Chadema vipande vipande kigoma

Chadema vipande vipande kigoma

zilongwa

Senior Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
186
Reaction score
49
Wananchi wa jimbo la Kigoma kaskazini waliokua wanachama wa chadema wamevunja ofisi ya chama na kuharibu kwa moto mali za chama hicho pamoja na kuchoma kadi zao za uanachama kwa kile kinachodaiwa kupinga maamuzi ya kamati kuu ya chama hicho kumvua nyadhifa zote mbunge wao kipenzi Mh. Zitto Kabwe.
Wananchi hao wamesema iwapo chadema haitatengua maamuzi yao hao watakua upande wa Zitto hata ikibidi kuhama chama watahama naye
SOURCE:-habari za saa ITV
 
CHADEMA wamepeleka kampeni kigoma ili kuhalalisha kuwa ZZK ni prbl, ni vema Mbowe na baba mkwe wake wakatangaza kuwa chama ni chao na kiongozi hawezi kutoka nje ya himaya yao
 
Wajinga kweli kweli. Zitto hajahama. Kwani walimchagua awe katibu msaidizi? Sasa kasema hahami.Bora wangesubiri afukuzwe ndio nao wahamie ugambani. Poor Kigoma kaskazini.Kumbe wote wako kama yy MM.
 
Mbowe na baba mkwe akiwepo lilian walifikir wakimpora zitto unaibu katibu mkuu watakuwa salama,sasa moto wamewasha na hapo ni kigoma tu,subiria na sehem nyingne zinakuja
 
Hapa mzee mtei anaona Saccoss ya mkwe wake inahujumiwa!!
Lol....ukute mzee mtei alipoanzisha CDM alikua na lengo la kuoshea majina jamaa zake na watu wa tengeru !! sisi tunaingia tu kichwa kichwa kumbe mtu hana lengo lolote la kuwaunganisha watanzania ndo tabu inapoanzia hapo
 
hiyo mitu ya kigoma ni 0.001/8 ya wana M4C wao waondoke naye. kama walimtuma aje kufanya ujinga na usaliti katika chama sasa imekula kwao.
 
Wajinga kweli kweli. Zitto hajahama. Kwani walimchagua awe katibu msaidizi? Sasa kasema hahami.Bora wangesubiri afukuzwe ndio nao wahamie ugambani. Poor Kigoma kaskazini.Kumbe wote wako kama yy MM.

mkuu we ndio mfamaji diwani?
 
Wananchi wa jimbo la Kigoma kaskazini waliokua wanachama wa chadema wamevunja ofisi ya chama na kuharibu kwa moto mali za chama hicho pamoja na kuchoma kadi zao za uanachama kwa kile kinachodaiwa kupinga maamuzi ya kamati kuu ya chama hicho kumvua nyadhifa zote mbunge wao kipenzi Mh. Zitto Kabwe.
Wananchi hao wamesema iwapo chadema haitatengua maamuzi yao hao watakua upande wa Zitto hata ikibidi kuhama chama watahama naye
SOURCE:-habari za saa ITV

Zitto ni msaliti, badala ya kumshauri Zitto ajirekebishe na kukiri makosa yake mnalazimisha kamati kuu iliyotekeleza majukumu yake kwa haki itengue? kwali akili zingine zinahitaji counselling
 
Hao wananchi ni masoro! Hawajitambui pamoja na msaliti wa chama.
 
Zitto ni msaliti, badala ya kumshauri Zitto ajirekebishe na kukiri makosa yake mnalazimisha kamati kuu iliyotekeleza majukumu yake kwa haki itengue? kwali akili zingine zinahitaji counselling

.....taratibu tu watajitambuwa!!!

Makamanda tunasonga mbele hakuna kurudi nyuma anayerudi nyuma kunasiku atatuelewa!!!!
 
We mpuuzi kweli chadema is an organization kwahiyo itaendelea kuwepo miaka yote zzk mjinga sana na bora afukuzwe kabisa mnafik huyu
 
.....taratibu tu watajitambuwa!!!

Makamanda tunasonga mbele hakuna kurudi nyuma anayerudi nyuma kunasiku atatuelewa!!!!

Fukuzilia mbali mnafiki mkubwa akajiunge na ccm......kumsamehe huyu ni kuipa nguvu ccm
 
Back
Top Bottom