Ramadhani Ighondu,ni wa TISS amlitajwa na Dr Ulimboka
mbulula wewe. alitajwa na ulimboka au na kubenea kwenye gazeti la mwanahalisi
Ramadhani Ighondu,ni wa TISS amlitajwa na Dr Ulimboka
Ramadhani Ighondu,ni wa TISS amlitajwa na Dr Ulimboka
Kwahiyo suala la video kuwa fake limepotelea wapi?
Itakuwa ngumu sana kumuokoa Lwakatare kama video sio fake.
Pia kumkana Ludovick kutaibua mengine mengi.
kaka huyu jamaa anashida na uelewa yeye anasema ludovick anatumiwa pesa na nape kwa m pesa wakati lisu anasema ludo anatumiwa pesa na mwiguru mbona hatumwelewi huyu jamaa wa wapi huyu.
kaibuka mwingine huyo toka usingizini, naona wako wengi wanafanya kupokezana hapa, haya endelea maana malipo yenu hayana shida ni lumumba tuu!!!! Ila na nyinyi mtalaaniwa na mungu kutumia fedha zetu kwa mipango ya kutukandamiza!!!
Kuna yeyote kati yenu anayekumbuka wakati Slaa aliposema kwamba eti watu wa usalama wa taifa wanaripoti kwake yeye?
Leo hii vipi tena hawaamini usalama wa taifa?
Jamaa wana madudu mengi sana wayaficha kwenye kapeti,
Unajua kabisa nimeongelea Mandela na si ANC.kama ulijua kuwa mandela hayuwezi kumfananisha na mtu yeyote sasa kwa nini muifananishe chadema na ANC au harakati za mandela na za chadema
Kweli kuna watu wanalipwa na CCM ili kuwa against na CDM hapa JF. Tatizo ni kwamba sijui wanamdanganya nani hapa.
Uzi umeanza saa 22:48 then saa 22:50 ZeMakopo akatia neno, 22:52 Ritz akatia neno na kwenye nyuzi nyingine wamo na ni kila saa kila siku wapo/yupo.
Kwahiyo hii ni kazi mtu anafanya mwisho wa mwezi anapokea mshahara wake. Duuh!
kuna mtu anaitwa utafakwanza alijoin jf feb 2013 ana post 1411 hadi jana jiulize huyu ana kazi nyingine kweli?
wewe ndo unajichangaya. nitajie wapi dr slaa aliwagawa maafisa wanaoripoti na wasioripoti kwake kivyeo
daima uovu haushind wema, kama jinc mwanga ulipotezavyo giza ndivyo chadema inavyokuja kuipoteza ccm!
Jinsi chadema isivyoamini usalama wa taifa ni bayana kuwa chadema washajua kuwa hawana uwezo wa kuongoza dola. Huwezi kutaka kuongoza dola wakati huamini vyombo vya usalama.
Hii ni sawa na mtu ambaye anasema madaktari wanataka kumuua halafu anaenda hospitali kwao kufanyiwa operation!!!
so your bone of contention is based on ranks alone and the entire big picture as explained in the whole statement does not count to you??? It seems you have never read any book, or if you read at all then you make conclusion based on one sentence!! Nchi hii ina matatizo makubwa kuliko tunavyofikiri wajameni!
Chadema hii kesi ya Rwakatare lazima iwafute kwenye siasa.