CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

CCM itadumu milele...magwanda wameshaanza kusalitiana wenyewe, kwa mtindo huu watafika?

Hahahah...huu wako uliounadika unauonaje?

Kweli kabisa...hauji kwa vurugu na maandamano

Magwanda utawajua tu....wakikosa chakuongea utasikia ooo...masaburi...oooo umetumwa na nape!

Lakini MAGAMBA utasikia ooohoo bakuli letu la kuombaomba WAMELIDAVID CAMEROON. shame on you
 
conflicts ya sasa ya Lema, kufanya mkutano au maandamano bila kibali cha polisi is not new!!1 kuna mlolongo wa watu au wanasiasa waliokwisha pitia adha hiyo tangu 1992. Sijamsikia mwanasiasa aliyeenda jela kwa sababu ya kutaka katiba mpya!

Tatizo ni kuwa unasikia yale tu unayopenda kusikia ndugu yangu? Haki ya kuandamana, mamlaka ya polisi kuruhusu/kuzuia maandamano, tume huru ya uchaguzi, mfumo wa uchaguzi na usimamizi wake yote ni mambo ya kikatiba na kisheria. Mtu akifungwa kwa kupinga lolote kati ya hayo kimsingi anakuwa amefungwa kwa kupinga mfumo wa kikatiba uliopo.
 
Shujaa Lema aliandika waraka mapema akiwa tayari kwenda jela kwa wiki mbili, katika maamuzi yake alijua kuwa kuna kikao cha bunge na ya kuwa aliamua kwa utashi wake na sababu alizotoa kwa yeye kenda jela.

Wengi walimsifia shujaa huyu ambaye ushujaa wake haujapunguka wala kuyumba, japo akina Mbowe na Slaa wanalazimisha atoke…shujaa anatakiwa kukaa mpaka Jumatatu.

Hakimu ameamua hivyo, tuliokuwa pembeni tulijua itakuwa hivyo.
Mbowe na Slaa wameshindwa kufikia akili ya Lema na ushujaa wake kwani wako kimaslahi ya kibinafsi zaidi kuliko ya kitaifa.

Ni vigumu Slaa na Mbowe kwenda jela au mahabusu kwa sababu ya swala fulani wanalolipinga, leo hii tunashuhudia kuwa ni vigumu sana hawa mabwana kuaminiwa kwa lolote na katu si wapiganaji halisi, na Lema amewaaacha mbali kwa kuchukua maamuzi magumu , alichoshindwa lema ni
KUTUMIA AKILI KATIKA MADAI YAKE.

Haiingii akilini hata kidogo kuwa the whole Saga in Arusha eti kisa Lema alifanya mkutano bila kibali cha polisi, siku hiyo Lema alikimbia na akaenda kuandika waraka mrefu na kujipelekea Rumande. Kukimbia kwa Lema kuna onyesha kuwa alijua kuwa anafanya makosa na kwa hasira akaamua alichoamua.

Mbowe.. Lema mpaka anakubali kwenda Jela kama hakukuhusisha wewe mwenyekiti wake basi kuna
TATIZO..kinachoendelea sasa ni kuwa miscommunication within chadema ndiyo inapeleka wananchi WAHANGAIKE…Mbowe aeleze umma je Lema hakumtaarifu?? Alimshirikisha nani huo uamuzi…au chadema mtu yeyote anaamua loloye lile!

Aibu ya Mbowe na Slaa ni kuwa wameshindwa kufanya utundu Lema kwenye madai ya katiba! Au wameshindwa kucustomize the situation iwe yenye sura ya kitaifa na ki-akili zaidi, lakini si sababu za kijinga eti kisa mtu kajipekeka jela kwa kufanya maandamano, leo wanashinikiza atoke mwisho wake wanaishia kukaa kwa siku tatu wakiishinikaza mahakama imtoe Lema…Never…

THIS WILL NEVER
HAPPEN HATA KAMA SLAA ANGEKUWA RAIS! Kukubali matakwa ya chadema ni kusema mahakama haipo! Na mhimili huu haupo….kudhihirisha kuwa mna wapenzi wavuta bangi wanakubali kukesha na nyie kwa siku tatu…pasi kula, kunywa na hawa jamaa hawako kazini, hwana ofisi…nyie mko kazini na mnapata milion saba kwa kusema majukwani…..siyo watu acheni uongo.

Hivi kwa nini msingebadilisha upepo na kuonekana Lema anapigania
katiba ibadilishwe? Au Lema anataka tume ya uchaguzi ibadilike?. Impact ya swala hilo ingemfanya Lema awe na sura ya kitaifa, kishujaa na siyo sura ya sasa ya kivuta bangi, utoto na kuzira ambako hakuwasaidii wana Arusha , walalahoi, wala hakutapandisha thamani ya shilingi!
Ni vizuri nyakati zingine akina Mbowe na Sla muache usaliti wa wanamageuzi wa taifa hili, kwa kutengeneza sababu ambazo zitaungwa mkono kwetu Liwale, na zitaamsha hisia za watu Mpanda, na watu watazikubali Igunga.

Sababu za sasa ni za kijinga….hazina sura ya kitaifa, nwa kwa sababu hazitapata support ya maeneo mengine nchini ,basi zitaisha kama zilizopita….what a shame!!!
Moto huu, hamaki hizi, hasira hizi na hekaheka hizi zingekuwa ni kwa ajili ya katiba kila mtu kwa umbile na kimo, umri na rangi , dini na kabila angeunga mkono Chadema, this was needed a just slight twist ya whole saga , Sababu za sasa hivi ni za kijinga, kisaliti, utoto, na ziko kulenga chadema kupata wafuasi watakaokipigia kura za ubunge ili wapate ruzuku na kuwekeana mishahara ya milioni saba kwa mwezi..

SABABU ZA KINACHOENDELEA ARUSHA HAZINA SURA YA KITAIFA YA KULIKOMBOA TAIFA TOKA MIKONONI MWA WAKOLONI WEUSI WANAOITWA CCM. Halafu zinaipa nguvu mahakama ya kujitetea kwa wananchi..Ni mahakama hii hii imesifiwa juzi kwenye hukumu ya chadema juu ya madiwani wake…….ni chadema hiyo hiyo inalaumu mahakama haina usawa kwenye swala la Lema la kujipeleka gerezani!!
It doesn’t add up!

Caliber ya Lema inahitajika sana kwenye mapinduzi, ila iwe sababu za AKILI…SIYO SABABU ZA SASA AMBAZO HAZIINGII AKILI KWA INTELECTUALS ila zinaingia akilini kwa wapenzi vipofu.

Ni caliber hii ambayo haitakiwi kuzimwa, ni caliber ambayo angekuwa nayo Slaa au Mbowe chadema ingekuwa mbali, tungekuwa na akina Sata, Odinga na Tsvangira wetu..hao kwa sasa hatuna. Akina Mbowe wanachukua situation hii kwa aibu kubwa na kufanya maamuzi ya kijinga kabisa, ili hali wakijua wenye dola watawakimbiza!! what a shame??

CCM itandoka kwa akili na umoja!! shinikizeni katiba mpaya na tume huru ya uchaguzi mkienda jela kwa sababu hizo mtaungwa mkono kila kona, ili si katika hili.

Mawazo mazuri ila kila kitu kinakuwa na mahali pa kuanzia. Hata hapa walipofikia si haba. Tuangalie mbele na kuwapa support.
 
Mkuu! JK, Mbwiga! Mbwiga! Mbwiga, Kwampile? Chonde! Chonde! Chonde! Ingilia kati kwa mamlaka uliyo pewa na MMungu na Watanzania kutuongoza ulimalize hili Tatizo tatizo la Arusha kwa Amani! Achana na wapambe Hawatakuwepo! Wakulu walonga Bozi lyako umuachie nani! Ninaisikia harufu ya uasi Mkuu hapa nnchini usidanganywe na walimila Dole!
 
Arusha wanapelekwa kama makinda ya Bata..

Hapo uwanjani uwezi kuona familia ya Mbowe.

Huwezi kuona familia ya Mtei.

Huwezi kuona familia ya a loser Dr Slaa.

Huwezi kuona familia ya Lema.

Huwezi kuona familia ya Ndesamburo.

Ni makapuku watupu ndio wapo viwanjani..

Akili za makengeza

hivi hoja yako ina akili kweli? Hao uliowataja si wako hapo? Na hao umma kwani umeambiwa wamekuja na wake na watoto wao hapo? Angalia kijana
 
Huyo ritz alikuwa anatangaza mpira bado hajalimaza majina ya marefa,wasaidizi wao etc achana nae juha huyo hata kunya leo hajaenda kutwa kashinda JF!
 
Arusha wanapelekwa kama makinda ya Bata..

Hapo uwanjani uwezi kuona familia ya Mbowe.

Huwezi kuona familia ya Mtei.

Huwezi kuona familia ya a loser Dr Slaa.

Huwezi kuona familia ya Lema.

Huwezi kuona familia ya Ndesamburo.

Ni makapuku watupu ndio wapo viwanjani..

Akili za makengeza

golie nani mtangazaji mpira wa miguu,bado ref,wasaidizi wake etc then hamia kwao ukashibe leo umeshinda JF hata kunya hujaenda du toto la kiume!au ndo yale yale huwezi kula hadi uliwe kiduchu.
 
Shujaa Lema aliandika waraka mapema akiwa tayari kwenda jela kwa wiki mbili, katika maamuzi yake alijua kuwa kuna kikao cha bunge na ya kuwa aliamua kwa utashi wake na sababu alizotoa kwa yeye kenda jela.

Wengi walimsifia shujaa huyu ambaye ushujaa wake haujapunguka wala kuyumba, japo akina Mbowe na Slaa wanalazimisha atoke…shujaa anatakiwa kukaa mpaka Jumatatu.

Hakimu ameamua hivyo, tuliokuwa pembeni tulijua itakuwa hivyo.
Mbowe na Slaa wameshindwa kufikia akili ya Lema na ushujaa wake kwani wako kimaslahi ya kibinafsi zaidi kuliko ya kitaifa.

Ni vigumu Slaa na Mbowe kwenda jela au mahabusu kwa sababu ya swala fulani wanalolipinga, leo hii tunashuhudia kuwa ni vigumu sana hawa mabwana kuaminiwa kwa lolote na katu si wapiganaji halisi, na Lema amewaaacha mbali kwa kuchukua maamuzi magumu , alichoshindwa lema ni
KUTUMIA AKILI KATIKA MADAI YAKE.

Haiingii akilini hata kidogo kuwa the whole Saga in Arusha eti kisa Lema alifanya mkutano bila kibali cha polisi, siku hiyo Lema alikimbia na akaenda kuandika waraka mrefu na kujipelekea Rumande. Kukimbia kwa Lema kuna onyesha kuwa alijua kuwa anafanya makosa na kwa hasira akaamua alichoamua.

Mbowe.. Lema mpaka anakubali kwenda Jela kama hakukuhusisha wewe mwenyekiti wake basi kuna
TATIZO..kinachoendelea sasa ni kuwa miscommunication within chadema ndiyo inapeleka wananchi WAHANGAIKE…Mbowe aeleze umma je Lema hakumtaarifu?? Alimshirikisha nani huo uamuzi…au chadema mtu yeyote anaamua loloye lile!

Aibu ya Mbowe na Slaa ni kuwa wameshindwa kufanya utundu Lema kwenye madai ya katiba! Au wameshindwa kucustomize the situation iwe yenye sura ya kitaifa na ki-akili zaidi, lakini si sababu za kijinga eti kisa mtu kajipekeka jela kwa kufanya maandamano, leo wanashinikiza atoke mwisho wake wanaishia kukaa kwa siku tatu wakiishinikaza mahakama imtoe Lema…Never…

THIS WILL NEVER
HAPPEN HATA KAMA SLAA ANGEKUWA RAIS! Kukubali matakwa ya chadema ni kusema mahakama haipo! Na mhimili huu haupo….kudhihirisha kuwa mna wapenzi wavuta bangi wanakubali kukesha na nyie kwa siku tatu…pasi kula, kunywa na hawa jamaa hawako kazini, hwana ofisi…nyie mko kazini na mnapata milion saba kwa kusema majukwani…..siyo watu acheni uongo.

Hivi kwa nini msingebadilisha upepo na kuonekana Lema anapigania
katiba ibadilishwe? Au Lema anataka tume ya uchaguzi ibadilike?. Impact ya swala hilo ingemfanya Lema awe na sura ya kitaifa, kishujaa na siyo sura ya sasa ya kivuta bangi, utoto na kuzira ambako hakuwasaidii wana Arusha , walalahoi, wala hakutapandisha thamani ya shilingi!
Ni vizuri nyakati zingine akina Mbowe na Sla muache usaliti wa wanamageuzi wa taifa hili, kwa kutengeneza sababu ambazo zitaungwa mkono kwetu Liwale, na zitaamsha hisia za watu Mpanda, na watu watazikubali Igunga.

Sababu za sasa ni za kijinga….hazina sura ya kitaifa, nwa kwa sababu hazitapata support ya maeneo mengine nchini ,basi zitaisha kama zilizopita….what a shame!!!
Moto huu, hamaki hizi, hasira hizi na hekaheka hizi zingekuwa ni kwa ajili ya katiba kila mtu kwa umbile na kimo, umri na rangi , dini na kabila angeunga mkono Chadema, this was needed a just slight twist ya whole saga , Sababu za sasa hivi ni za kijinga, kisaliti, utoto, na ziko kulenga chadema kupata wafuasi watakaokipigia kura za ubunge ili wapate ruzuku na kuwekeana mishahara ya milioni saba kwa mwezi..

SABABU ZA KINACHOENDELEA ARUSHA HAZINA SURA YA KITAIFA YA KULIKOMBOA TAIFA TOKA MIKONONI MWA WAKOLONI WEUSI WANAOITWA CCM. Halafu zinaipa nguvu mahakama ya kujitetea kwa wananchi..Ni mahakama hii hii imesifiwa juzi kwenye hukumu ya chadema juu ya madiwani wake…….ni chadema hiyo hiyo inalaumu mahakama haina usawa kwenye swala la Lema la kujipeleka gerezani!!
It doesn’t add up!

Caliber ya Lema inahitajika sana kwenye mapinduzi, ila iwe sababu za AKILI…SIYO SABABU ZA SASA AMBAZO HAZIINGII AKILI KWA INTELECTUALS ila zinaingia akilini kwa wapenzi vipofu.

Ni caliber hii ambayo haitakiwi kuzimwa, ni caliber ambayo angekuwa nayo Slaa au Mbowe chadema ingekuwa mbali, tungekuwa na akina Sata, Odinga na Tsvangira wetu..hao kwa sasa hatuna. Akina Mbowe wanachukua situation hii kwa aibu kubwa na kufanya maamuzi ya kijinga kabisa, ili hali wakijua wenye dola watawakimbiza!! what a shame??

CCM itandoka kwa akili na umoja!! shinikizeni katiba mpaya na tume huru ya uchaguzi mkienda jela kwa sababu hizo mtaungwa mkono kila kona, ili si katika hili.

Waberoya,

Sikubaliani na mawazo yako bana!

Kuwatukana viongozi waandamizi wa CDM ambao ni Mhe.Mbowe na Dr.Slaa kwamba hawakutumia akili kushinikiza Mhe.Lema aachiwe huru toka mahabusu na wakti huohuo unamsifia Mhe. Lema kuwa katumia akili sana kujipeleka mahabusu kwa hiari yake mwenyewe. Hata hivo bado unasema sababu iliyompeleka Lema mahabusu si issue ya Kitaifa kwamba pengine angejipeleka kwa issue kama ya Katiba mpya na vitu kama hivyo!!!

Mimi nasema hivi siyo lazima mtu aende mahabusu kwa issue nzito tu kama Katiba mpya unavofikiria wewe. Mao-Tse-Tung(marehemu)wa Taifa la China alikuwa anatumia msemo wa CHECHE MOJA YAWEZA KUANZISHA MOTO MBUGANI . Siku zote jambo dogo ndio huzaa jambo kubwa! Nataka nikupe live example ya kile kilichotokea TUNISIA hadi kupelekea kuondolewa madarakani kwa serikali ya Ben Ali. Issu ya Tunisia ilianzia kwa kijana mmoja graduate aliyekuwa hana ajira akaamua KUUZA MCHICHA ILI KUJIKIMU KIMAISHA. Kama kawaida ya Majeshi ya Polisi mara nyingi huwa hawatumii akili. Yule kijana walimvurumisha na kusambaratisha biashara yake ya mchicha inayompatia kipato cha kila siku. Kilichofuata baada ya hapo ilikuwa ni kijana KUAMUA KUJIUA KUTOKANA NA UNYANYASAJI WA POLISI.

Umma wa Tunisia haukubalina na hali hiyo ya kishenzi ya polisi ya kunyanyasa wananchi wanaojitafutia riziki kwa nguvu zao wenyewe halafu Polisi ambayo ndiyo serikali iliyoshindwa kuwapa ajira inawanyanyasa na kuwazuia kufanya shughuli kama hizo. Umma uliingia mitaani na serikali ikatikisika mpaka kupelekea kung'olewa kwa Ben Ali na nguvu ya umma!!!!Yule kijana hakuajiua kwa KUDAI KATIBA BAALI ALIKUWA ANAPINGA UNYANYASAJI WA POLISI KAMA AMBAVYO MHE. LEMA LEO AMEAMUA KUJIPELEKA MWENYEWE MAHABUSU ILI KUPINGA HUO UJINGA WA JESHI LA POLISI.

Lema yuko juu,viongozi wa CHADEMA wako juu. Na kadri tu Serikali ya CCM inavyoendelea kulipuuza swala la Mhe. Lema kwa kuendelea kulikuza badala ya kulitafutia ufumbuzi. Hii tu inaonyesha ni serikali na ya namna gani tuliyo nayo madarakani. Kama kweli Makamishna wawili wa Polisi walitumwa na wakuuu wao bila shaka wakiwemo IGP Mwena na Waziri wake Nahodha kumwomba Lema akubali kutoka na pia viongozi wa CDM wakatoa msisitizo wa Lema kutoka HALAFU KICHAAA MWINGINE SIJUI HAKIMU MKAZI ANAKATAA KUMRUHUSU LEMA ATOKE unategemea nini kwa wapumbavu kama hawa???

Hivi serikali ya CCM wanafikiri wanamkomoa Lema,CHADEMA,viongozi na wafuasi wake???They are very wrong! Watu si wajinga kiasi hicho. CCM wajue tu wanatengeneza njia rahisi kabisa ya kuja KUWAONDOA MADARAKANI kiulaini!

Tusubiri.
 
Mods acheni unazi sioni sababu za msingi za kuunganisha thread ya kamamnda Waberoya na Bwana / Bibi Bakeza huu ni ubabe wa kijinga.

Mkuu kwa kweli hata mimi nimeshangaa sana wameona Waberoya kawaeleaza ukweli

Asanteni kusikitika pamoja nami,
ukombozi unaanza katika vitu vidogo vidogo vikiwamo vitu kama hivi! ukombozi si kuondoa CCM madarakani, bali kuhakikisha uonevu wa aina yeyote unaofanywa na mtu , kikundi au chama chochote unapingwa; kama uonevu wa kukosa demokrasia kama ilivyo ndani ya chadema na uonevu wa kuunganisha threads!
 
mkuu huna sababu ya kutokwa na jasho la kwapa na povu la mdomo kisa mods wanaunganisha thread zako. JF ina comments 2 000 000 + na members 52, 000+. Vicomment vyako ambavyo havina jipya havina hiyo hadhi unayotaka kuvipa ya kutaka ati vipewe special treatment

Mods ondoeni kila aina ya duplicate ikijitokeza, msiangaliea nani kaandika.

Au kama vipi hamia hapa kwa wenzako kina Kibonde na Mbwiga wa Mbwiguke upate 'mtekenyo wa mbwiga':

All Discussions - WasomiForum
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom