CHADEMA ukweli hauzikwi

leonaldo

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
2,583
3,181
Kuna usemi wa kale uliojaa hekima kuwa ''ukweli huwa hauzikwi'' msemo huu huwa uko wazi na wenye maana ya moja kwa moja isiyopindishwa kama ukweli ulivyo, hivyo basi ndugu zangu CHADEMA tafakarini kwa makini mmejikwaa wapi na sio kulaumu mlipoangukia ukweli utawasuta siku zote hasa mkijiuliza yafatayo:-
  1. Kwa nini viongozi wa chama wachague watu wawili tu kwenda kwenye uchaguzi unao toa nafasi mbili na si watatu au wanne.
  2. Ni kwamba chama kina watu wawili tu waliosalia wenye uwezo wakuwakilisha EALA
  3. Kwa nini chama kijipe madaraka ya bunge ya kulichagulia wawakilishi nasio kulipa option kama ilivyo takiwa
  4. Hawaoni kuwa wabunge wamekataa dharau ya CHADEMA na sio watu waliowapendekeza
  5. Jibu ni kurekebisha tatizo na sio kukimbilia mahakamani lazima watambue kua wabunge hao ni wa TANZANIA NA SI CHAMA CHA SIASA
  6. Kazi ya chama lazima ieleweke kuwa ni kupendekeza majina kadhaa katika cream wanayoijua na sio kulichagulia BUNGE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom