CHADEMA vs CCM+NCCR+TLP+ PT+ etc. Fainali kombe la mageuzi ya demokrasia

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
Nimeweka kifurushi nakuta match ipo dk 21 sec 17. Hadi hapa Chadema inaogoza kwa bao 2 dhidi ya timu hii ya CCM ikisaidiwa na vyama visivyo na mwelekeo.

Japo match inaonekana kuwa ngumu hasa upande wa chadema kutokana na refa kuvaa jezi ya ccm na washiriki wake, pia washabiki wa chadema wamezuiwa kuingia uwanjani huku washabiki wa chadema walioko uwanjani wamepewa amri ya kunyamaza kimya, lakini mambo bado ni magumu kwa ccm na washiriki wake.

Inasemekana kama match itaendelea hivi upo uwezekano wa dk kuongezwa hadi 300 hadi CCM na washiriki wake washinde.

Uwanja umefurika lakini nusu ya viti vya mashabiki wa CCM ni mgambo wa jiji , lines men wote wamevalia rangi ya jezi ya CCM.

Refa ameapa kutoa penati ma kadi nyekundu kama Chadema hawata achia goli 3 na sharti wasiongeze.

Tunawshukuru DSTV kwa kuweka live match hii, kwa wasio jua channel ipo DSTV sport15.

Naenda kufuata karanga na juice ya Azam, narudi.

Mungu ibariki chama cha sport Tanzania (NEC).
 
Pole sana mkuu. Match ndiyo imeanza kama hawapendi wahame chanel. Najua wako wengi watakubeza. Lakini ukweli ndiyo huo.
 
CHADEMA piga hao CCM na vibaraka wake 3-0 warudi dodoma wakaendelee kula viwavi jeshi

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
Dk 30 chadema 3- 0 CCM na vibaraka wake

Tanesco msikate umeme.. haaa
CHADEMA piga hao CCM na vibaraka wake 3-0 warudi dodoma wakaendelee kula viwavi jeshi

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
Back
Top Bottom