoa msaada safi mtanzania mwenzetu anasaidia watanzania wenzake. Sa CDM hapa sijui imeingiaje

hi wewe unaakili kweli? magamba wanawafadhili wangapi ambao huwatumia kujinufaisha wenyewe?
 
Tuacha ushabiki, Kiongozi gani anaweza kuleta maendeleo ndani ya wiki mbili. Ni mapema sana kumsemea Kafumu.

Haya mzee ataanza lasmi october 2014 je huo ndio muda muafaka wa kuijenga IGUNGA?
 
Tuacha ushabiki, Kiongozi gani anaweza kuleta maendeleo ndani ya wiki mbili. Ni mapema sana kumsemea Kafumu.

Kuna lile daraja Mh. Makufuli alisema tayari tenda ilishatangazwa hata kabla Mh. Kafumu ajachaguliwa, tungependa kujua maendeleo yake. Maana hatuoni hata wapimaji huku wakipitapita.
 
Mziki wa ccm??
Aliyekuwa mbuge kabla ya kafumu alikuwa anatoka NRA?
Watu wengine vichwa vyao makasha kwelikweli.
Kuapishwa kwenyewe bado halafu aanze tuu nyie viazi kweli kafumu ni mbunge mteule bado hajawa mbunge kamili subirini akiapishhwa muone mziki wa CCM
 
Najua hajaapishwa .Lakini mbona sherehe anazidi kufanya na CCM yake kwa nini asingoje kuapishwa kwanza ? Hata kurudi kusema asante Igunga kwa kupewa ulaji kuna hitaji kuapishwa ?
 
Aliyetoa tamko la kuchimba visima ni Sabodo au Slaa wa CDM, au kama hujafuatilia thread vizuri ruksa to read it again, carefully.
We masaburi, Dr Slaa ametoa tamko na Sabodo amefadhili. Ni jukumu la chama kuamua lielekeze wapi misaada iliyopokelewa. Nyie magamba mkipata misaada kama hii ni dili mnapeleka kwa mahawara zenu kama mnavyowapa ukuu wa wilaya na mikoa. Watu wameamua kupitishia katika mikono sahihi.
 
Ndio maaana me siyapendi manyang'au yote yanayojiita ccm,hapo awali yalitudanganya kwamba rost yahamu ameleta maendeleo makubwa sana igunga,hayo maendeleo yako wapi?watu wanahangaika sana hakuna huduma muhimu,na bado kuna vichwa maji humu wanaleta upuuzi wao,eti bado mapema kwa kafumu kuanza kuleta maendeleo,na huko dar anafanya nini sasa?kwani walimchagua ili aende kukaa dar au ashirikiane nao kuleta maendeleo igunga?hebu tuwe na huruma hata kidogo kwa wenzetu wa vijiji vya igunga, naipongeza chadema kwa huo mradi wa visima igunga.
 
Muanzisha thread naona unajiliwaza wewe na Magwanda wenzeko..hii habari nimeisoma kwenye gazeti la Mwananchi la leo.

Visima 200 vitachimbwa na Sabodo kwenye majimbo yote ya wabunge wa CDM.

Hakuna pesa yoyote CDM wametoa.

Magwanda wanapongezana tu..Ha! Ha! Ha! Mnachekesha
 
Kuapishwa kwenyewe bado halafu aanze tuu nyie viazi kweli kafumu ni mbunge mteule bado hajawa mbunge kamili subirini akiapishhwa muone mziki wa CCM

Wewe ndio kiazi kabisa tena kilichooza,huna kitu kichwani kwani kuanza kufanya maendeleo huwa kuna muda maalumu?na kwa nini huyo mnae mwita mbunge kakimbia jimboni kwake?au dar ndio iko igunga?unaposema bado hajaapishwa na sherehe walifanya ya nini?usiwe kama wafuasi wa KIBWETELE alioko juu usimngoje chini.
 
Walichokuwa wanataka ccm ni ubunge and nothing else. Ndiyo maana Kafumu mara baada ya kutangazwa mshindi akakimbilia Dar kwani walichokuwa wanakitaka wamekwishakipata. CCM ni waongo na hili wana Igunga watakuja kulikumbuka. CDM ni wabunifu, hali wakijua kuwa serikali haiwezi kusaidia majimbo yanye wabunge wa CDM, wanatafuta njia mbadala za kuwasaidia wananchi wao. Time will tell, lakini sasa taratibu wananchi wanaanza kufumbuka macho, na nina hakika mwaka 2015 hali itakuwa tofauti sana.

Ahsanate sana Mh Sabodo, inabidi sasa uweke wazi kuwa wewe sio ccm tena bali ni CDM. Itisha waandishi wa habari kisha uirudishe rasmi kadi ya ccm (kama kweli unayo). Sipendi tena uitwe '"kada wa ccm".
 
Muanzisha thread naona unajiliwaza wewe na Magwanda wenzeko..hii habari nimeisoma kwenye gazeti la Mwananchi la leo.

Visima 200 vitachimbwa na Sabodo kwenye majimbo yote ya wabunge wa CDM.

Hakuna pesa yoyote CDM wametoa.

Magwanda wanapongezana tu..Ha! Ha! Ha! Mnachekesha

asante kwa kuiweka clear zaidi. Naona pro-CDM hawatengi muda wa kufikiria.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom