Arie power
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 2,552
- 1,021
Mkakati wao umegonga mwamba, afadhali muda huu wanaoutumia kujifanya wanaukawa wangetumia kuziba nyufa ugambani na kumtangaza makofuli wao.Huo ndio mpango mkakati wa ccm kutaka kuivuruga ukawa,ila wamechemka kwani ukawa kuna watu vile vile.
Mkakati wao umegonga mwamba, afadhali muda huu wanaoutumia kujifanya wanaukawa wangetumia kuziba nyufa ugambani na kumtangaza makofuli wao.
Ushirikiano ni jambo jema, lakini suala la kutoa matamko kuhusu Slaa na Mnyika ni counterproductive, havimsaidii mgombea wenu, bali vinakigawa chama na kupoteza malengo.Kwa mantiki hyo si bora angeanzisha chama chake, hapa ni mwendo wa ukawa ushirikiano ni bora zaid yan aje afanye mipango yake si tumuangalie tu???
Makufuli naye ameachiwa atoe matamko kwa ajili ya vyura Wa kijani?Ushirikiano ni jambo jema, lakini suala la kutoa matamko kuhusu Slaa na Mnyika ni counterproductive, havimsaidii mgombea wenu, bali vinakigawa chama na kupoteza malengo.
Mpigie Magufuli. Yeye hajanunua wala kununuliwa
Kwani lazima aige anachofanya Magufuli na C.C.M? Upinzani lazima ujifunze kufanya mambo yao bila kunakili ya chama tawala. Lowassa atakuwa na manufaa kwa upinzani kama ataachwa huru alete mawazo na mambo mapya.Makufuli naye ameachiwa atoe matamko kwa ajili ya vyura Wa kijani?
Enedeleeni kujidanganya maana ukawa ina silaa ,za kutisha kila kiongozi ndani ya ukawa ni tishio kwa ccm
Nani mwingine,Mbowe?Mbowe hafikii hata robo ya mvuto aliyo nayo Dr Slaa. Mtu mwenye akili yake timamu hawezi kupoteza muda wake kwenda kumsikiliza Mbowe kwasababu kisiasa ni wa level ya akina Dr Emanuel Makaidi na Hashim Lungwe.
Nafikiri baada ya kupitishwa leo EL atambulishwe mikoani na huko azungumze yeye mwenyewe na hotuba zake zisiguse swala la Slaa.
Hata asipogusia watu watagusia.Ajiandae kuimbiwa nyimbo za TUNAIMANI NA SLAAAAA OYA OYA OYA,SLAA KWELI,KWELI,KWELI,KWELI,KWELI SLAAA kwenye mikutano yake