CHADEMA vs CCM piga kura

Ccm VS Chadema

  • Total voters
    19
Hahahaaa!... Mm nme vote ndio maana nmekuja Ku reply.....hahahhaaa
 
eeeh beautyful city aiwez kuwa dar es salam Dodoma ndio beautful ndio mana serikal ya hamia uko
Ahh wapi! Jiji limekucha sana hili! Dodoma naiombea iwe government city nzuri! Mimi na mpenzi wangu MAMA TANZANIA, naiombea yote kwa kweli!
 
Sasa msimamizi wa uchaguzi, si ungeweka CCM vs UKAWA sasa mie wa PPT maendeleo na NCCR nita vote wapi?🙁🙁🙁🙁 Au una maana CHADEMA ndio imetumeza vyama vyote vya upinzani?
 
Sasa msimamizi wa uchaguzi, si ungeweka CCM vs UKAWA sasa mie wa PPT maendeleo na NCCR nita vote wapi?🙁🙁🙁🙁 Au una maana CHADEMA ndio imetumeza vyama vyote vya upinzani?
Tufanye iwe hivyo mana hapo nilivyo ccm vs chadema ndio ilikuwa end of thinking capacity yang
 
Bado siku chache uchaguzi ufungwe alaf naona chama fulan kinakimbiza kwa kura 4 zaidi ya kingine
 
We piga kura acha vicngizio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…