Mbona wa vyama vingine hawapo kwenye orodha yako? Mbona unalitumia vibaya jina la UKAWA?
Ama kweli Mnyamwezi ni Mnyamwezi habadiliki,hivi we Professa mzima unakua matakoni kwa Mbowe namna hiyo,chama chako kilikuwa maarufu hadi kutikisa nchi,umeshindwa kukiendeleza leo unakaa matakoni mwa hao wachaga,subiri wakufix
Mtumwa ni mtumwa tu,hata akisaidiwa kupata uhuru bado atatamani utumwa maana amezoea kutumikishwasiuoni ukawa hapo zaidi ya magwanda. acheni kujificha nyuma ya ukawa, jitambulisheni wenyewe kama magwanda.
kamuulize m/kiti wako zezeta
Nadhani Mbowe ndiye anatumia nyota ya Lipumba.
nikikusoma katikati yamaneno wewe huna imaniyoyote
Ama kweli Mnyamwezi ni Mnyamwezi habadiliki,hivi we Professa mzima unakua matakoni kwa Mbowe namna hiyo,chama chako kilikuwa maarufu hadi kutikisa nchi,umeshindwa kukiendeleza leo unakaa matakoni mwa hao wachaga,subiri wakufix
Mlimpatia huyo bi Mdogo? Au mnafuata zile kanuni zenu
genge la wahuni lipo Lumumba
Ccm inawauma sana kuona mbowe anavyokijenga chama,sasa mmebaki na matusi na kwa taarifa yako cuf ,nccr mageuzi zitaungana na chadema na Lipumba na Mbatia unajua cheche zimeanza bungeni hapatatosha 2015 ,mwisho wa chama chenu kilicholea ufisadi uliowafikisha hapa umefika,wanamwanza,shinyanga baada ya kuchimba almasi na dhahabu zao miaka mingi bila kuwajengea shule bora,chuo kikuu kizuri,viwanja vya mpira vizuri,barabara bora,na maji ya kutosha wameamua bye bye ccm kabda ya ziwa,
Nendeni kwa mjinga wenu shibuda!
aisee, ina maana kama hii sheria ingelikuwepo hizo suti wanazosemaga zingelikuwa mali ya umma!?Subiri dawa iwaingie,ukawa wawaeleze wanamwanza jinsi ccm ilivyofuta ibara ya 16 (a) inayozuia kufungua akaunti nje, ibara 17 inayomtaka kiongozi kutangaza mali zake,na ile ya 20(a)-c inayoruhusu kutwaa mali zilizopatikana kwa kukiuka sheria, maadili na miiko ya uongozi kama kupokea zawadi toka njw na ndani ya nchi kwenye makampuni au kuwa na kampuni mfano hisa ndani ya vodacom-+wameyafut!
umefungiwa kwenye Vibutu vya lumumba wewe
genge la wahuni lipo Lumumba
Mbowe amerudi lini kutoka kula bata na warembo afrika kusini? Kesho ataongea pumba halafu akimbilie kujificha Dubai na warembo huku akitumbua pesa za ruzuku ya chama
mkuu, mbowe karudi juzi na jana kahojiwa na bbc hata anachoongea hakieleweki. Nadhani alikuwa na hanging over za starehe za south.