Chadema vipande vipande kigoma

Chadema vipande vipande kigoma

Tatizo kiongozi mkuu wa chadema yuko "too local"...

local ni kitila na zitto angalia hata uzungumzaji wao wa kishamba kabisa miguu wanavyotembea unajua funza walimaliza ressing code unajua suruali wamevalia vyuoni they are too local uncouthed, yaani ni washamba na si saizi ya mbowe
 
mshangaa msaliti, reation ni damage control asifukuzwe , tunataka kuona anafukuzwa ili wanywe damu zao baada ya kujichinja kugombea mbunge wao, chadema wamefanya vizuri sana kumfukuza hizo reaction zinathibitisha anatumia aggressive manners
 
unajua unaposema kuwa msaliti Zitto wote hapo mnakosea sana kwanza mmethibitisha vipi au siasa za Tanzania hamzifahamu?..nyie mnaona kama hao viongozi wa chadema wanaokuwa wanapanga maandamano na kufanya watu wasifanye kazi siku zote ndio wa maana,wanaandamana mpaka watu wanapigwa mabomu!! nani anaweza kutupa maendeleo ya nini wanasheria wanafuatilia kuhusu bomu lililorushwa kwenye mkutano wa chadema,kama unasema Zitto ni mnafiki kwanza mnafiki wa kwanza na mwehu ni mbowe!! kila siku wanapeleka watu bara barani hawa,baada ya kuwaacha wafanye kazi wajikwamue na hali ya uchumi ilivyokuwa ngumu wao wanapanga maandamano kila siku ,huku wao wakila ruzuku inayotolewa na serikali ovyo tu.chademu hakuna mwanasiasa kama kabwe kama unabisha wewe ,kufikiria unatumia ma------.
 
Hao Kigoma waendelee kuandamana au wakiona vipi wajiunge na CCM,mbona tumewazoea wakina Warid Kabouru,Nsozigwanko na wengineo wa huko?Chama ni zaidi ya mtu,hata huko watakakokimbilia wasubiri kinyangayiro cha kutafuta mgombea hapo 2014 kitakavyokimega mega chama,sijui baada ya hapo watakimbilia chama gani,heri chadema wameanza mapema na wana muda wa kujipanga upya.
 
Chama kina wenyewe hicho jamani kwanini mnakuwa kama hamuelewi????watampendaje zitto au dr kitila wawe juu wakati sio wachaga? hivi hamjaishi na hawa watu hata huku maofisini mkaona ni jinsi gani walivyo wabinafsi,wabaguzi tena wa wazi .huwa swala la chadema kwao ni kama family matter... Zitto kataka kugombea urais imekuwa taabu.... familia haitaki chasaka ashike madaraka makubwa kama hayo.
 
Back
Top Bottom