CHADEMA & UKAWA walitikisa Jiji la Mwanza

Wakuu leo chama pendwa Tz CHADEMA imetikisa jiji la Mwanza kwa kufanya mkutano mkubwa wa hadhara ulifanyika katika viwanja vya shule ya msingi Mbugani.
Katika mkutano huo mkubwa uliohutubiwa na Mwenyekiti wa BAVICHA taifa kamanda Pastrobasi Pascal Katambi,Naibu katibu bara na Zanzibar John Mnyika na Salum Mwalim na wengineo .

Katika mkutano huo uliohudhuriwa na maelfu ya watu wa jiji la Mwanza ,mada kubwa zilizohutubiwa na viongozi hao wa kitaifa zilikuwa ni suala la rasimu ya katiba mpya,umuhimu wa kushiriki kwenye zoezi la uandikishaji wa daftari la kupga kura,kuwataka watu wajitokeze kwenye chaguzi za serikali za mitaa,unaotarajiwa kufanyika mwezi wa 12 mwaka huu.

Awali kabla ya mkutano huo wa wazi,ulitanguliwa na kongamano kubwa la vijana ,lililoandaliwa na BAVICHA Nyamagana na kufanyikia Tema hotel iliyopo Mkolani,ambapo katika kongamano hilo ambalo mgeni rasmi alikuwa mwenyekiti wa BAVICHA taifa,vijana walijengewa uwezo wa kushiriki kwenye chaguzi mbalimbali.
 

Attachments

  • 1411932968870.jpg
    72.9 KB · Views: 3,882
Kinachoitegemeza CCM ni Polisi tu. Polisi wakiiachia, inaporomoka chini puuuuuuuu!!!!!!
 
Tumekusoma kamanda. Kitaelweka tu 2015
 
Mwanza! you really make me happy....hasa nikikumbuka mlivyompigania Wenje....mlivyopigania haki yenu. CDM imetambua mchango wenu...sasa mnaye kamanda Protassi....Twende, huu ndio wakati.
 
Kama ilivyo utofauti wa akili baina ya wanafunzi ndani ya darasa.Hata Askari nao wanatofautiana kifikra.Kama mwanza mmeruhusiwa basi kidogo askari wa huko wanakijiupeo kidogoooooo tofauti na maeneo mengine ambako wamejaa manunda.
 
MBONA MASHUKA MEKUNDU SANA JUKWAANI kama kuna MGANGA WA KIENYEJI
 
Hao wote wamekuja kwa mapenzi yao wenyewe,hawajasombwa kma wafanyavyo Nape na Kinana kwenye ziara zao huko
 

Attachments

  • 1411934321179.jpg
    68.2 KB · Views: 196
hivi hawa polisi wamezuia na mikutano ya ukawa? (btw kinana yupo tanga kuimarisha chama)
 
Mbowe amerudi lini kutoka kula bata na warembo afrika kusini? Kesho ataongea pumba halafu akimbilie kujificha Dubai na warembo huku akitumbua pesa za ruzuku ya chama

Jk yupo marekani anatumia ela ya walipa kodi wa tanganyika.
 
Mbowe amerudi lini kutoka kula bata na warembo afrika kusini? Kesho ataongea pumba halafu akimbilie kujificha Dubai na warembo huku akitumbua pesa za ruzuku ya chama

pole sana mchawi wewe
 

Mbona nafasi zipo tu hadi wengine wamelala.
 
asanteni mwanza kwa kishino hicho wajikusanye mwigulu, kinana, na baba yao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…