Mimi ni ukawa lakini palipo na ujinga lazima niseme. Leo hii Salimu mwalimu na prof Mkumbo wametoka hadharani wakasema wote waliotumbuliwa wameonewa kwani CCM ni ileile. Je kumbe yale makoteina na Bomba la mafuta pale TPA hayakuwa makosa ya kuwawajibisha watendaji kwa mjibu wa hawa ndugu zangu wapinzani.
Mwanzoni nilisema Mobwe alisema Maguruguri anatelkeleza ilani ya ukawa lakini sasa wanabadilika na kusema wanaotumbuliwa hawakuwa na makosa eti kwani watanzania ni wale wale.
Sasa kama mtendaji akifanya kosa basi asiwajibishwe kwa mjibu wa hawa wapinzani basi mie nadhani vyama vifutwe tu kwani havina nia ya kusaidia wananchi. Au hii U turna ya ukawa ni kwa sababu ya Lowasa na kundi lake la Majizi. Soma list of shame ya Chadema.
Wiki mbili zilizopita Mh Mbowe alisema Majipu matatu makubwa ni Kikwete, Mkapa na ombeni Sefue. Haya Magufuri kamtumbua Ombeni sefue jana lakini leo haohao wnageuka na kusema kaonewa. Mie nadhani Dr.Slaa alifanya maamuzi ya kiume kukaa pembeni na watu wanaosema kitu kumbe hawamaanishi.
Ushauri wangu kwa Mgufuri, afanye maamuzi kulingana na ushahidi wa timu za TISS na vyanzo mbalimbali. Kutokana na hivyo amuache pro Muhongo aendelee na kazi kwani sis wapinzani agenda yetu ni kuona serikali isiyo wajibika ili tupate kisingizo cha kuwaambia wapiga kura.
Asante