CHADEMA/UKAWA,mnahitaji uhuru gani?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,136
17,871
Hebu wekeni wazi hapa. Kama vyama vya upinzani nchini,na katika afya ya demokrasia,mnahitaji uhuru gani?

Wahusika,ingawa hawajanituma,wapo hewani kufuatilia mtakacho ili mpewe hata kama kitakawia kidogo. Tajeni uhuru muutakao ndani na nje ya Bunge.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Geita)
 
Wanataka kile ambacho kimekatazwa (Kikatiba) na kukataa kile ambacho kimeruhusiwa na kinyume chake, mwisho wa siku wanachotaka ni kuwa relevant tu kwenye Siasa za Tanzania kwa maana sasa hivi hawana hoja tena hivyo ni kama Mwanamke tu, hajui anataka nini utampa kila kitu utawahi kurudi nyumbani, utamsaidia kufanya usafi n.k kila kitu utafanya kesho atakulaumu kwamba kwani hauna marafiki kwa nini baada tu ya kazi nusu saa uko nyumbani? ...
 
Mzee Tupatupa, tunadai haki ya kufanya shughuli za kisiasa kwa uhuru.
Haki ya kufanya mikutano ya kisiasa na kujadiliana na wananchi juu ya changamoto zinazotukabili kama jamii.
Haki ya kutoa maoni bila kubugudhiwa. (Freedom of expression);tutoe maoni yetu juu ya budget ya serikali, tuongelee kashfa ya Lugumi, tujadili escrow, uuzwaji wa nyumba za serikali, mikataba ya UDA. n.k
Tunahitaji mshindi wa uchaguzi atokane na kura za wananchi na sio tume.
Tunahitaji mipaka ya mihimili mitatu ya serikali iwepo na ionekane na bunge liache kugeuzwa kikao cha chama kama ilivyo sasa.
Tunahitaji ushindi wa Maalim Zanzibar utambuliwe.
Tunahitaji tume huru ya uchaguzi.
Tunahitaji ukomo wa figisufigisu kwa mameya wetu na halmashauri zilizo chini yetu.
Tunahitaji mauaji ,mateso na udhalilishaji kisiasa uliokwisha fanyika utambuliwe kitaifa na wahusika wachukuliwe hatua.
Tunahitaji bunge live..

Mzee tupatupa, nikiendelea ni litania ila kimsingi CCM imetuchosha ipumzike.
#I HATE MAGUFULI
 
Haki ya kuishauri na kuikosoa serekali!!!! Pia haki ya kikatiba ya kufanya shuhuli za kisiasa.
 
Sidhani kama atarudi tena.
 
chadema/ukawa hana tofauti na mwanamke kawaida mwanamke huwa anataka kitu ambacho anajuwa hawezi kupata na ikitokea ukampa basi atatamani kingine ambacho pia hawezi kukipata huwa hawaridhiki tabia hiyo wanayo chadema/ukawa hata mpatiwe nini hamtaweza kuridhika
 
Chadema tunataka haki ya kutukana, kupinga kila jema, kukwamisha maendeleo na kubaguana kikanda na kidini.
 
Hebu wekeni wazi hapa. Kama vyama vya upinzani nchini,na katika afya ya demokrasia,mnahitaji uhuru gani?

Wahusika,ingawa hawajanituma,wapo hewani kufuatilia mtakacho ili mpewe hata kama kitakawia kidogo. Tajeni uhuru muutakao ndani na nje ya Bunge.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Geita)
Hata wewe hujui uhuru unaohitajiwa kuwa ni wa kikatiba? Sasa hivi ni maagizo bila kujali yaliyo kwenye katiba. Uhuru huo hauombwi upo tayari ila umeingiliwa na serikali iliyoweka katiba pembeni.
 
Mzee tupatupa kama uko Geita hebu ulizia issue ya Mawazo kama hujaonyeshwa wahusika mtaani wakila bata na wengine wakizunguka na Ma-Prado- viongozi wa chama chako pendwa.
Uliza kwa siri hapo kwenye ofisi zenu za chama karibu na choo cha Max. Watakwambia!
 
Hivi mbunge wa hapo anaitwa nani, maana hata hasikikagi, au na yeye hana hoja za kuchangia
 
Hebu wekeni wazi hapa. Kama vyama vya upinzani nchini,na katika afya ya demokrasia,mnahitaji uhuru gani?

Wahusika,ingawa hawajanituma,wapo hewani kufuatilia mtakacho ili mpewe hata kama kitakawia kidogo. Tajeni uhuru muutakao ndani na nje ya Bunge.

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Geita)
What are you looking for? Ni kweli kabisa unatafuta majibu au unafanya sanaa za Lumumba kama kawaida? Sidhani kama kuna mtu atajisumbua kutoa hicho kiitwacho majibu. Unachofanya hapa aidha ni sanaa au falsafa. Tuambie kwanza.
 
NYANYADO, mbunge wa Geita mjini ni Kanyasu.
Ni toleo jingine la zero brain usijali, mfano wa yule anayetaka Magu alipopigia push up pajengwe uwanja wa kumbukumbu!
 
chadema/ukawa hana tofauti na mwanamke kawaida mwanamke huwa anataka kitu ambacho anajuwa hawezi kupata na ikitokea ukampa basi atatamani kingine ambacho pia hawezi kukipata huwa hawaridhiki tabia hiyo wanayo chadema/ukawa hata mpatiwe nini hamtaweza kuridhika

Wewe una mama kweli?
 
Back
Top Bottom