CHADEMA UK yazidi kuvurugika, M/kiti na Katibu vijana na Katibu muenezi waamua kumfuata Lukosi CCM

Juzi juzi tu mlikua mnawaita makamanda na kuwamwagia sifa kibao leo wamekua hawafai. Siasa zitawashinda nyie.

Ha ha kwenye kikosi cha makamanda wengine wanawweza kuasi so ni kitu cha kawaida hasa katika siasa
 
Uko Uingereza kuna wachumia
tumbo wengi sana,fanyeni kazi acheni ujinga.Kama ni siasa rudini
numbani mkajenge nchi.Mna tabia za ukahaba wa kisiasa.Eti leo mko sijui
chadema kesho ccm,halafu mnatujazia ***** wenu humu.Bakini na ujinga
wenu huko huko uingereza.Kwanza ninavyofahamu mimi Uingereza ambapo
nimeshawahi kuishi,huwa mna majungu sana na uswahili mwingi,kikawaida
hampendani na watu mshachomeana sana.Sasa haya mambo ya chama ndiyo
yameongezea tu,lakini ndivyo mlivyo.Mnaingia kwenye siasa kwa maslahi
binafsi.Hovyo sana.Rudini nyumbani kama mnataka siasa.Huwezi kuwa nje ya
nchi halafu bado ukawa na akili za kishibuda.Pambaff kabisa nyie.

Eti mmechukizwa na chadema,mlitegemea kupata nini chadema?Kama mlikuwa
ccm,halafu mkaingia chadema,mmetumia umaarufu wa chama kupata umaarufu
na sasa mnarudi kwenye matope yenu.Hamna misimamo,eti siasa za
kihuni,ninyi ndo wahuni hamfai kabisa.

Mkuu wewe umeingia CDM kwa maslai ya nani? Hata hivyo kama kila atayetoka CDM unamtukana, jiandae kutukana wengi
 
Kwanza sioni umuhimu wa siasa za nje na kuna kipindi nilijiuliza sana kwa nini CCM na CDM vina concentrate kufanya siasa nje ya nchi hasa USA na UK????

Hawa jamaa wengi ni mamluki hivyo sitashangaa kama watatengeneza headline katika magazeti kwa ujira mdogo sana kama maskini wa kwetu kijijini.

Nashauri Chadema tujikite kwa wapiga kura tuachane na hao wa nje wenye uzalendo watatufuata wenyewe!
 
Uko Uingereza kuna wachumia tumbo wengi sana,fanyeni kazi acheni ujinga.Kama ni siasa rudini numbani mkajenge nchi.Mna tabia za ukahaba wa kisiasa.Eti leo mko sijui chadema kesho ccm,halafu mnatujazia ***** wenu humu.Bakini na ujinga wenu huko huko uingereza.Kwanza ninavyofahamu mimi Uingereza ambapo nimeshawahi kuishi,huwa mna majungu sana na uswahili mwingi,kikawaida hampendani na watu mshachomeana sana.Sasa haya mambo ya chama ndiyo yameongezea tu,lakini ndivyo mlivyo.Mnaingia kwenye siasa kwa maslahi binafsi.Hovyo sana.Rudini nyumbani kama mnataka siasa.Huwezi kuwa nje ya nchi halafu bado ukawa na akili za kishibuda.Pambaff kabisa nyie.

Eti mmechukizwa na chadema,mlitegemea kupata nini chadema?Kama mlikuwa ccm,halafu mkaingia chadema,mmetumia umaarufu wa chama kupata umaarufu na sasa mnarudi kwenye matope yenu.Hamna misimamo,eti siasa za kihuni,ninyi ndo wahuni hamfai kabisa.
Mkuu jmushi hao ni shauri ya njaa zao kama si hivyo kuna kosa gani kama mtu anavuruga kazi akasimamaishwa huo si ni utamaduni???Hapo kuna kitu mshiko ndio maana watu wakimbia na kujitangaza, poleni saana CDM inapeta tuu, watu wazembe hawana nafasi hapa!!!
 
Kama ilivyotabiriwa Tsunami kubwa ya wafuasi wa chadema wameanza kuhamia CCM,
Leo hii tayari
mwenyekiti wa vijana
Katibu wa vijana
Katibu mwenezi
wote hawa wamechukizwa na siasa za kihuni za chadema za kufukuzana kama kuku na kuamua kumfuata kiongozi wao CHRIS LUKOSI CCM
Inasemekana kuwa wanachama wengi wamechukizwa sana na kitendo alichofanyiwa m,uasisi wao wa tawi la UK
Kma mnavyojua hakuna mwanaume alieweza kusimama na kusema anafungua tawi UK mpaka Lukosi alipofanya hivyo
Habari nyingi zinafuata kwani kwa taarifa zilizothibitishwa ni kuwa Lukosi atafanya press release jumamosi akiwa na kundi lake kubwa la wanachama na viongozi walioamua kurudi CCM.
wanachama+wapya+wakiwa+na+Makelele.JPG

ASILIMIA 75 YA UWAONAO HAPO JUU WAMELETWA NA LUKOSI CHADEMA
Mods hata mkifuta huu uzi haisaidii kwani tayari blogs zote zimepewa na zitaurusha usiku wa leo kwa hiyo ni bora muache tuu watu wasome, kufuta thread sio suluhisho. mbona ccm huwa inaumbuliwa hapa hamfutii?

endelea kutumika! Nafsi yako itakusuta! Nitaelekea hapo mchana mahali tulifanya mkutano halafu uaibike. Gamba
 
Mkuu wewe umeingia CDM kwa maslai ya nani? Hata hivyo kama kila atayetoka CDM unamtukana, jiandae kutukana wengi

Yeye chama ni chao angalia jina lake tu inatosha kujua linatoka chama gani.
 
.............
wanachama+wapya+wakiwa+na+Makelele.JPG

ASILIMIA 75 YA UWAONAO HAPO JUU WAMELETWA NA LUKOSI CHADEMA....

Kama waliletwa na Lukosi CHADEMA bora waende naye. Lakini kama walikuja CDM baada ya kuzisoma sera za CDM na kuzielewa na kisha kwa nia moja wakaamua kujiunga kusaidia kuwakomboa watanzania kutoka katika lindi la matatizo yanayowakabili ningekuwa na mawazo tofauti juu yao.
 
Mkuu Ritz
Hivi kamanda Lukosi ni wa kaskazini? Huwezi kuamini jamaa kajitolea kuingia kwenye ngome za CCM na CUF na kutengeneza tawi leo wanamtoa si kwasababu ya utendaji wake bali tu wanataka kuweka mtu wao; hiyo ndiyo Chadema yaleyale ya kina Zitto
Chama
Monga Vyeru

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
upo huru kufanya maamuzi bila kuingiliwa na mtu.

Wakati akifanya maamuzi bila kuingiliwa na mtu ni muhimu vilevile akakumbuka kutowaingilia wengine.
Chama kina utaratibu wake wa kuendeshwa, kina katiba na kanuni za uendeshaji. Huwezi tu kukiendesha kwa matakwa yako kwakuwa tu una haki ya kufanya mambo yako kwa uhuru bila kuingiliwa.

Kwakuwa amerudi alikotoka sisi hatuna wasiwasi kwakuwa wapo wengi wenye nguvu, ari na moyo wa kuitumikia Chadema, wataanzia hapo alipoachia na kuipeperusha vyema bendera ya chama hadi kitakapoeleweka.
 
Mkuu Ritz
Hivi kamanda Lukosi ni wa kaskazini? Huwezi kuamini jamaa kajitolea kuingia kwenye ngome za CCM na CUF na kutengeneza tawi leo wanamtoa si kwasababu ya utendaji wake bali tu wanataka kuweka mtu wao; hiyo ndiyo Chadema yaleyale ya kina Zitto
Chama
Monga Vyeru
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Najua mmefurahishwa sana na kitendo cha Chris na wenzake kurudi nyumbani lakini mioyoni mwenu mmesikitika sana kwakuwa kazi mliyokuwa mmemtuma alikuwa bado hajaikamilisha. Hii ndio Chadema bana hakuna kuremba, ukijaribu tu kuihujumu unaumbuka papo hapo.

Kama kweli Chris hakuwa na tuhuma za dhahiri zilizosababisha avuliwe uongozi na uanachama angeweza kukata rufaa katika vyombo husika na kama ingebainika kwamba si kweli angerejeshewa uanachama wake na uenyekiti wake. Lakini kitendo cha kuamua kurudi ccm mara tu baada ya kuenguliwa ni ushahidi tosha kwamba makamanda walikuwa na taarifa sahihi za yeye kutaka kutimkia ccm na hivyo wakaamua kumuwahi.
 
Mkuu chama,
Chris Lukosi, siyo wa kaskazini ni mtu wa Iringa ndio maana umeona wamemfukuza.
 
Last edited by a moderator:
Najua mmefurahishwa sana na kitendo cha Chris na wenzake kurudi nyumbani lakini mioyoni mwenu mmesikitika sana kwakuwa kazi mliyokuwa mmemtuma alikuwa bado hajaikamilisha. Hii ndio Chadema bana hakuna kuremba, ukijaribu tu kuihujumu unaumbuka papo hapo.

Kama kweli Chris hakuwa na tuhuma za dhahiri zilizosababisha avuliwe uongozi na uanachama angeweza kukata rufaa katika vyombo husika na kama ingebainika kwamba si kweli angerejeshewa uanachama wake na uenyekiti wake. Lakini kitendo cha kuamua kurudi ccm mara tu baada ya kuenguliwa ni ushahidi tosha kwamba makamanda walikuwa na taarifa sahihi za yeye kutaka kutimkia ccm na hivyo wakaamua kumuwahi.

Mkuu chama,
Umemsoma Mwita Maranya, na simulizi zake eti Chris Lukosi, baada ya kufukuzwa angekata rufaa.

Labada atufahamishe ni nani ambaye aliyefukuzwa Chadema kisha akakataa rufaa akarudishwa. Madiwani wa Arusha walifukuzwa Chadema, Kafulila alifukuzwa Chadema, Chagulani alifukuzwa Chadema, Matata alifukuzwa Chadema. Wote hawa walikata rufaa, huwezi kupingana na Dr Slaa ndani ya Chadema ukabaki salama

Utamkatia rufaa Dr Slaa wapi hiyo rufaa itasikilizwa.
 
Last edited by a moderator:
Wakati akifanya maamuzi bila kuingiliwa na mtu ni muhimu vilevile akakumbuka kutowaingilia wengine.
Chama kina utaratibu wake wa kuendeshwa, kina katiba na kanuni za uendeshaji. Huwezi tu kukiendesha kwa matakwa yako kwakuwa tu una haki ya kufanya mambo yako kwa uhuru bila kuingiliwa.

Kwakuwa amerudi alikotoka sisi hatuna wasiwasi kwakuwa wapo wengi wenye nguvu, ari na moyo wa kuitumikia Chadema, wataanzia hapo alipoachia na kuipeperusha vyema bendera ya chama hadi kitakapoeleweka.
Mkuu naona unajifariji kisiasa Chris Lukosi alikuwa shujaa takribani miezi minne iliyopita wewe ulikuwa ni mmojawapo wa waliompongeza kamanda Lukosi; leo hii tena wewe ambaye ulimpongeza unakuja kumshutumu; naona umekosa busara ya kuhoji; ulipaswa kutafuta ukweli kujua ni sababu zipi zilizomfanya afukuzwe; kama ni hoja ya kuwepo watu kupeperusha bendera walikuwapo hata kabla ya Lukosi kujiunga na CDM ila hawakuwa na nguvu ya kujenga tawi; Lukosi alifanya kazi kubwa sana ya kulijenga tawi; baada ya kulijenga na kulipa jina tawi ndio ameonekana hafai? Mkuu yale yale ya ukanda na ukabila dhambi hiyo inawatafuna sana.
Chama
Monga Vyeru

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA geukeni nyuma kwani kabla ya kwenda mbele kuna sehemu hatujakarabati vizuri.Tuimarishe matawi ya CHADEMA-Vyuo vikuu vilivyopo Tanzania kwanza ili tuwaandae vijana waaminifu na wenye uvumilivu!
 
lukosi kwa hekima ulitakiwa usirudi CCM na ubaki kimya usiongee na vyombo vya habari maana nachelea jamaa wasijeanika tuhuma zako. walitumia busara kutokukuchanbua kwenye taarifa ya kukuondoa uanachama wako
 
Mkuu Ritz
Katika kamusi ya Chadema neno rufani halipo tusubiri Mwita Maranya siku uchaguzi wa mwenyekiti wa mkoa watakavyompiga chini tuone kama na yeye atakata rufani; yaani itakuwa kichekesho Slaa ndie anayepiga zengwe halafu Slaa huohuyo asikilize rufani rako itakuwa wazimu mtupu!

Chama
Monga vyeru

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Chama cha mabishoo wanasubiri miujiza wawe matajiri hakiwezi kudumu.kila kukicha wanatafuta wapi kuna mapochopocho ya wakubwa wakadowee wataondoka wengi maana matarajio yao yanafifia
 
Kama ilivyotabiriwa Tsunami kubwa ya wafuasi wa chadema wameanza kuhamia CCM,
Leo hii tayari
mwenyekiti wa vijana
Katibu wa vijana
Katibu mwenezi
wote hawa wamechukizwa na siasa za kihuni za chadema za kufukuzana kama kuku na kuamua kumfuata kiongozi wao CHRIS LUKOSI CCM
Inasemekana kuwa wanachama wengi wamechukizwa sana na kitendo alichofanyiwa m,uasisi wao wa tawi la UK
Kma mnavyojua hakuna mwanaume alieweza kusimama na kusema anafungua tawi UK mpaka Lukosi alipofanya hivyo
Habari nyingi zinafuata kwani kwa taarifa zilizothibitishwa ni kuwa Lukosi atafanya press release jumamosi akiwa na kundi lake kubwa la wanachama na viongozi walioamua kurudi CCM.
wanachama+wapya+wakiwa+na+Makelele.JPG

ASILIMIA 75 YA UWAONAO HAPO JUU WAMELETWA NA LUKOSI CHADEMA
Mods hata mkifuta huu uzi haisaidii kwani tayari blogs zote zimepewa na zitaurusha usiku wa leo kwa hiyo ni bora muache tuu watu wasome, kufuta thread sio suluhisho. mbona ccm huwa inaumbuliwa hapa hamfutii?

Kwa hiyo hawa hawakuwa CHADEMA bali walikuwa kwa LUKOSI na sasa hawako CCM bali wako kwa LUKOSI. Kesho LUKOSI akihamia CUF, NCCR au CCK nao wataenda huko! Hawa watakuwa mazezeta au bendera fuata upepo!
 
Back
Top Bottom