Kalenga-Iringa
JF-Expert Member
- Nov 4, 2012
- 263
- 41
Wamefuata maslahi binafsi hakuna cha itikadi,maana ingekuwa hivyo wasingerudi ccm,bali wangebaki bila chama.Kama wanarudi ccm,waulize ni nini kimebadilika huko ccm ambacho kimewafanya waamuwe kurudi huko?Ndo akili za mbayu wayu hao.Kitu kinachomfanya mtu kuwa mwanachama wa chama fulani ni kule kuvutiwa na itikadi na sera za kile chama, bila kujali nani yumo ndani ya hicho chama. Hivyo basi kuondoka kwa mwanachama hakumfanyi mkereketwa wa chama husika naye kukihama. Kama atafanya hivyo, basi atakuwa amefuata tu mkumbo bila ya kuelewa malengo na nia ya chama kile kwa ujumla.
Juzi juzi tu mlikua mnawaita makamanda na kuwamwagia sifa kibao leo wamekua hawafai. Siasa zitawashinda nyie.Wamefuata maslahi binafsi hakuna cha itikadi,maana ingekuwa hivyowasingerudi ccm,bali wangeaki bila chama.Kama wanarudi ccm,waulize ni nini kimebadilika huko ccm ambacho kimewafanya waamuwe kurudi huko?Ndo akili za mbayu wayu hao.
Sasa ndio unajua kama watu wanafata mkumbo,endeleeni kujisifia watu wakija kwenye mikutano yenu.Kitu kinachomfanya mtu kuwa mwanachama wa chama fulani ni kule kuvutiwa na itikadi na sera za kile chama, bila kujali nani yumo ndani ya hicho chama. Hivyo basi kuondoka kwa mwanachama hakumfanyi mkereketwa wa chama husika naye kukihama. Kama atafanya hivyo, basi atakuwa amefuata tu mkumbo bila ya kuelewa malengo na nia ya chama kile kwa ujumla.
Uko Uingereza kuna wachumia tumbo wengi sana,fanyeni kazi acheni ujinga.Kama ni siasa rudini numbani mkajenge nchi.Mna tabia za ukahaba wa kisiasa.Eti leo mko sijui chadema kesho ccm,halafu mnatujazia ***** wenu humu.Bakini na ujinga wenu huko huko uingereza.Kwanza ninavyofahamu mimi Uingereza ambapo nimeshawahi kuishi,huwa mna majungu sana na uswahili mwingi,kikawaida hampendani na watu mshachomeana sana.Sasa haya mambo ya chama ndiyo yameongezea tu,lakini ndivyo mlivyo.Mnaingia kwenye siasa kwa maslahi binafsi.Hovyo sana.Rudini nyumbani kama mnataka siasa.Huwezi kuwa nje ya nchi halafu bado ukawa na akili za kishibuda.Pambaff kabisa nyie.
Eti mmechukizwa na chadema,mlitegemea kupata nini chadema?Kama mlikuwa ccm,halafu mkaingia chadema,mmetumia umaarufu wa chama kupata umaarufu na sasa mnarudi kwenye matope yenu.Hamna misimamo,eti siasa za kihuni,ninyi ndo wahuni hamfai kabisa.
kama ilivyotabiriwa tsunami kubwa ya wafuasi wa chadema wameanza kuhamia ccm,
leo hii tayari
mwenyekiti wa vijana
katibu wa vijana
katibu mwenezi
wote hawa wamechukizwa na siasa za kihuni za chadema za kufukuzana kama kuku na kuamua kumfuata kiongozi wao chris lukosi ccm
inasemekana kuwa wanachama wengi wamechukizwa sana na kitendo alichofanyiwa m,uasisi wao wa tawi la uk
kma mnavyojua hakuna mwanaume alieweza kusimama na kusema anafungua tawi uk mpaka lukosi alipofanya hivyo
habari nyingi zinafuata kwani kwa taarifa zilizothibitishwa ni kuwa lukosi atafanya press release jumamosi akiwa na kundi lake kubwa la wanachama na viongozi walioamua kurudi ccm.
asilimia 75 ya uwaonao hapo juu wameletwa na lukosi chadema
mods hata mkifuta huu uzi haisaidii kwani tayari blogs zote zimepewa na zitaurusha usiku wa leo kwa hiyo ni bora muache tuu watu wasome, kufuta thread sio suluhisho. Mbona ccm huwa inaumbuliwa hapa hamfutii?
Jiulize ni kwanini hawakufunguwa matawi ya ccm?Ulikuwa wapi kuyasema haya yote wakati kina Chilisosi, wanafungua matawi ya Chadema Reading, Leicester, Milton Keynes, London.
Leo baada ya kuondoka ndio unaongea Chadema bana. Lema alipopiga picha na Chopa mliwasifia sana Chadema UK.
Leo unaturuka mkuu? hata wewe msee wangu?Kwanini hawkfunguwa matawi ya ccm?Ni hapo watu wanapotaka kufanya siasa kama mtaji wa biashara,waliona tayari ccm ni soko ambalo walishawahi wenzao(Kina Susan Mzee),wakaingia na gia ya kufunguwa matawi ya chadema(soko jipya),sasa kiumaarufu kidogo tu ndo haoo,wanajiona eti ni wanasiasa wa maana,dhmuni lao lilikuwa ni kuepwa attention na ccm,hawana nia ya kukomboa nchi hao.Huko ccm waliporudi hawatapata maslahi,kwasababu tayari kuna wenyewe,na wengine wanasubiria,hakuna lolote kam unaingia kwenye sias kwa masahi binafsi na akili fupi.Wasubiri wataona.Na wala mimi sijawahi kuwasifia hao chadema Uingereza,fuatilia wewe hujui kitu.
Mushi ndugu yangu utajitetea sana tu hapa,haya yote hukuyaona awali? Jamaa mlivyo kua mnawasifia leo hii wamekua hawafai?Jiulize ni kwanini hawakufunguwa matawi ya ccm?
Ni hapo watu wanapotaka kufanya siasa kama mtaji wa biashara,waliona tayari ccm ni soko ambalo walishawahi wenzao(Kina Susan Mzee),wakaingia na gia ya kufunguwa matawi ya chadema(soko jipya),sasa kiumaarufu kidogo tu ndo haoo,wanajiona eti ni wanasiasa wa maana,dhumuni lao lilikuwa ni kupata attention kutoka ccm,hawana nia ya kukomboa nchi hao.
Huko ccm waliporudi hawatapata maslahi,kwasababu tayari kuna wenyewe,na wengine wanasubiria na wameshajipanga,hakuna lolote kama unaingia kwenye siasa kwa maslahi binafsi na akili fupi.Wasubiri wataona.Na wala mimi sijawahi kuwasifia hao chadema Uingereza,fuatilia wewe hujui kitu.Ulishawahi kuniona kwenye zile thread hata siku moja?